Duuu Eeee Mwenyezi Mungu Okoa roho za watu hawa maana msaada wetu ni huruma yako katika hili. Akili kubwa sana inatumika katika kuokoa roho za watu hawa msaada wetu na kimbilio letu ni wewe tu. Bariki watu wote wanaopambana kuokoa wahanga hawa, bariki pia na serikali yetu tukufu. Tunaomba haya tukiamini kuwa msaada wetu ni wewe tu🙏🙏
Ee Mungu uturehemu, Mungu Mkuu, Muumba Mbingu na nchi, endelea kuwasaidia Baba tunakusihi kwa jina Kuu la Yesu Kristo......peke yetu hatuweziiiii...😢 Asante kwa manusura wote Ee Bwana

Ameen
Ee Mungu uturehemu, Mungu Mkuu, Muumba Mbingu na nchi, endelea kuwasaidia Baba tunakusihi kwa jina Kuu la Yesu Kristo......peke yetu hatuweziiiii...😢 Asante kwa manusura wote Ee Bwana
Eee mwenyez munguuu tunakuomba usalma wa watu waliopo chini
Allah tunaomba kwa huruma zako wajaalie ndugu zetu watoke salama kwa uwezo wako
Huyu mzee anapambana sana na jamii mungu amuweke
Mwenyezi mungu wasimamie waweza kutoka uzidi kuwa nguvu walio huko ndani
mungu atawafanyia wepesi
Ee Mungu tunakuomba fanya njia pasipo na njia ndugu zetu watoke salama.
Mungu wetu isiyeshindwa na jambo lolote endelea kutufunulia ujuzi, Ubunifu zaidi na maarifa ya njia nzur zaidi ya kuwafikia ndugu zetu. 😢
Mungu wasimamie jamani poleni sana tunawaombea MUNGU azidi kuwatia nguvu🙏🙏🙏
Mungu awapiganie watoke salama
Ee Mwenyezi Mungu Okoa Roho za watu wako hapo..
Eee Mungu wa rehema hakuna gumu kwako, naomba uwezeshe uokoaji Baba, watoke salama.
Walioko hospitali naomba uwaponye, You are more than able.
Wa Iramba singida
Mungu yupo na wahanga namini atawasaidia na kuwatunza Mahalia walipo.
Allah yuko pamoja na watanzania wenzangu
Mungu tunakuomba uwe muokozi wetu
Daaaah mungu awasaidie wapone jamaniiii
Mungu awape wepesi yote nimitihani yake tuwena subira yote mitihani yake alwa atawapona amin
Mungu nimwema watapna insha'Allah
Mungu .jalia..watoke. salama
Amiin
Yarabbi wanusuru watie nguvu waja wako waliopatwa na janga hili
Allah wanusuru waja wako
Allah awatoe salama
Yaani jamani kweli mnapambana
Ee Mungu wape nguvu watoto wako waliopo chini ya jengo
Kwa uwezo wa MUNGU watatoka salama🙏
AZIM DEWJI MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU KWA UBINADAMU WENU
Kweli kunaitajika akili sana sio nguvu Allah awafanyie wepesi watoke salàma
MUNGU AWAPE SHIFAAA
Msiba usikie kwa jirani
Bila akili asingetoka mtu salama
Da zari Mwenyezi Mwenyezi Mungu awatie nguvu wote mnao simamia zoezi zima ili watoke salama
Uzidi kuwapa nguvu na matumaini
EE MUNGU WASAIDIE WAPE PUMZI
WAPE MAARIFA WAOKOAJI KWA JINA LA YESU CHRISTO
L
Ee mila muumba wa mbingu na ardhi jalia hao waja wako