habari, mimi ni mwana hisa mpya nilijiunga kwa DSE hisa kiganjani nilioda hisa za CRDB mia moja tareh 3 march nkalipia kupitia mtandao wa simu kwa SolomonStockBroker nikathibitishiwa muamala..lakin sasa bado sioni au niseme sijapata kuona umiliki wa hisa nilizo nunua.. Nahitaji maelekezo kama kutakua kuna tatizo na kipi ntatakiwa nifanye... ahsante
Broker yupi ni mzuri kumtumia kupitia DSE
habari, mimi ni mwana hisa mpya nilijiunga kwa DSE hisa kiganjani nilioda hisa za CRDB mia moja tareh 3 march nkalipia kupitia mtandao wa simu kwa SolomonStockBroker nikathibitishiwa muamala..lakin sasa bado sioni au niseme sijapata kuona umiliki wa hisa nilizo nunua.. Nahitaji maelekezo kama kutakua kuna tatizo na kipi ntatakiwa nifanye... ahsante
habari nahitaji kujiunga na soko la hisa,naishi inje ya ichi nini nifanye na huko TZ sina account ya benk yoyote.shukrani