Usomaji wa Ripoti ya Mwenendo wa Soko la Hisa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Ufafanuzi wa usomaji wa ripoti zetu zinazoonesha mwenendo(ununuzi na uuzaji wa hisa) wa soko la hisa la Dar Es Salaam (DSE).

КОМЕНТАРІ • 13

  • @ibrahimurichard377
    @ibrahimurichard377 Рік тому +2

    Unafanya vizuri sana,endelea kutupa maarifa Solomon

  • @IsihakaHaji
    @IsihakaHaji 4 місяці тому +1

    Nafurahia huduma zenu

  • @abbymwangomile392
    @abbymwangomile392 4 місяці тому

    Where is issued shares

  • @tusajigweashery351
    @tusajigweashery351 2 роки тому +1

    Mimi zangu niliomba ziuzike toka mwaka juzi lakini hadi Leo sijapata mrejesho wowote

    • @solomonstockbrokers1587
      @solomonstockbrokers1587  2 роки тому

      Habari Tusajigwe. Tunaomba uwasiliane nasi kupitia 0764 269090 au kwa barua pepe solomonstockbrokers@solomon.co.tz na kutupatia majina yako kamili pamoja na CSD account namba yako tuweze kufuatilia oda yako.

  • @dicksonnkongo5048
    @dicksonnkongo5048 2 роки тому

    Hello!
    Asante kwa maarifa haya.
    Naomba niulize, hapo unaposema namba ya Hisa alizo-issue kwenye soko, m.f. umesema CRDB ameissue share trillion 2.16, mbona hatuioni hiyo figure au unaionea wapi?

  • @laurentmaega9693
    @laurentmaega9693 2 роки тому

    Nataka kujifunza kununua hisa

  • @aicreatures_io
    @aicreatures_io 2 роки тому

    Jinsi gani ntaweza kununua hisa za nje mfano Tesla,alphabet,Nio nk

  • @newworldvision70
    @newworldvision70 Рік тому

    Vp natak nibadilishe brocker

  • @tusajigweashery351
    @tusajigweashery351 2 роки тому

    Za crdb