APARTMENT YA DOLA MOJA MAREKANI (PART 2)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Leo ni (Part 2) ya Apartment ya $1.40/Week. Watu wengi walitaka niwaonyeshe ndani kulivyo. Sasa Leo naomba niwaonyeshe ndani kulivyo. This Duplex is beautiful, the space is big for one/two people. Enjoy .#tanzania #kenya #uganda #tanzanianyoutuber #tanzanianyoutuber

КОМЕНТАРІ • 265

  • @nikitadiamorelivingstone2831
    @nikitadiamorelivingstone2831 Рік тому +21

    Nyumba iko poa kwa mtu anayeanza maisha, ila kama uko marekani kwa zaidi ya miaka 10 bado unatafuta nyumba kama hiyo, bora urudi tu Home nyumbani TZ nyumba zipo nzuri, na bei poa, na mazingira tulivu.Ukiwa na biashara yako simple maisha yaenda bila stress.

    • @RehemaMwinyi-xs9bx
      @RehemaMwinyi-xs9bx 3 місяці тому

      Dola moja Kama Dola moja? Na unalipia miezi mingai? Au Kila mezi?

    • @RehemaMwinyi-xs9bx
      @RehemaMwinyi-xs9bx 3 місяці тому

      Naomba namba yako nnampango wa kuja uko nadhani utranisaidia my

  • @muccitronix
    @muccitronix Рік тому +3

    Kwa bongo mtu mwenye mjengo kama huu ni mtu mwenye maisha mazuri mnooo

  • @kisagentabirage6693
    @kisagentabirage6693 Місяць тому +1

    Dada mambo mzima napenda interview zako mungu akubariki nafanya michakato ya kupambania kufika huko nitakutafuta siku nikifanikiwa kuja huko

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 Рік тому +6

    Mashallah bonge moja apartment kwa huku kwetu hiyo ni bonge la ghetto nice content my sister

  • @emmycharles8463
    @emmycharles8463 Рік тому +6

    Kaaa jamn kwahiyo hapo ndo marekan 🤔🤔

  • @mariamsaid4112
    @mariamsaid4112 Рік тому +6

    Kibongo bongo hiyo unaweza lipa hata laki tatu

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 Рік тому +4

    Geto zuri sana vp kuhusu kazi mazingira hayo zinapatikana kwa wingi au hadi uende mbali zaidi na je neighbourhood ikoje

  • @ashantidesire8635
    @ashantidesire8635 Рік тому +5

    Kumbe hizi ni zile shelter za homeless ndio unaringa nazo.

  • @SamwelMisungwi
    @SamwelMisungwi Місяць тому

    Hapa 😂ujasema jimbo gani sehemu gan madam

  • @NIMFASHADieudonne-cy1fx
    @NIMFASHADieudonne-cy1fx 9 місяців тому

    Thank you,so Dada ukweli hizo nyumba kiramda zinaonekana?ziko wapi sehemu yipi?mda wowote unaweza kuzipata?

  • @vincentndonye7989
    @vincentndonye7989 Рік тому +3

    Hapo waeza bakwa au ukaibiwa.

  • @PaskaziaLawi-kr3lx
    @PaskaziaLawi-kr3lx Місяць тому +1

    Habari dada naoma namba yako kunakitu nataka nikwambie mimi ni mama

  • @SwahiliChallenge255
    @SwahiliChallenge255 3 місяці тому

    Hii nyumba n ya matofari au ya mbao,Je kuinunua n shingapi??

  • @tanzuaprint
    @tanzuaprint Рік тому +15

    Hakuna hizo Apt maybe zitakuwa zile za watu wenye mahitaji maalumu au ambao waneshindwa kukimu maisha yao. na mara nyingi hiz free apt huwa si safe.

    • @libeberu
      @libeberu Рік тому +3

      Hapa tunaibiwaaaaa, kwamba homeless wa USA hawajui zilipo?
      Hapa tumepigwa

    • @alexandermilanzi9860
      @alexandermilanzi9860 Рік тому +8

      ​@@libeberuvitu vingine sio vya kubishia...kumbuka marekani ni kubwa nchi moja inakaribia kuwa sawa na ukubwa wa bara la Afrika....si rahisi kila sehem kuwa na watu wengi.... Mfano Tz🇹🇿 buguruni chumba si mpaka 15k mbona watu dar wanalala nje?

    • @tanzuaprint
      @tanzuaprint Рік тому +4

      @@alexandermilanzi9860 Narudia Marekani hakuna nyumba za $1
      Iko hvi:
      Serikali inaweza ikakujengea nyumba ikiwa wewe una familia kubwa au kuna vigezo fulani unahitaji wanavyohitaji unavyo wanaweza kujenga kwa ajili yako alafu wewe utakuwa unalipa kidogo kidogo lakini si $1.
      Au unakuta nyumba hiyo alafu unalipa kama $200 kwa mwezi. hizo ni za serekali.
      Mara nyingi hizo apt huwa haziko safe. maybe nyumba cos wanakujengea sehemu tofauti.
      Hakuna kampuni ambayo itakujengea nyumba imeweka mamilion ya $ alafu wewe ulipe $1.
      labda za shiriki na shiriki ni sawa na bure na linapokuja swala bure maana yake hapo hakuna usalama.
      Na hata za shiriki kuna sheria zake kuwepo pale.
      hata nyumba zile za kuamishika hakuna hata ya $ 50 maybe za bure na bure si kwa kila mtu.
      Huyu dada si mjanja kuliko Wamarekani wote, tunazijua code zote za government.
      Marekani ni nchi kubwa laakini ukiwa Marekani ni kijiji. Acha kushangazwa na ukubwa wa nchi, mitindo mbinu ni rahisi sana. kutoka kusini( North carolina) mpaka CA ni saa 5 kwa ndege.
      Tunaendesha gari kutoka Carolina mpaka iowa.

    • @madytwaa
      @madytwaa Рік тому +1

      ​@@alexandermilanzi9860bro ukubwa wa bara la Africa unaujua vizur interms of square meters bara namba 2 kwa ukubwa after Asia au unaropoka tu 😂

    • @Football-cl2hj
      @Football-cl2hj Рік тому

      @@alexandermilanzi9860hata hotel Usiku tuh ni dolar 100 kwenda juu

  • @Fechasharon
    @Fechasharon Рік тому +1

    Dah huyu dada ni muongo balaa dah😢

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Рік тому +1

    Kam hapo ni Marekan hayo maeneo sikai hat kwa bure hiv usalam upo kwnz

  • @user-ev6bq9gf1f
    @user-ev6bq9gf1f 3 місяці тому +1

    Ila acha wongo siyo dola moja

  • @Humanscale800
    @Humanscale800 Рік тому +6

    Sio kwa ubaya lakini mbona watu wa hapo kwani hawajui kama hapo ni $1 rent? Either ni murder scene hapo, ama ni $1 a kwa saa na $720 kwa mwezi. Ama $1 monthly na massage with happy ending to the landlord 😂

    • @ChikoMathias
      @ChikoMathias 11 місяців тому

      Ndio tupate kaxi na kuja huko

  • @dlumala
    @dlumala Рік тому

    Unisaidie nano zamani ha ha inshore kusikiiza

  • @andrinisrael9289
    @andrinisrael9289 Рік тому +1

    Ukijitaji hela pia kua na kitu chenye mashiko unafanya jambo la kudhalilisha nchi

  • @oswaldkakuyu
    @oswaldkakuyu Рік тому +7

    Location ya hii apartment iko wap na je naweza nikapata contact yako ili unipeleke na nikapaone

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 Рік тому +2

    Lo umejitoa ufahamu kupost UONGO 😂😂

  • @neemachristine2666
    @neemachristine2666 Рік тому

    I can leave there comfortable with my husband and eight children comfortable

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 7 місяців тому

    Jmn daah ila mbali sana kazi zinapatokana huko

  • @allyshomari7417
    @allyshomari7417 11 місяців тому

    Safi safi. My daughter!!

  • @petermponeja498
    @petermponeja498 Рік тому +2

    Tunaomba address za hizo apartment

  • @GQTVONLINE
    @GQTVONLINE Рік тому +2

    Dada tunaomba connection ya kupata kazi

    • @hapanilipo
      @hapanilipo  Рік тому

      Nitakupa Connection nduguyangu usijali. Nipe muda nalifanyia kazi.

    • @GQTVONLINE
      @GQTVONLINE Рік тому

      @@hapanilipo Ubalikiwe

    • @HoneysugarPudding
      @HoneysugarPudding Рік тому

      ​@@hapanilipo jamani dada kazi ukipata nyingi mie pia nisisahaulike tafadhali Mungu akubariki sana

    • @mercysamuel9281
      @mercysamuel9281 Рік тому

      Mamie naomba connection na mimi za kazi huko

    • @mercysamuel9281
      @mercysamuel9281 Рік тому

      Mamie na mimi nisaidie kazi huko

  • @magretkijanga6038
    @magretkijanga6038 Рік тому

    Aisee naomba no ...naitaka

  • @abdulshaban4560
    @abdulshaban4560 Рік тому

    😁😁😁😁😁😁marekaniiiii sawa Dada,......

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 Рік тому

    Salam zangu kutoka neworleans Louisiana 👍

  • @anthonysindabaha7517
    @anthonysindabaha7517 Рік тому +1

    Hizoo ni unsafe apartments na mara nyingi hutumika na disabled ..hvyo basi hakuna apt hapo states kwa $1 acha kudanganya watu unless una seek for subscribers na followers

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 Рік тому +1

    Ttunashukuru kutuabarisha kumbe tusiogope kuja Kuna vyumba Hadi vya $1

  • @ivanamkapa2369
    @ivanamkapa2369 Рік тому

    Nyolooo

  • @hidayamotto7210
    @hidayamotto7210 Рік тому +1

    Dollars Moja hi ya 23000 kw tz sh au

  • @Walae260
    @Walae260 Рік тому

    Uwongoooo

  • @selineakoth1483
    @selineakoth1483 4 місяці тому

    huko ni state gani dadaa

  • @rhobywerema6996
    @rhobywerema6996 Рік тому +2

    Hiyo nyumba huku kwetu milion 2 laki5 bora tu nihamie huko sasa shida kazi

    • @hapanilipo
      @hapanilipo  Рік тому

      Kazi zipo nyingi sana, Ila kwa mwanzo usichaguwe.

    • @rhobywerema6996
      @rhobywerema6996 Рік тому

      @@hapanilipo kwa mtu kama mimi elimu yangu ya 4m4 nitapata kazi gani

    • @rhobywerema6996
      @rhobywerema6996 Рік тому

      @@hapanilipo Natamani nipate kazi nimtunze mwanangu maana napitia wakati mgumu

    • @HalimaChuwa-kk5lt
      @HalimaChuwa-kk5lt Рік тому

      ​@@hapanilipokwa ambao hatujasoma tutapata Kaz gan uko jmn

    • @frolahsaloon2506
      @frolahsaloon2506 Рік тому

      @@hapanilipo nitafutie kazi hata yakulea watoto

  • @user-of1uy6jv3o
    @user-of1uy6jv3o 8 місяців тому

    Dada naomb namba tuwasiliane

  • @hmanews12
    @hmanews12 Рік тому

    Habari yako,,,, nahitaj namna ya kuweza kuwasilian na ww,, hata Kam ni kea email kuhusu mafunzo ya UA-cam na namna ya kufungua channel

  • @monicacyprian9137
    @monicacyprian9137 Рік тому +1

    marekani ya wapi jamn kusingekua na homeless kama ni hivyoo je kunahuduma za kijamii

    • @alexandermilanzi9860
      @alexandermilanzi9860 Рік тому

      Ushaambiwa huko ni Texas sio kila sehemu marekani ni maisha mazuri tu.... Na ndo maana hata hao homeless wapo pia marekani.... Haya njoo dar vyumba mpaka 15k bugurun

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 7 місяців тому

    Usalama ukoje

  • @user-yg4er5kb4x
    @user-yg4er5kb4x Рік тому

    Great madame

  • @muskrilcardo9372
    @muskrilcardo9372 Рік тому

    hi ni mathalau ya hali ya ju, milango ata aifunguwe?!?!?

  • @athumanizaidi8560
    @athumanizaidi8560 Рік тому

    Hizo apartments zinapatikana wapi hap US?

  • @innoofficialtz8516
    @innoofficialtz8516 Рік тому

    Asee safi

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 Рік тому

    Hio nyumba inawezekna iko nje kbsa ya mji wa marekani asee ,na hmna kazi hapo,na joto lililopo hpo ni balaa unaweza ukafa kma umegendua hio nyumba ina Ac,fan

  • @HawaKibeshi
    @HawaKibeshi 3 місяці тому

    Marekani maeneo gan hayo nije madam

  • @lusajomwakajoka4955
    @lusajomwakajoka4955 Місяць тому

    Dola 100

  • @veilasharu2162
    @veilasharu2162 Рік тому

    Ok

  • @nuruvinny5141
    @nuruvinny5141 Рік тому +1

    Ndo maana awatupigii picha wakiwa makwao

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Рік тому

    Good content

  • @BenLeeBl
    @BenLeeBl Рік тому

    Mgen akija km anatak kwenda choon inabid aingie chumban....

  • @stannydidasy
    @stannydidasy Рік тому +1

    🔥🔥🔥

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 Рік тому +2

    Hee dola moja kwa mwezi wakati kuna watu kibao marekani wanaishi barabarani washindwe kulipa dola moja mhuu

  • @melkizedekoliech7859
    @melkizedekoliech7859 Рік тому

    Tryna imagine thousands of$000i can save 4 investment livin in these houses😮😮😮 Uffffffff!!

  • @godfreykipanga9468
    @godfreykipanga9468 Рік тому

    Uwongo

  • @leonardpeter8239
    @leonardpeter8239 Рік тому +2

    ni dolla1 kwa mwezi au kwa siku?

  • @crownpress5512
    @crownpress5512 Рік тому

    Huko kutakuwa ni Kama uende kuishi mabwebande 😂😂😂…kutakuwa hata huduma za jamii unasafiri siku mbili

  • @user-nx7ll2ce5v
    @user-nx7ll2ce5v Рік тому

    Kweny bei apo km umetupga vile dollar 1 kwa mwez au 100

  • @bonfacmoshi569
    @bonfacmoshi569 Рік тому +1

    Labda kama unaolewa! Msitudanganye hivyo!

    • @hurumakhadi9943
      @hurumakhadi9943 Рік тому

      Ni uwongo hakuna nyumba ya dollar moja hapa marekani

  • @batromeombogo297
    @batromeombogo297 Рік тому

    waaaao i like it... imejikuta na-subscriber in short nimependa kaziyako mnooo

  • @user-fq4ys9ws7u
    @user-fq4ys9ws7u Рік тому

    Mbona hutu tafut nasisi

  • @saxinajoseph4289
    @saxinajoseph4289 Рік тому +1

    Acha utapeli nyumba hizo ni za Bureeee kwa hapa marekani...

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Рік тому

      sasa hiyo pesa si bure kabisa utofauti ni nini

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 Рік тому

    Iyo nikwel kabis wala sipingi

  • @user-ev6bq9gf1f
    @user-ev6bq9gf1f 3 місяці тому

    Mbona kama buza kwampalange

  • @AminaMustafa-uw7jc
    @AminaMustafa-uw7jc Рік тому +1

    dollah 1 kwa siku or

  • @yaqubyahya6285
    @yaqubyahya6285 Рік тому

    😂😂😂 apo umetu danganya dada,..akuna nyumba ya 1$ USA....

  • @benjamincharles2606
    @benjamincharles2606 Рік тому

    Me nko tayari KWA kaz yoyote

  • @keyla3641
    @keyla3641 Рік тому

    Jamani Dola moja tu wapi sijawahi kusikia

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 Рік тому

    Mmh

  • @hanschuma7734
    @hanschuma7734 Рік тому

    Nimeipenda hiyo nyumba huku ss tunalipa mahela meengi halfu chumba na sebure choo bafu kichen how come

    • @frankdanford8245
      @frankdanford8245 Рік тому

      Atufanani kiuchumi kwa america inawezekana ila kwa afrika itatuchukua karne mbili kufikia huko

  • @florianscarion5085
    @florianscarion5085 Рік тому +1

    Acheni kupumbaza watu.

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo Місяць тому

    Uyo dada ni muongo siyo $1

  • @shabanimwinyikhery1174
    @shabanimwinyikhery1174 Рік тому

    Nataka nije

  • @user-hv1oz4ei3t
    @user-hv1oz4ei3t Рік тому +1

    Taratibu utavunja vitasa vya watu

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 Рік тому +4

    Ukiishi Maisha hayo waeza Ng”oa pisi kali ya kizungu kweli hapo ni mwendo wa Chama la sabuni😢

    • @hanschuma7734
      @hanschuma7734 Рік тому

      Tembea mwanangu utanielewa unan'goa sana mpaka utaniambia....mbona rahis tu hao

  • @JustinBernad-wp3eo
    @JustinBernad-wp3eo Рік тому

    Madam embu nisaidy kit hv naram za usafir kutok tz adi huko inagarim shingap

    • @hapanilipo
      @hapanilipo  Рік тому

      Gharama za Usafiri inategemea na ndege unayotaka kupanda ndugu yangu.

    • @JustinBernad-wp3eo
      @JustinBernad-wp3eo Рік тому

      @@hapanilipo ok je? Ndege amby garam kidog n chin ina cost shingap

    • @robertabel6984
      @robertabel6984 Рік тому

      Ila we naye ni kiazi sana kwahiyo hicho chumba ndo kimekufanya upate hamu hivyo au

  • @user-uk6cu3ls2q
    @user-uk6cu3ls2q Рік тому

    HahahahahHaha mbavu mie zinatoka mbavu nimecheka sana comment

  • @kisagentabirage6693
    @kisagentabirage6693 Рік тому

    Dada mie nataka kuja marekani unaisaidiaje pls am very interesting kweli dada angu pls

  • @SophiaMarwa-gt6id
    @SophiaMarwa-gt6id Рік тому

    Naomba conection ya kaz dada

    • @hapanilipo
      @hapanilipo  Рік тому

      Nduguyangu Kuna Website 5 za kazi nimetowa leo. Hope itakusaidia.

  • @vincentndonye7989
    @vincentndonye7989 Рік тому

    Wewe ulianza hapo....

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 Рік тому

    Mbona kila kitu kimepinda kianzia milango mpaka makabati😆😆😆😆

  • @adammalima3408
    @adammalima3408 Рік тому +2

    Nimesubscribe Leo ila nimefaidika Asante sana keep up

  • @kevinsheshe4954
    @kevinsheshe4954 Рік тому

    Nice one

  • @user-bt9gn3qg4y
    @user-bt9gn3qg4y Рік тому +1

    sasa hao homeless wanatokana na nini ??

  • @merrymassa-hi6iy
    @merrymassa-hi6iy Рік тому

    Mimi niko Tanzania

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 Рік тому

    Sinza ni laki 2 huu mjengo aisee balaa

    • @hapanilipo
      @hapanilipo  Рік тому

      Yani balaaa na nusu, tena pale mitaa ya Kwa Remmy.😅

  • @vitrahbongz9420
    @vitrahbongz9420 Рік тому +1

    Huy dem katupig 😂😂1$!!

  • @minaahlove7618
    @minaahlove7618 Рік тому

    😂😂 it's funny

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Рік тому

    Wapi hapo

  • @handzdownrecords1156
    @handzdownrecords1156 Рік тому +1

    Mmmmh😂 dolla moja?? Whats the catch?

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 Рік тому

    Kumbe na USA kuna nyumba za hivi?

  • @Kevinamenya8
    @Kevinamenya8 Рік тому

    Huku ni state gani

    • @hapanilipo
      @hapanilipo  Рік тому +1

      Texas

    • @Kevinamenya8
      @Kevinamenya8 Рік тому

      Unajua huko ni ocha..Kwa hivyo nyumba ya oos jamo ni kawaida..but nice content..

  • @bigboys016
    @bigboys016 Рік тому

    Umepapataje hapo dada,aisee

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 Рік тому

    Hizo ni free please usidanganye watu

  • @Doremi_pro
    @Doremi_pro Рік тому

    Mbona kama unatucheka tunaotaka kunnua ilo geto

  • @SusanNassoro
    @SusanNassoro Рік тому

    Hi ni Jimbo gani hapo. Toa contact yako

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 Рік тому

    State ipi hii huko Americani

  • @monicageorge2181
    @monicageorge2181 Рік тому +1

    Dola moja unapata chumba,choo,sebule jiko....duh hatari.

    • @maxsolutionstz
      @maxsolutionstz Рік тому

      NAZANI ITAKUWA NI DOLLER 1 KWA SIKU NA SIO KWA MWEZI HAIWEZEKANI ULIPIE 2300 KWA MWEZI

  • @wilsonm.7376
    @wilsonm.7376 Рік тому

    Je maeneo hayo pia kuna kazi za kufanya upate dola?