RECAP: MAPUNGUFU SHOW ya ALIKIBA?? ilikuwa ni SOMO kwa wasanii wengine, CHINO & JOH MAKINI walitisha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 43

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 2 місяці тому +10

    Safi sana kaka umetisha ,lazma ukweli isemwe ,king Kiba ameweza anastahili pongezi

  • @Dimitripayet-y6x
    @Dimitripayet-y6x 2 місяці тому +8

    Jamaa anajua sana 👑

  • @idrisashelimo307
    @idrisashelimo307 2 місяці тому +5

    King kiba katisha snaaaaaaaa Jamaaa ni noma

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 місяці тому +3

    ❤❤❤King kama King 👑 😊

  • @natureboy972
    @natureboy972 2 місяці тому +17

    Leo umeongea ukweili kabisa ndio mana akaitwa King anajua Sana jama 20 years bado yupo unafikila nini bro ,... King Kiba ninoma sana

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 2 місяці тому

      Kwenye stage hapo umeupiga kaka TFF iwafikie

  • @AsumaniMajesty
    @AsumaniMajesty 2 місяці тому +8

    Huyo ni King Kiba 👑👑👑❤️❤❤

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 2 місяці тому +7

    King is the best

  • @ALLY_K61
    @ALLY_K61 2 місяці тому +5

    Kingkiba

  • @hassanmohammad2504
    @hassanmohammad2504 2 місяці тому +9

    Leo umeongea point kubwa Sana mzee kiba ni best of the rest

  • @HalimaNamangupa
    @HalimaNamangupa 2 місяці тому +7

    Good good good good

  • @ALLY_K61
    @ALLY_K61 2 місяці тому +4

    Ndio King huyooo

  • @zainabuabdul7852
    @zainabuabdul7852 2 місяці тому +8

    Ni crown media hao sound

  • @AlanAlimas-rc8zo
    @AlanAlimas-rc8zo 2 місяці тому +1

    nakubali sanaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌

  • @kadito-kenya
    @kadito-kenya 2 місяці тому +2

    He the head of events so must be looking different to audience ❤ it's true presenter

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 2 місяці тому +4

    😂😂😂naona mashabiki wengi humu ndani na wa Kiba

  • @emilegentil9538
    @emilegentil9538 2 місяці тому +5

    King😊

  • @BaiterMkepule
    @BaiterMkepule 2 місяці тому +2

    Kiba alifunika wasanii wote

  • @katchyclassicjuma2066
    @katchyclassicjuma2066 2 місяці тому +2

    Kaka uyu jamaa ni atari uto maliza sifa zake king ni king

  • @VaraneJackson
    @VaraneJackson 2 місяці тому +1

    Eeee baba hilo jini kwenye swala la uimbaji hakuna mtu atamfikiaa kingkibaa mamaee ata dunia iumbweee upyaaaah🔥🔥🔥🔥

  • @Farida-jx5nz
    @Farida-jx5nz 2 місяці тому +2

    Brow unaitendea haki taaluma yako upo vizuri..... Elimisha wasanii wabadilike . Mindset zao zipo juu wakati action zero. King kiba anaweza jmn!!!

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 2 місяці тому +1

    Sounds ni kazi ya Crown Media waliweza sana

  • @Mbaley
    @Mbaley 2 місяці тому +7

    Why wasani wa tz wasiwe naanda izi concert wenyewe kama musician wa congo wanafanya kwenye uwaja wao wanaweza hata wa tz🇨🇩

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 2 місяці тому

      Tatizo hapa ni Tz wenye nchi ndio waamuzi na wenye mpira wai

  • @HazardHbcomEmmanuelprodduseign
    @HazardHbcomEmmanuelprodduseign 2 місяці тому +1

    Courage vraiment Alikiba il se force mais le problème c'est dans son pays il faut qu'il quitte d'abord comme Diamond platnumz 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @MosesMzungu-v9j
    @MosesMzungu-v9j 2 місяці тому +2

    Banaeeeeeeen simba juuuuu

  • @sosbrayantbenjamin9701
    @sosbrayantbenjamin9701 2 місяці тому +4

    Haters gonna hate!!! Umeongea ukwe mtupu

  • @MeshackSweetberth
    @MeshackSweetberth 2 місяці тому +1

    Nakukubar broo kwanin uskaenae ukamshaur baadh ya mambo mie nakuona unamwanganzur.

  • @shimbiofficial
    @shimbiofficial 2 місяці тому +2

    Hapo sasa upo kama mtangazaji

  • @octavianeptune2633
    @octavianeptune2633 2 місяці тому +2

    Almando kigeugeu sana

  • @zainabuabdul7852
    @zainabuabdul7852 2 місяці тому +5

    Msimu uliopita hakuvaa jezi bwana alivaa kifalme

    • @rojatv167
      @rojatv167 2 місяці тому

      Kumbuka alifanya show 2 moja ya uzinduzi wa afl ndo alivaa kifalme full white

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 2 місяці тому

    Let's be serious Alikiba alifunika mbaya sana aseeh, Watu walienjoy sana.

  • @alibachirofficial3939
    @alibachirofficial3939 2 місяці тому

    Mzem wa mapungufu🤣🤣🤣🤣

  • @Lufuta33.
    @Lufuta33. 2 місяці тому +1

    nimekusubili tokea juzi nione unasemaje!!!!

  • @pablobalondani2141
    @pablobalondani2141 2 місяці тому

    ndio

  • @Sakinaamani-o1t
    @Sakinaamani-o1t 2 місяці тому +2

    Ndiye bba ke,an n mwanasoka ujue

  • @HalimaAmani-j7v
    @HalimaAmani-j7v 2 місяці тому

    Hakuna kama king kibaaaaaaaa

  • @Sakinaamani-o1t
    @Sakinaamani-o1t 2 місяці тому +1

    Uongo wako hata ya mwanzo ilikuwa bora c ya kawaida ngo'

  • @ikramikra5219
    @ikramikra5219 2 місяці тому +1

    ww kila siku nikuandika mapungufu ya wenziy kenge nyau.
    Nimekufatilia kila siku huandiki mazr ni mapungufu2.
    Kwanza na ww una mapungufu yako
    Kwa nn unatumia jina la SNS hiyo Recup ni sns walionzisha
    Rudi kwenye kazi y kutaft habar kwa kina Mwijak na Baba levo

  • @ndeleofficial
    @ndeleofficial 2 місяці тому +1

    Ali saa kifalme bana

  • @octavianeptune2633
    @octavianeptune2633 2 місяці тому

    😮😮😮😮😮😮😮😮