SHEM SHEM | 2 | MKOJANI,NAGWA,MTANGA,

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • #shemshem #mkojani #comedy

КОМЕНТАРІ • 159

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 10 місяців тому +4

    Mkojani masara tuwache weye na nangwa angekuwepo nayule tin pangezindi kunonga mana nyote vituko huyo mtanga vituko huyo hajii ndo babalao kwakweli muna furahisha ❤❤❤ so much 🇬🇧 🇹🇿🙏

  • @WizzyDante
    @WizzyDante 10 місяців тому +10

    Mkojani achia iyo nyimbo tuiskie sio baruti uyoo kweli 🔥😂😂

  • @AbdulnasriHamisi
    @AbdulnasriHamisi 10 місяців тому +9

    Mkojani na nagwa lazima vurugu itokee😂😂😂😂😂 nimecheka kama mjinga😂😂

  • @TumusifuAnicet
    @TumusifuAnicet 10 місяців тому +5

    Kweli mimi napenda mkojani aigize pamoja na ngoma nagwa daaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂1❤❤❤❤

  • @KiondoOmari
    @KiondoOmari 10 місяців тому +1

    Nyie jamaa mna jua sana
    Nawakubali sana muje na geita basi uku tuwaone mkojani nagwa chandim samofi Baruti chumvi nying kamugisha nawakubali kinema

  • @Listacom
    @Listacom 10 місяців тому +13

    😂😂😂Hii combination ni Kali Sanaa 🔥🔥🔥

  • @nassirabdalla-o1e
    @nassirabdalla-o1e 10 місяців тому +9

    Nagwa on Fire❤❤ uciondoke tena mkojan gang tuzd kuinjoy

  • @douglasessau9945
    @douglasessau9945 10 місяців тому +4

    Hii Kali Sana 😂😂😂 mkojani unaua , mtanga ni balaa

  • @hasnahas61
    @hasnahas61 10 місяців тому +4

    😆😆😆😆Ngo'mbe wewe hunijui Sema nagwa ndo anakuwezaga ngo'mbe wewe 😆😆😆

  • @azizmiraji2610
    @azizmiraji2610 10 місяців тому +4

    Nagwa na mkojani msigombane mnafanya kazi nzuri sana mkiwa pamoja

  • @taharamohd4853
    @taharamohd4853 10 місяців тому +7

    😂😂😂😂😂😂nilikua nimewamis vurugu zenu mkojan na nagwa😂😂😂😂😂

  • @hamisissa1115
    @hamisissa1115 10 місяців тому +2

    Oya nagwa huna baya we ndo mzee wa hizi kazi nakukubali sana.

  • @mohamedmwambeni4695
    @mohamedmwambeni4695 10 місяців тому +6

    nagwa hongera sna kwa kurud hom mkojani gang

  • @jayfadhil8404
    @jayfadhil8404 10 місяців тому

    Siku nying sana mkojan hajachezea migumi huyo sio Samofi shenz wewe umekutana n bendera chuma 😂😂😂

  • @InnocentArmadillo-do9vm
    @InnocentArmadillo-do9vm 6 місяців тому

    Mkojani gang nagwa haji mtanga team kazi nzuri sana

  • @franckbarloni6462
    @franckbarloni6462 10 місяців тому

    Mkojani weeeee ,wew mnoma wasimzurumu mkee wako hapana ng'ombe hawakujuwiiijjj

  • @JumaJuma-fu7ji
    @JumaJuma-fu7ji 10 місяців тому +2

    😂😂mkojani msenge eti kwataarifa yako wameingia wanawake 3😅😅

  • @yusuphsule4798
    @yusuphsule4798 10 місяців тому +3

    Kupoa unyongeee apo enyewe shega👍👍

  • @isamgodwin
    @isamgodwin 10 місяців тому +2

    Life is dynamic so conquer mkojani to differentiate characters. Kalibu nagwa

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 10 місяців тому +2

    Kazi nzurii sana🎉🎉

  • @KimbilimaSocial-dy9cl
    @KimbilimaSocial-dy9cl 10 місяців тому +1

    Movie imekuwa kari kinoma
    But kuna vichwa vingi
    ambavyo maarufu hakafu
    Na nimafundi sanaa duuh

  • @omaniwkssjsj6537
    @omaniwkssjsj6537 10 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂iiiih movie kali ngoma nagwa is come back

  • @DonaJean-y3e
    @DonaJean-y3e 10 місяців тому +3

    We nagwa wewe ni mkali sana 🎉🎉

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 10 місяців тому +2

    Mwite mwenyewe haha namwitaaaa😂😂😂😂

  • @HamisiFaraji-ej5mf
    @HamisiFaraji-ej5mf 10 місяців тому +2

    Wap mkojani wap nagwa nawakubal sana ❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kassimabussa6583
    @kassimabussa6583 10 місяців тому

    Nagwa na mkojani mkikutana Moto unawaka usiondoke Tena mkojani mmetoka mbali endeleeni kulisukuma gurudum laburudani mkojani geng wote saluti

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 10 місяців тому +1

    Good job mkojan gang amna kaz mbovu 🎉🎉🎉

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 10 місяців тому +3

    La moto hili tambaraaaaa🤣🤣🤣🤣

  • @dollar105
    @dollar105 9 місяців тому

    Daah huyu nagwa moto wa kuotea mbali🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aminakesi5945
    @aminakesi5945 10 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂uyu nangwa n chado mabalaaa😂😂😂

  • @Jaydannychawaboy1.
    @Jaydannychawaboy1. 10 місяців тому +39

    Kwa kua wa Kwanza nipeni likes zangu basi hata tano tuh 😂😂😂❤❤❤❤😢😢😢😢😢😮

  • @faizhassan8423
    @faizhassan8423 10 місяців тому +4

    Zamu ya Mkojani kula makonde😂😂

  • @mbuziwakutaga
    @mbuziwakutaga 10 місяців тому +2

    Saluuuuuti yaan nagwa ni 😂😂😂😂

  • @Asma-m1j
    @Asma-m1j 10 місяців тому

    Alikisema yeye😂😂😂😂weeeeee kwa kichekohiki mkataba Oman simalizi watanifukuza hahahahaaha mama weeeeee aa

  • @SharifuAlbughul-ls4mw
    @SharifuAlbughul-ls4mw 10 місяців тому +1

    Apa mkojan kapata chafu ykee😂😂😂😂😂

  • @hamadihamisiambale8943
    @hamadihamisiambale8943 10 місяців тому +3

    Twende nalo mkojani gang mwanzo mwisho ❤

  • @jybrowndesigner2173
    @jybrowndesigner2173 10 місяців тому +1

    Hiii ni nouma sana bro big up MKOJANI GANG

  • @saheemally1411
    @saheemally1411 10 місяців тому

    Mkojani uyoo nagwa mtaftie bagaa ama chadooo ndo hii shem shem itazid kupamba motooo

  • @mohamedmwambeni4695
    @mohamedmwambeni4695 10 місяців тому +1

    santa nagwa tandika sna huyo mkojani

  • @fidemgonja1966
    @fidemgonja1966 10 місяців тому

    Nangwa karudi sass mkojani umemisi kukandwa makofi😀😀😀

  • @aminatwalib318
    @aminatwalib318 10 місяців тому +2

    Nagwaa umewezaaaa😂😂😂

  • @mwasa_tv
    @mwasa_tv 10 місяців тому +4

    Nagwa ni 🔥🔥🔥🔥

  • @swalehjumah137
    @swalehjumah137 10 місяців тому

    Mkojani usimwache nagwa kabisa fanya nae kila filamu coz ukiwa nae filamu upamba moto sana.....oyaah wee tukonayo adi de end kutoka Dubai

  • @mariamagenda149
    @mariamagenda149 10 місяців тому

    Ety yy ndo mme wao wote ngoja akutwe😂😂😂

  • @salmsalmo931
    @salmsalmo931 10 місяців тому

    Mkojani sasa kupigwa na nagwa utakoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 10 місяців тому

    Mwamba mkojani na nangwa mkikutana movie zinakua moto

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 10 місяців тому

    Mkojani gang hamupoi hamuboi.unaondokaaaaaa

  • @simbamiseyeki7338
    @simbamiseyeki7338 10 місяців тому +1

    Ukisikia funga mwaka ndo hiii😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mudywaya328
    @mudywaya328 10 місяців тому +1

    safi king nagwa👏👏👏

  • @mboscinho
    @mboscinho 10 місяців тому +2

    Léo nimekua wa 16 Boy from mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @aureusnchimbi7243
    @aureusnchimbi7243 10 місяців тому +4

    Mtanga🔥🔥

  • @presentertelence1679
    @presentertelence1679 10 місяців тому +4

    😂😂😂 NAGWA KARUDI

  • @mosalah857
    @mosalah857 10 місяців тому

    Mkojani na nagwa awajawai patana awa adi raha

  • @ramadhansadiki1003
    @ramadhansadiki1003 10 місяців тому

    Sema nimekubali mwamba karibu

  • @jamaliaugustino7408
    @jamaliaugustino7408 10 місяців тому +1

    Wa kwanza pia😅😅😅😅

  • @mohamedmwambeni4695
    @mohamedmwambeni4695 10 місяців тому

    piga pigaaaaa mkojani ulizoea kupigiwa ni nagwa

  • @MtanaSaudbeca
    @MtanaSaudbeca 10 місяців тому +2

    Nikependelea ataepisod moja tuone usiku🎉🎉🎉

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 10 місяців тому +2

    ❤❤❤

  • @araphatywanyamale6475
    @araphatywanyamale6475 10 місяців тому +1

    Mudaa jamaniii 😓😢 umezidii kupunguaa

  • @KelvinSpensor
    @KelvinSpensor 10 місяців тому

    Kakosekana kilangaso tu mzee wa kupigwapigwa

  • @mystreetworkout1181
    @mystreetworkout1181 6 місяців тому

    Nagwa tunakupenda sana burundi

  • @meninamerry1143
    @meninamerry1143 9 місяців тому

    Yani kwenye hi movie palikosa Sanofi 😢😅❤

  • @sabrinaadenisi8574
    @sabrinaadenisi8574 10 місяців тому

    Mkojani nagwa anakufaa mkuu saana

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 10 місяців тому

    Nagwa anajua sana yani party yake anaicheza ipasavyo na haiwezi kupata mtu

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 10 місяців тому +2

    😂😂😂😂😂 mkojani😂😂😂😂

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 10 місяців тому

    huyu mke wa mkojani amefanana na riyama Ally aisee nilijua ni yeye

  • @babuafya3446
    @babuafya3446 10 місяців тому

    hii iko sawa sqna aisee

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 10 місяців тому

    Dagh mkojani shida sana

  • @EmilianKomba-sb4kn
    @EmilianKomba-sb4kn 10 місяців тому

    Nagwa nakubal sana unanondolea streets baba

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 9 місяців тому

    😂😂😂😂😂raha Sana jmn

  • @MwanamisimungalugoMungal-vw9mo
    @MwanamisimungalugoMungal-vw9mo 9 місяців тому

    Mke wa mkojani afanana n riyama

  • @mudywaya328
    @mudywaya328 10 місяців тому

    saluuuti👏👏👏👏🔥🔥🔥💥

  • @yusramwinjuma4721
    @yusramwinjuma4721 10 місяців тому

    Mkojan pole sana kwa mafua

  • @mariamagenda149
    @mariamagenda149 10 місяців тому

    Aisee nmeipenda ihii

  • @AliMkumbukwa
    @AliMkumbukwa 8 місяців тому

    😂😢😂😂😂😂namwita simwiti

  • @fred_Ree7
    @fred_Ree7 10 місяців тому +1

    Ngoma nagwa 🙌

  • @Mojabo-l8u
    @Mojabo-l8u 10 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉nangwaa 🎉🎉🎉🎉

  • @JobberyJovial-nc8vg
    @JobberyJovial-nc8vg 10 місяців тому

    Mkojani kwa utamuu huu jiyahidini basi episod 2 kwa sikuu maana tunarudia rudia hizi sio kwa uzuri huu...hiii funga mwaka ...kesi utasomewa mpaka basi 26 yupo ndani ya nyumba ula ula msambwaaa sikuuuu nyiiiiiingi hatujafirimbaaaaa......

  • @richardmulei2384
    @richardmulei2384 10 місяців тому

    Mkojani alikuwa ameanza kunoma sasa kimeumana tena

  • @jumaally5385
    @jumaally5385 8 місяців тому

    Mkojan anajua asee

  • @allyaseid3000
    @allyaseid3000 10 місяців тому

    Hichi kichupa kinakuja na moto mkali kweli

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 9 місяців тому

    Nagwa hapendezi hivo anavyo jifanya ovyoo

  • @alisaleh7040
    @alisaleh7040 9 місяців тому

    Huyu riama aw mbn saut imebadilik

  • @ijamarepa
    @ijamarepa 10 місяців тому

    nagwa ni mekubaIi.biIawewe aipendezi

  • @barakajoackim-xu3hi
    @barakajoackim-xu3hi 10 місяців тому

    Mkojani usimuache nagwa akaondoka tena abaki mkojani gang

  • @jerryanton9224
    @jerryanton9224 10 місяців тому +1

    kweli ili funga mwaka mamae

  • @Koddooppah
    @Koddooppah 10 місяців тому +3

    Wa kwanza leo nipeni like zang

  • @brunoernest8368
    @brunoernest8368 10 місяців тому +2

    Wakwanza likes

  • @NyenjeMohamed-wm3vf
    @NyenjeMohamed-wm3vf 10 місяців тому +2

    Nakubali💪💪💪💪

  • @Mr.kigoma
    @Mr.kigoma 9 місяців тому

    Mwamba karud dadeq nagwa boy

  • @michaeltheophile7035
    @michaeltheophile7035 10 місяців тому

    Mkojani kapata kibamba 😆😆😆

  • @prospermango6526
    @prospermango6526 10 місяців тому

    Wazee wa vurugu hao kutwa kutiana ngumi

  • @elviskamp
    @elviskamp 10 місяців тому +1

    Nagwa still number one

  • @swalehjumah137
    @swalehjumah137 10 місяців тому

    Nasubir nimwone baga coz vurugu za nagwa kibako yk baga

  • @suddiibrahimu3354
    @suddiibrahimu3354 10 місяців тому

    twende kazi sasa apo sawa

  • @Gamba81
    @Gamba81 10 місяців тому +2

    Good good 👍🏾

  • @officialyohana2662
    @officialyohana2662 10 місяців тому

    Samofi yuko wapi jmn😅

  • @SultaniDitopile
    @SultaniDitopile 10 місяців тому

    Huyu mmakonde msuli anaita sketi

  • @saimonphilimon2956
    @saimonphilimon2956 10 місяців тому +1

    Jamani nagwa 💥💥💥💥

  • @AloyceMassawe-c3f
    @AloyceMassawe-c3f 9 місяців тому

    Saluuutee👨‍✈️