BALAA LA GIGY MONEY WAKATI ANAINGIA KWENYE UZINDUZI WA REALITY SHOW YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 тра 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" UA-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 12

  • @samuelmbogo7448
    @samuelmbogo7448 3 місяці тому +6

    Huyu binti namkubali sana, haigizi maisha yake, yuko kwenye uhalisia zaidi. Tanzania imebadilika sana na huyu binti ndiyo hasa taswira ya hali halisi ya, tabia, lugha, nidhamu na hisia kwa vijana wetu wengi

  • @StellahLivogah
    @StellahLivogah 3 місяці тому +2

    Mbona watu hawaonyeshi hata furaha wamenuna🤔🤔

  • @cheyompongolo4513
    @cheyompongolo4513 3 місяці тому

    Nchi imekuwa ya kisanii, ujinga mwingi kiasi kwamba haijulikani kesho yake itakuaje.

  • @chimamilion
    @chimamilion 3 місяці тому

    Dj mbwa ww

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 3 місяці тому

    Kavaa nn

  • @catherinesembeka1417
    @catherinesembeka1417 3 місяці тому

    Uchi Kuna nguo hapo?