MY FAMILY 02 by hemed chande from bongo production

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • tafadhali usisahau Ku subscribers na kulike na kucoment ili kuwa wa kwanza kupata movies zetu Kwa uharaka zaid///////// samahani wadau wote Kwa usumbufu wa hii video ila mda wote itamufikia sehemu ya kwanza mnisamehe wadau Wang wote

КОМЕНТАРІ • 232

  • @MariamMwaipaja
    @MariamMwaipaja Місяць тому +2

    Hongern sana mnakznzr sana na inaelmisha

  • @JosephineLucas-xw8uh
    @JosephineLucas-xw8uh 2 місяці тому +1

    Endeleeni kutupa vitu hot🎉

  • @NEEMALUGONO-p6j
    @NEEMALUGONO-p6j 22 дні тому

    M nakujua Kwa jina la edu WA pazia jaman napenda Sana uigizaji wako and hemed Hongera Sanaa Kaka

  • @saudianew2045
    @saudianew2045 Місяць тому

    Cogratulations 🎉🎉🎉movie yenu tamu sana❤❤❤

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 роки тому +2

    Filamu nzuri San hongereni Mungu awazidishie kipaji chenu Cha kutuelimisha

  • @DalhaFiya
    @DalhaFiya 3 місяці тому

    Dada we napenda move zako

  • @dorotheajackob8613
    @dorotheajackob8613 4 роки тому +7

    Allah akupe afya na uzima kaka hemed ili uzid kutupa film zenye kutuelimisha na kutufumbua macho .

    • @ratifamohamedy3223
      @ratifamohamedy3223 3 роки тому

      Kupitia hii filam nimejifunza kityu mmeigiza kwa hisia ongera sanaa

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 роки тому +7

    Movie nzur sn ila dah imenitowa machozi eti jmn ila hongeren sn washiriki wote kz nzur 💪👌❤

  • @janethzenze7120
    @janethzenze7120 3 місяці тому

    HemedyNimependamoviezako

  • @jenifaamosi7454
    @jenifaamosi7454 3 роки тому +5

    Hongeren sanaa pia Hemed umekuwa mchango mkubwa kwa rafk yako akalibeba tatzo la mkewe kama lake. Mtu anayekupenda atabeba madhaifu yako haijalish upo ktk hal gani 👐👐👐

  • @DalhaFiya
    @DalhaFiya 3 місяці тому

    Nakuku bali sana dada 😊😊😊

  • @peterlyimo8033
    @peterlyimo8033 3 роки тому +1

    akika mnajua kutoa elimu mko poa sana drama yen iko bombaaaa

  • @stumay-wx9rp
    @stumay-wx9rp 3 роки тому

    Yaan nikionag sura za hawa watu watatu hemed chndee nawez kuangaliy had asubuh zur zinaelimish mahambba zinavutiy sauti piy zur hongeren sana ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @BashiriDiyo
    @BashiriDiyo 3 місяці тому

    Chande moves zako poa san

  • @user-jn2cx4uw3x
    @user-jn2cx4uw3x 3 місяці тому

    is good ❤❤😢😢❤❤❤❤❤ 💯💯💯💯💯💯💯💪💪💪

  • @vedamtete9070
    @vedamtete9070 4 роки тому +2

    Aiseee nawependa sana Hemed chand na wenzako wotee mung azd kukuinua

    • @shymakalima3092
      @shymakalima3092 4 роки тому +1

      Hawa vijana wawili wapo vizuri sana napenda sana movie zao

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 4 місяці тому

    Mashallah nimefrahia san wallah pongez kwa whska wote❤❤

  • @mestamwampamba676
    @mestamwampamba676 4 роки тому +3

    Nawakubali sana nyie wakaka uingizaji wenu

  • @neemasamsonsamson4125
    @neemasamsonsamson4125 3 роки тому +2

    Kungekuwa na wanaume wa hiv karne hii mmmh

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 10 місяців тому

    Good work nawapenda saaaan hemed chande nakupend saaaan 💕💓💓😘😘😘😘😘

  • @shaniyajohnson5289
    @shaniyajohnson5289 3 роки тому +1

    Nimejifunza kitu hapa hak mungu nilindiye binti yangu

  • @kasoletv2612
    @kasoletv2612 3 роки тому

    Ha ha haaaaa ni hatari sana hakuna wanaume wa dizain hiyo kwa sasa ila omba yasikukute KAZI NZURI SANA BRO NAWAKUBALI HAMJAWAHI KUNIANGUSHA

  • @yusfatfadhil8422
    @yusfatfadhil8422 3 роки тому +1

    Chande movie zak ni nzur ila haziendelei

  • @budedepambakali184
    @budedepambakali184 3 роки тому +1

    Move nzuri Sana inafundisha na inaelimisha endeleeni kutuletea vitu Kama hivi

  • @DavidMusira-ls4vf
    @DavidMusira-ls4vf Рік тому

    Imaging nikiona sura zenu mkiwa watatu zinanitoa rojo🇰🇪👌👌👌

  • @jacklinsnekesa5660
    @jacklinsnekesa5660 3 роки тому +1

    Nawakubali sana kwkazi nzuri.mungu asidi kuwapa hekima namaarifa 🇰🇪

  • @kayirangaclaude1555
    @kayirangaclaude1555 3 роки тому

    Eeeee munguwangu wako kama uyukijana hapa nduniyani yarewo eee mungu akubariki vinjana warewo mubandirike amen

  • @queenshaila4085
    @queenshaila4085 4 роки тому +4

    mov nzur sana💗💖💖💖💖💖💖💖💖💖

  • @marrybaraka5867
    @marrybaraka5867 3 роки тому

    Nimejifunza mengi mungu awabariki sana kwa kutoa elim ya kipekee kweny jamii yetu

  • @salhiyaame7700
    @salhiyaame7700 4 роки тому +6

    Hiii ni kali na inafunza kwa kweli🤦‍♀️

  • @enjomwakapangara1682
    @enjomwakapangara1682 4 роки тому +1

    Ongera sana kaka mungu aenderee kukupa njia imenifnya nilie

  • @user-ic8mc3bd8l
    @user-ic8mc3bd8l 4 місяці тому

    Kazi nzuri guys ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💪💪💋

  • @rehemanditu686
    @rehemanditu686 3 роки тому

    Inafundisha kwa kwerrr nice movie,,

  • @rayyanally5111
    @rayyanally5111 3 роки тому

    Hemed chante daaah nakupenda hasa in your movie

  • @samsonhenerico1084
    @samsonhenerico1084 4 роки тому

    Jaman ni nzur imenigusa sana samahan naomba kuuliza kuna kamziki hako nikapicha gan

  • @nasrayusuph
    @nasrayusuph 3 місяці тому

    Hongereni Kwa kutuelimisha

  • @monicajeremiah
    @monicajeremiah Рік тому

    Nawakubali sana kwakazi nzuri ❤❤❤🙏🙏

  • @JamilaMushi-yi4ox
    @JamilaMushi-yi4ox 5 місяців тому

    🎉🎉

  • @mwajumaabubakar5558
    @mwajumaabubakar5558 3 роки тому +1

    Tamu saaan

  • @iribagizadjohari5008
    @iribagizadjohari5008 3 роки тому +2

    Nimejifunza kama siyovizuri kukata tama nikwamini mungu nakuomba ndoto Zitatimiya bongo production on top

  • @magrethgasto7520
    @magrethgasto7520 3 роки тому +1

    Daaa iMovie hapana cjawai kuona movie mbaya kwenu ongeren kazi nzuri

  • @AishaJuma-ko5ee
    @AishaJuma-ko5ee 4 місяці тому

    hongereni sana kazi nzuri💯

  • @FahadyKirendu
    @FahadyKirendu 4 місяці тому

    nawapenda Sana mungu abaliki kazizenu

  • @iribagizadjohari5008
    @iribagizadjohari5008 3 роки тому +3

    Aaaa iyinzuri kbsa yaninyinyi firm zenu zote nzuri sikuamini kbsa kama inawezekana lakini

  • @subirambao5762
    @subirambao5762 4 роки тому +8

    Imeniliza Sana Jaman,,Ni fundisho tosha kwa jamii asanteni Sana,🙏🙏

    • @shymakalima3092
      @shymakalima3092 4 роки тому +1

      Wasema ww hadi nimeshikwa n mafua kwakulia kaka hongera sana

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 роки тому

      Inafunzo nzuri sana

  • @deenashon1321
    @deenashon1321 3 роки тому

    Nimeipenda sn maana imafundisha kwakweri😗😗😗

  • @ashamganga6636
    @ashamganga6636 3 роки тому

    Nakupenda sana hemed ww ni zaid ya msanii nakufatilia sana kazi zako hongera mungu akusimamie🙏🙏🙏

  • @neemastephen4245
    @neemastephen4245 3 роки тому

    Wow movie inamafunzo Sana Mungu aendelee kuwaongoza mzidi kuelimisha jamii..Big up wahusika wote

  • @user-hc5no2bj4z
    @user-hc5no2bj4z 3 місяці тому

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ispiyvette3664
    @ispiyvette3664 3 роки тому

    Duuu asnteni sana kabisa kwa movies nzuri sana kama iyi jamani sina mengi yakusema ira munanipa nguvu kabisa duuu

  • @smjtzjana1228
    @smjtzjana1228 4 роки тому +1

    Nakubal sana kazi zenu

  • @albyaabiyawilondja6090
    @albyaabiyawilondja6090 Рік тому +1

    Asante kwama funzo mema mahana nimejifuza mengi ashwa kwangu mimi km mtoto wakike jisi ya kulida afya yangu Asante sn na mungu awabariki kwa kile mu nacho kufanya 🙏🙏🙏from Congo 🇨🇩

  • @neemajosephsamwel5663
    @neemajosephsamwel5663 4 роки тому +3

    Ur loved bro, keep it up movies zako ziko safi

  • @sabinamaganga2507
    @sabinamaganga2507 3 роки тому

    Wamefanya vizuri be sana

  • @umynata8255
    @umynata8255 4 роки тому +2

    Inafundisha sana

  • @SerenakaremboDzombo
    @SerenakaremboDzombo 9 місяців тому

    Mmejua kuniliza😭😭 lesson well learned

  • @JosephineLucas-xw8uh
    @JosephineLucas-xw8uh 2 місяці тому

    ❤❤

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 4 роки тому +1

    Zittoh wew kiboko kbs

  • @sammem8548
    @sammem8548 3 роки тому +1

    Inature bro hemed chande hupend kuongea xn
    I mean Co muongeaj xna
    I'm really excited for you

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 4 роки тому +1

    Namba moja mtaitowa lini

  • @user-pv7dc7uc9l
    @user-pv7dc7uc9l Рік тому

    ❤❤❤❤❤ mung awabalik san inshallah 🤲

  • @habithhayr48
    @habithhayr48 4 роки тому

    I like dis gal she z so pretty mashallah. An hemedy also

  • @mariamrajab3505
    @mariamrajab3505 3 роки тому +1

    😂😂😂 ha po kweny maombi mchungaj kaniacha hoi

  • @NEEMA-qp3dr
    @NEEMA-qp3dr 5 місяців тому

    muvi zili sana pia nimeliya sana pia imenfuza pakubwa sana ogeleni sana 😢😢😢

  • @florakawau5615
    @florakawau5615 4 роки тому +1

    Nzuri saana

  • @burundibru4174
    @burundibru4174 3 роки тому

    Pore sana kabisa dada yangu

  • @rahmaomar9646
    @rahmaomar9646 4 роки тому

    Nimeipenda hii move na huo mziki wa ezel

  • @veroo869
    @veroo869 3 роки тому

    Movie nzuri sana👌👌

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 роки тому +3

    Nzur sn👌🙏

  • @qinwin3677
    @qinwin3677 3 роки тому +1

    hemed move zako zuri ❤❤

  • @shymakalima3092
    @shymakalima3092 4 роки тому +1

    Woow nimeipenda sana muko vizuri wanaume kama hawa hakuna tena walioko ss ni magumegume yaliyo jaa hasira tele hongera sana kaka kwaustahamilifu sikuzote mwenye kusubiri hakosi

  • @sharonahshantie9869
    @sharonahshantie9869 3 роки тому

    nzurii sanaa nimeipenda ila part 1....

  • @rahmanahimana5895
    @rahmanahimana5895 3 роки тому +1

    Muendelezo jamani man ninzuri saan

  • @elizamasawe5239
    @elizamasawe5239 3 роки тому

    Napend San kaz yko zn elimish.vjan n jamii nzm

  • @hawahawa6915
    @hawahawa6915 4 роки тому +7

    Nzuli Mashaa Allah yakwnz hipo wapi wapendwa wang

  • @sabrahally3797
    @sabrahally3797 4 роки тому +1

    Cool ! Awesome

  • @priscadaudi4849
    @priscadaudi4849 4 роки тому +1

    Ni kweli wanaume kama hawa hawapo

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 роки тому +1

    Mungu ninusuru nisije kosa watoto

  • @safinanamgales5580
    @safinanamgales5580 2 роки тому

    Wanajua sana hakika

  • @selemanahssani2469
    @selemanahssani2469 3 роки тому +1

    Sy cg

  • @ramadhanijafari2338
    @ramadhanijafari2338 3 роки тому

    Nyie mtakuja kufanya mapinduzi ya movies mainga yani production yenu iko vzri sana nawapa ongera sana

  • @muniramsati5345
    @muniramsati5345 3 роки тому +3

    Wapendwa Mbona mie sehem ya kwanza cjaiona nimeanzia hii ya pili😢

  • @fariothetiler9928
    @fariothetiler9928 4 роки тому +1

    Nzur San part one iko wap jamn

  • @lydiamuli3328
    @lydiamuli3328 3 роки тому +3

    Nice one, napenda move zenu jinzi uwa munazipeleka kwa.utulivu tu, maneno machache kwa sauti ya chini na tunaelimika🙏🙏

  • @adelaramadhani5809
    @adelaramadhani5809 4 роки тому +1

    Nzuli san,😍😍😍😍😍

  • @sabrahally3797
    @sabrahally3797 4 роки тому

    Wew. Doctor kibokooo. Weuweee

  • @sheridaraymond8475
    @sheridaraymond8475 Рік тому

    Nzuri dan

  • @bethaselemani6581
    @bethaselemani6581 4 роки тому +1

    Nizur san

  • @frorenceetoile3016
    @frorenceetoile3016 3 роки тому

    Ati sikuwa muchoyo kwenye vijana wenzangu daaa

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 4 роки тому +3

    Ila ya kwanza bado 1

  • @kizitostephano1501
    @kizitostephano1501 3 роки тому

    Chande umezaa amini mwanao ni the best

  • @sabrahally3797
    @sabrahally3797 4 роки тому +4

    Ila by the way nakapenda hako kabint ni mcute😍👌

  • @roshichocolatee8084
    @roshichocolatee8084 4 роки тому +2

    Jmn party one mbn sijaona

  • @frorenceetoile3016
    @frorenceetoile3016 3 роки тому

    Asanteni kwa elimu zuriii ❤❤❤❤❤

  • @vailetikulanga5393
    @vailetikulanga5393 3 роки тому

    Nawapenda💕💕💕

  • @MremaDanieli-hy4jo
    @MremaDanieli-hy4jo Рік тому

    Nawakubalisan

  • @rahmanahimana5895
    @rahmanahimana5895 3 роки тому +1

    Nzuri ila tumekos part one

  • @mwanamisimish778
    @mwanamisimish778 3 роки тому

    I say movie nzuri ila inasikitisha

  • @janemarwa3023
    @janemarwa3023 3 роки тому

    Wow mafunzo mazuri

  • @tadeojoakim4134
    @tadeojoakim4134 4 роки тому

    Appreciate mungu awatangulie na hakika mutafikia malengo coz mnajua sana hongeren sana