Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mmbugu hapa nimekuja kufuatilia historia yangu. Very good work. Big up
Hahahaaaaaaa nimefurahiii sana Watani wetu.MWAAKA !
Twaaka haya nibaiya
Bibi yangu mzaa baba no mmbugu
Mm ni mmbugu ila sijui Ngoma zetu
Hakika Wambugu pia ni wapenda Mazingira
Jamni wambugu tupo wengi lakini lugha yetu hatuijui tufundishane hata kidogo
Ahahahaaa nimefurahi eti Msaambaa Ana mvua
Hili jina ni kubwa muno hata inchini Kenya ipo na wapo akina wambugu
Wambugu hoyeee,twaaka sarikune, I proud of my tribe.
Nimeshanga kwamba Kuna watu wanaitwa wambugu ili hari hata hapa kwetu Kenya Kuna wambugu wengi Sana wanao patikana katika kabila la wakikuyu lilioko murima Kenya Mt Kenya.
Umekosea kuna wangarito ambao ndio sisi 3:40
kumbe niliza ni mbugu ni mpare
Hongera sana kutupa ukweli wa kabila hilo je kwasasa makabila mengine yanaenda kuoa au bado hilo ningumu kwao?
Tunaomba kuona video za ngoma zao
Kweli kabisa wambugu wapo wengi kuna wanasango wambugu kuna qwagoja
Kumbe wambugu kivutio cha utalii 😂. Niko Hapa nawapungia 😂😂😂 we are in the next level .na hapo hamjaenda deep……KAZI NZURI UMTV
Sarikuniii
Kipindi kizuri xanaa ila kimekua kifupi sana humjachambua vizur kabila la wambugu mmepitia juu juu
Tuzungukiwe mmojammoja tuhojiwe.Tuna mengi ya kusimulia😂😂😂😂
Bado kuna mengi ya kufahamu tungependa kupanua wigo tufikie kwa 0695559776
Nakweli
Mm pia mmbugu ohAmashi
Nimekimpenda ila kifupi dear baba angu mkubwa nae alitobolewa sikio ...ila umesahau pisi za kimbugu zinakuaga kali kinoma
Rudia Tena na uchukue maelezo mengi hata kwa nusu SAA inatosha kujifahamu sisi Ni Nani hasa
Umekosea kuna wangarito ambao ndio sisi
Mimi ni mbugu

Mm pia mmbugu oh
Amashi