Mashallahh sauti mwanana na pia kitu ukipendacho ndio furaha yako pesa haiwezi kuweka mapenzi Ila mapenzi ni ndani ya moyo asa hapo kwa wazee sina la kisema (Hb Mambo hayo)
Mashallah sauti nzuri ila kipendacho roho wapili waenzi alieweza kukustahmilia mwanzo kwa shida na raha basi unaweza ishi nae kwa mapenzi na furaha pesa sio mapenzi wala alichochanguwa mzazi sio upendo wako ni shindikizo la wazazi
Wapili kwani ameiridhika hali yake kwa hivyo atakuwa tayari kukuvumiliaa kwa chochote kile na wazee ni kukaa chinii nao na kuwashawishii ili wakukubali kwani hata wakakulipia mahari hawaezi kukusaidia kumfanya msichana akubali hali yake na wa kwanzaa ni tamaa tu lkn haaaa pesa ni zake na si zangu ipo siku ataichoka hali yako duni
Mashallah shairi limenigusa Sana uko vzr Malenga wetu Allah akuongolee kazi yako
Mashallahh sauti mwanana na pia kitu ukipendacho ndio furaha yako pesa haiwezi kuweka mapenzi Ila mapenzi ni ndani ya moyo asa hapo kwa wazee sina la kisema (Hb Mambo hayo)
Assalamu alaykum wallahi wanawake mtihani sana mimi binafsi nitamchukua huyu wapili wazee wangu watanisamehe aamin
Maa Shaa Allah Binti Bogoyo na wengine msaidieni kijana mimi nimepwelewa
Yassalaaam Yassalaaam namba mbili 2 ndio wangu inshaallah
Mashaallah shairi zuri kwa upande wangu bora achukuwe alicho kipenda mwenyewe
Huu mfumo nimeupenda sana,ila mungepata taa ingkua Bora zaidi,pili tungo kuntu Sana
MaashaAllah, nice shairi
Owa wote haki yako mwisho 4 ila 1 muowe wa 2 , mashaallah
😂😂😂
Mashallah sauti nzuri ila kipendacho roho wapili waenzi alieweza kukustahmilia mwanzo kwa shida na raha basi unaweza ishi nae kwa mapenzi na furaha pesa sio mapenzi wala alichochanguwa mzazi sio upendo wako ni shindikizo la wazazi
MASHA ALLAH
Nimefurah kumuona sheikh Omar na mwenzake Ridhwan mana hua tunawaskia saut tu
Ya salaam mashaallah
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu WADAU WA RIYADH na koo zima ya riyadh Tv online znz
Wewe wamshauri nini?
oa wa pili sababu wewe kampenda mwenyewe tokea shuleni...pia utaishi kwa amani kwa hali yako ya maisha..peace is everything in marriage
Chukua wote ikiwezekana malizia kabisa na 4 ili ufike kikomo cha kuowa
Ushauri chukua wa 2 maisha ya utaenda ataridhika vyovyote ulivyo na ana mapenzi ndani ya moyo na wewe ndio chaguo la moyo wako utulivu utapatikana.
Yasalamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu🙌👍👂🌷🌹⚘
Kwa kweli mm nairusha kwa wa kwanza kwa sababu amenipenda kwa moyo msafi na pia namba 1 ni bora.Wa pili atakuja akuruke
hahahahha haaya bhaana
Mmmm ila jibu mko nalo Malenga 😂 na sauti nayo imeingia ndipo
Wote watatu waoe, dini imekuridhia. Waeleze wasikie, haya yanokutokea. Ukewenza waingie, kwa yule atoridhia. Anokupenda kikweli, atangia kwa hiari.
😂😂😂
wacha tamaa
natamani niweze kuwa ktk kikundi hichi sema ndo niko mbali coz naweza pitia hizi swautiii
11:12 mtangazaji hapa umeongea pointi!
Me wa kwanza
Mm naona 2 ni bora
Wa 2 wangu mwenyewe hapo nafsi itatulia hao wengne hapana cwez kuchaguliwa
SHEH ULOMPENDA MWENYEWE OWA IKITOKEYA LAWAMA NIWE MWENYEWE TU
Wapili kwani ameiridhika hali yake kwa hivyo atakuwa tayari kukuvumiliaa kwa chochote kile na wazee ni kukaa chinii nao na kuwashawishii ili wakukubali kwani hata wakakulipia mahari hawaezi kukusaidia kumfanya msichana akubali hali yake na wa kwanzaa ni tamaa tu lkn haaaa pesa ni zake na si zangu ipo siku ataichoka hali yako duni
Wallah mm nitamfata tajiri kwani nao nimoja yazile sifa nne za kuolewa kwa mwananmke
Ww kama mm
mimi wa tatu,ilinipate radhi za wazazi.hao washakuwa katika ndoa na wanajua ni nini ya kuangalia au kutafuta
Chukua wrote watatu ila aza wamwisho wapili Tajiri awe mwisho
Naona wakwanz kish naoa watatu kixha wapili yaan kiufup naoa wote
Swali istikhara uombe ushauri kwa Allah
Wa kwanza raha ya maisha ya ndoa upendwe
Mm kama mm nilompenda mwenyew ndo naoa katika shair atakuw ni wa pili
Kama uwezo unaluhusu bas owa wate ila kama nimasikin kama unavyo dai bas owa umpendae
wa kwanza bila kutafuna maneno
Nachagua wa pili .mpende akupendae asiyekupenda achana nae
Oa wote dini inakubali tu
NAOA WOTE WATU SITAKI UPUMBAVU WA MTU ,MMOJA ASUBUHI ,MWENGINE SAA KUMI NAMALIZIA SAA NNE USIKU NAKULALA KABISA
😂😂😂
Pesa si kigezo, wazee si kikwanzo. Penzi ni moyo wa mwanzo
Wapili ndilo chaguo langu
Owa wote
Haijambo Ridhwan umetulia kama maji ya madafu yapo kikombeni
uwezo wake mmoja tu Zayyat
@@newshabari94.9fm5 kwa Allah hakuna kinachoshindikana Allah anauwezo wa kummilikisha wote 3 na akambarikia riziki pasipo mwenye kutalajia
@@newshabari94.9fm5 aowe alie mpenda
Pesa sabuni ya roho Shekhe omari
Ulompenda mwenyewe
B1m
Shekhe Omar mm nahic kwa vile sheria ni wake 4 bc owa tajir wa mwanz halaf utakuw na uwezo utamalizia kuwaowa wote watatu
Me ntachukua wapili..
wote owa dini inaruhusu tenaokiwezekana siku moja
😂😂😂😂😂bora 4 kuliani 2 kushotoni 2
Oa huyo wapili
Wa pili
wazee wako na hekima
Kwa mm wa3 ndo muwafaka
Mm naona 2 ni bora