SERIKALI INATAFUTA CHAPA YA "MADE IN TANZANIA" ITATUMIKA KUTAMBULISHA BIDHAA ZA NCHI KIMATAIFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 8

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk День тому +2

    Safi 🇹🇿🇹🇿💕

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 День тому +2

    safi sana hivyo ndo tunasonga

  • @remmyemmily
    @remmyemmily 20 годин тому +1

    No fair competition, Hawa huwa wanachukua ideas nzuri wanazimix then wanampa designer wao anamodify tu kazi inaisha. Hakuna kijana wa hovyo anaweza kushinda hizi competition

    • @DanielKullwa
      @DanielKullwa 6 годин тому

      Ndo utakuta logo moja imewekwa rangi kama zote...very cluttered....nashangaaaga sana

  • @arafasalim9948
    @arafasalim9948 День тому

    hongera

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 21 годину тому +1

    KWANI hiii nchi Kila siku inatambulishwa tu??

  • @DanielKullwa
    @DanielKullwa 6 годин тому

    Hizi tunastukiaga tu logo ishatoka halafu ina mavitu mengiiiii...hatari

  • @Alkebulan-Afrika
    @Alkebulan-Afrika День тому

    Naomba habari iandikwe kwa kina na ieleweke.
    Shindano linaanza lini na lina ukomo lini?
    Wabunifu watume kazi zao wapi?
    Barua pepe ipi nk...