Majaliwa Amekiwasha Mwanza | Atumbua Wawili

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameingilia mgogoro wa ardhi jiji la Mwanza na kutumbua viongozi wawili

КОМЕНТАРІ • 4

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 Рік тому +2

    Kwa kweli mji wa mwanza unanuka taka za chooni kila wakati zinatiririka bara barani Kenyatta Road, pamba Road zote zinatoa harufu mbaya. Kila baada ya siku 3 maji taka yanatiririka barbarani hakika tunavuta hewa isiyo safi. Tusaidie baba

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Рік тому +1

    Sikuzote ulikuwa huoni miaka mingapi watu wanalalamika Kila Kona ya nchi

  • @IddySeleman-w3w
    @IddySeleman-w3w 3 місяці тому

    Kama nyinyi viongozi mnafanyiana hivyo kibaya zaidi Waziri mkuu wanashindwa kukuheshim je, sisi watu wachin tutasikilizwa na nani??

  • @easymapetv
    @easymapetv Рік тому +1

    Work it harder