Dada hongera MUNGU AKUBARIKI sana na akuzidishie kila Lilo jema napenda unavyoimba natamani na mm siku mmoja niimbe na wewe GOD BLESS YOU MORE AND MORE
Asante sana Dada Despina 🙏 Kila siku nakaa nikisubiria wimbo kutoka kwako ! Hakika unajua kuchagua nyimbo nzuri aise 🙏 Mwenyezi Mungu akujalie kila lenye Kheri maishani mwako !
🤣🤣👍👍👍 Hongera sana dadaangu Despina asee , wimbo mzuri, umeimba vizuri, na umecheza vizuri, na pia kinanda umecheza vizuri... mekuona ukicheza hapo safi sana asee ... What a bibilical voice 🤝🔥🔥🙏🙏🙏🙏
Jamani naupenda sana wimbo huu,nazipenda sana nyimbo zako,Barikiwa kutoka Kenya.
Asante
Unaimba vizuri sana.Ubarikiwe.Tuna kumiss sana huku Parokia ya Roho Mtakatifu Segerea na Jumuiya yako ya Bikira Maria Malkia 😢😢😢
Asante Mama Nashukuru sana pia nawamiss Sana wanajumuiya wangu na Parokia yangu.
Wimbo mzuri umeutendea haki umenibariki sana 🙏🙏🙏
Asante. Mungu akubariki zaidi pia.
Despina despina despina. Three times I called you, sweet voice, god bless you.
🙏🙏🙏
Great sn kaz nzur keep it up madan
Amina
Sauti yako ni nzuri inavutia, napenda kusikiliza nyimbo zako zina ujumbe mzuri
Asante sana Dada Getruda. Karibu sana Tutafakari pamoja .
@@despinae.mdende Amina Amina sana mdogo wangu tuko pamoja 🙏
nice job dadadaaaaaaaaaa, karibu tena sumbawanga rukwaaaaaaaaaaaaaaaa
Asante sana kaka Frolence Nitakarobia
Mungu aendelee kuikuza kazi Yako,❤
Nakupenda sana Dada Despina yani nakupendaaaa ubalikiwe sanaa ❤❤❤❤
Amina. Asante sana🙏🙏🙏
Big up sana mdogo wangu. Umeupiga mwingi. 👌🏻❤😘. Chukua maua yako. 💐💐💐💐
Asante Dada🙏🌹🌹🌷🌷
Mungu akutunze tuzidi kupata vitu vzr madame
Amina
Nabarikiwa na uimbaji wako dyadya, najaribu kuvibrate kama wewe ila sitoboi hongeraa saaaaaaaana
Kazi nzuri mtumishi
Asante sana
Upepo wa nguvu na ndimi za moto…. Safi saana kazi nzuri binti wa Yesu Despina
Asante Kaka🙏🙏
Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki kazi yako ya uinjirishaji daima dada angu
Asante Sana.
Huu wito wa umbaji nimeupenda
Amina
wow! am a Kenyan but am proud of Tanzanians. you're so talented
🙏🙏
Blessed sana Sr Mdende
Wonderful sorprano
Kongole. Kazi yako nzuri. Hakika u kielelezo changu
Asante sana🙏🙏
Hongera sana dada, kazi nzuri, hakika u kielelezo kwangu
Asante🙏🙏
Wooow so Nice song dada
Mungu azidi kukubariki katika utume wa kwaya,
Mungu akujalie mema yote Dadangu uzidi kutubariki na nyimbo tamu,kwa kweli mimi unanibariki sana,naomba siku moja uje Nairobi.
Asante sana. Ntakuja
Aisee Mungu akujalie neema hii idumu umuimbie mpaka mbinguni hakika unaongoa roho zetu Dada Despina E. Mdende
Asante Sana
Hongera sana dada despina kwa wimbo mzuri 🤝🔥🔥 umeupiga mwingi hakika pentecoste umeenda vzr
Amina🙏🙏🙏
Dada hongera MUNGU AKUBARIKI sana na akuzidishie kila Lilo jema napenda unavyoimba natamani na mm siku mmoja niimbe na wewe GOD BLESS YOU MORE AND MORE
Asante Sana karibu sana Tuimbe pamoja Tumsifu Mungu.
hongera Sana dada yangu Kwa kazi nzuri Mungu akubaliki 🙏
Amina🙏🙏
umekuja kivingine dada, hongera
Sauti tamu sana dear
Asante Mary🙏🙏
Umeweza. Tafuta subscibers wengi wa chanel yako. Nakutakia mema
Amina
Ubarikiwe wimbo mzuri
Amina
Asante sana Dada Despina 🙏
Kila siku nakaa nikisubiria wimbo kutoka kwako !
Hakika unajua kuchagua nyimbo nzuri aise 🙏
Mwenyezi Mungu akujalie kila lenye Kheri maishani mwako !
Amina
Ase, sister unanibariki Sana, Mungu azidi kuchochea karama hii uzidi kuponya roho za watu
Amina kaka
🔥🔥🔥 hongera sana,, sauti usiyochoka kuisikia
Amina🙏🙏Teddy
Wimbo mtamu sana. Hongera dada Kwa sauti na kipaji kizuri
Asante sana
Hongera saana dada kwa kazi nzuri na tulivu.
Asante sana
Dah good work dada Mungu akuweke sana
Amina Denis🙏🙏🙏
Wimbo mzuri wa Pentecoste honger sana dada ❤
Asante
@@despinae.mdende kabisa
Barikiwa sana Despina 🔥🔥🔥👏
Amina🙏🙏
Hongera sana Dada umenibariki
Amina
My dada❤
Asante Bitrice
Such a great inspiration.More grace dear one.
Kama kawaida Mdende. Wimbo mzuri sana na umeuimba vizuri ❤❤
Asante sana
Hongera sana Despina, Mungu akuzidishie karama hiyo ili uzidi kumfurahisha katika kao lake Takatifu.
Amina🙏🙏🙏
Hongera Dada ✨🤗 Nakupenda ❤️
Asante Dativer
Bwana akubariki dada etu
Asante sana🙏🙏🙏
Huyu diye aliyetumwa na Mungu kuiponya roho yangu❤
Kazi ipo kabisa
Safi sana dada wimbo safi umeutendea haki
Asante Sana🙏🙏🙏
Hongera dada wimbo mzuri sana
Asante Nashukuru
Asante kwa wimbo ❤❤❤
Amina Alfred🙏🙏
Deuspina duuuu
🙏🙏
Hongera sana mpendwa Mungu azidi kukutunza na kipaji hicho!!
Asante sana
Mungu abariki KIPAJI CHA CHAKO
Amina
Kazi nzuri Dada yangu, Mungu Azidi kukuinua🙏🏻
Asante Japhet🙏🙏🙏
Great stuff
good may bless u
❤️❤️❤️ Despina
Cathelin♥️♥️
Wow such a nice song sang by beautiful voice😊😊sooo touching 😊
Thanks🙏🙏🙏
❣️❣️💞
Wow❤ hongera madam Despina
Asante Dada Ragina.
Hongera sana dada Despina
Asante🙏🙏
Be blessed Dada Despina for this heart-touching hymn..so beautiful.
Amina🙏🙏🙏
Hongeraa dada
Asante sana
My favorite song ❤
Kazi safi
Amina🙏🙏
Ubarikiwe dada kwa wimbo mzuri, endelea kufanya kazi ya Bwana
Amina Dada
Hongera sana Dada Wimbo mzuri 👏👏❤
Amina
mungu akutangulie
Kazi nzuri sana my dia
Asante sana
Hongera sana Dada, ila naomba kuuliza huu wimbo ni wa kitambo kidogo sema ume upload saiv au ume record hiv karibuni?
Ahsante kwa wimbo mzuri wa Pentecoste Mungu awabariki sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina
🤣🤣👍👍👍
Hongera sana dadaangu Despina asee , wimbo mzuri, umeimba vizuri, na umecheza vizuri, na pia kinanda umecheza vizuri... mekuona ukicheza hapo safi sana asee ... What a bibilical voice 🤝🔥🔥🙏🙏🙏🙏
Asante sana Nashukuru
Holy Spirit's symbols. (Dove, Fire, Wind e.t.c) nice Song
Thank you🙏
nice
🙏🙏
Wimbo mzuri mwanangu.
Asante Mama
Asante kwa huu utume wako
Asante🙏🙏
❤️❤️
♥️♥️🙏🙏
Safi sana
🙏🙏🙏
My example ❤
❤
♥️♥️
Wawooo, hongera sana Dada umeupiga mwingi. Nazidi kubarikiwa sana na uimbaji wako. But sorry may I have your contact please.
Asante Nashukuru sana.
Need your contact dada if possible.
Mbona sasa namba hujaweka Dada angu, nakuomba please.
Very nice song❤
Thank you♥️♥️
Amen
Asante Kaka Mungu akubariki sana
T
Ile ya sikiliza ndugu yangu ninataka kuongea nawe tittle yake ni gani
Inaitwa kiburi Cha uzima dear
Bravo 👏🕊️
👏👏👏
Amazing ... 👏
🙏🙏
Blessings. ❤️
Thank you 🙏🙏
❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏♥️♥️♥️
Wimbo mzuri wa Pentecoste honger sana dada ❤
Asante
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤️❤️🙏🙏🙏🙏