RAIS MAGUFULI AKIMUAPISHA CAG MPYA NA WENGINE ALIOWATEUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 3

  • @banumagathia8293
    @banumagathia8293 5 років тому +1

    Namshukuru sana huyu raisi, ni kiongozi anaofaa kabisa. Ametamka mara nyingi na kusema katika hotuba yake: "Nendeni mumtangulize Mungu!" Inaonekana ni kiongozi anaomtii sana Mwenyezi Mungu. Hongera sana Mheshimiwa Raisi kwa kumuhweka Mungu mbere ya kazi zako zote na kuamuru viongozi wako wote kumuheshimu na kumutanguliza mbere.

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 5 років тому

    “Kwa hiyo tunakuamini, lakini pia unaheshima, tulikutoa kwenye ukamishena jenerali na kukupeleka kwingine, hukutoa neno, wala manung’uniko, you are so humble & polite”, ofcourse alichokisema JPM ni hakika kwa Charles Kichele, maana siku anamtoa ukamishena nilimwona kama ni mtu mwenye sura ya unyenyekevu mkubwa na upole kwa mkubwa wake wa kazi, hata mimi nilijifunza kitu kutoka kwa kichele katika hilo, nadhani pia ana athiri ya upole na heshima kwa watu, maana nilishawahi kukutana nae bandarini katika tukio moja la export pale TICTS, kuna wakati tunajifunza unyenyekevu na heshima hata kwa walio chini yetu kupitia watu kama akina Kichele, kila la kheri katika majukumu yako japo lazima uwe mkali katika nafasi hiyo!.

  • @husainabdu2676
    @husainabdu2676 5 років тому +1

    My president