Kuhusu jemedari kua na chuki na yanga huu ni ukweli Kabisa ,mm nimemsikiliza Sana anapo Anza kuongelea yanga na anapoongelea timu zingine, Amenitoa Mbaka kusikiliza kipindi Cha michezo Crown NAJISIKILIZIA TU KASIR mwambieni abadilike
leo TFF viongozi na bodies ya ligi Tanzania mnajua ni kinanani ni madalali wa wachezaji, kinanani ni macio wavilabu na kinanani ni wachambuzi. Twapaswa kutofautisha hawa watu. wanatulisha madudu yasio stahili kutokana nawao na utashi wao hii sio sawa kabisa TFF amkeni ili kupunguza huu utitiri mbovu amkeni.
Kama alisajili yanga kwa nn apewe kibali?hapa mwenye kusema ukweli ni singida walimuuza mchezaji wapi?ukweli yanga tumepigwa,,tukikomaa na hili tutaambiwa tulisajili mchezaji mwenye mkataba,,tunyamaze tu.
yaan mtu adhamini milioni 200 kwa team 1 arafu wakati huo huo anaweza kuzionga timu hiyo hiyo milioni 50 mechi moja tuchuke mechi 2 zote wanazo kutana na Yanga jumla milioni 100,sasa kuna haja gani ya kudhamini si bora awasubiri wanapo cheza mechi na yanga atoe hizo kuliko milioni 200 anazo dhamini?Tafuteni mnapo jikwaa si vichaka vyakujificha nyie madunduka.Ooohoo kadhamin team 6 sijui 7,Leo mnamigogoro karibu sajiri zote za ndani bado tu hamshituki?Leo ni msimu wa 3 huu mnachezea kichapo na Yanga tuseme nanyie mmedhaminiwa na GSM?
Wewe Godi unatakiwa upewe TV, hawa wachambuzi wengine ni kama wavuta bangi, kuna siku wanaamka vizuri wanakuwa na mawazo mazuri , lakini kuna siku wanaongea utumbo na pumba mpaka unashangaa amepewa vipi kazi kwenye TV
Kweli god ulichoongea Hawa wanataka mama aingilie kati Kama inshu ya Feisal hili hapana alipe hela zetu
Upo sahihi bro
Kuhusu jemedari kua na chuki na yanga huu ni ukweli Kabisa ,mm nimemsikiliza Sana anapo Anza kuongelea yanga na anapoongelea timu zingine, Amenitoa Mbaka kusikiliza kipindi Cha michezo Crown NAJISIKILIZIA TU KASIR mwambieni abadilike
Bacca kamanda salute
leo TFF viongozi na bodies ya ligi Tanzania mnajua ni kinanani ni madalali wa wachezaji, kinanani ni macio wavilabu na kinanani ni wachambuzi. Twapaswa kutofautisha hawa watu. wanatulisha madudu yasio stahili kutokana nawao na utashi wao hii sio sawa kabisa TFF amkeni ili kupunguza huu utitiri mbovu amkeni.
God Yanga hatari una nondo sana ni bora uwe mchambuz ww kuliko hao manzala🤣🤣🤣🤣
umeongea pointi sana yule mchambuzi sikuzote ayuko sawa mapungufu anayo mengi kwenye uchambuzi kifupi ajui kuchambua mpila
Kaka jemedari ni mwehu wa kutupwa namba 1 duniani
Mimi huwa simuelewi oluma hata kwa dawa hana akili oluma Mimi namfananisha na jemedari hanma kitu
Jemedali fala Sana
Mm siezi sikiliza watu walio maliza lasaba jemedar
Kama alisajili yanga kwa nn apewe kibali?hapa mwenye kusema ukweli ni singida walimuuza mchezaji wapi?ukweli yanga tumepigwa,,tukikomaa na hili tutaambiwa tulisajili mchezaji mwenye mkataba,,tunyamaze tu.
God yanga leo umeongea kiutuuzima sana
Mimi napendekeza kiundwe chama cha mashoga na msemaji wao awe oruma maana mbele ya wanaume tu ni puma tu
Huyo Jemedari anaeleweka ni zwazwa, mtoto siyo riziki.
Hapa ifahamike kbalance story
GodYanga uko vizuri.
Diarra amefunguwa kwa muda gani? Kwa kosa gani?
Huyo jemedari hajielewi anacho elewa halafu hajui mpira
Huna kitu gongowazi tulia
Jemedari ni mpumbavu mno, atutajie nchi inayochezesha wa ndani tu, ligi ya aina hii ni ya mume na mke tu.
Mpiraa wa Sasa ni kudhamini vilabu vyote na mdhamini mmoja ambaye ni mfadhili mkuu wa utopolo kakojoe ulalee
Hiyo ndio akili yako kisoda
yaan mtu adhamini milioni 200 kwa team 1 arafu wakati huo huo anaweza kuzionga timu hiyo hiyo milioni 50 mechi moja
tuchuke mechi 2 zote wanazo kutana na Yanga jumla milioni 100,sasa kuna haja gani ya kudhamini si bora awasubiri wanapo cheza mechi na yanga atoe hizo kuliko milioni 200 anazo dhamini?Tafuteni mnapo jikwaa si vichaka vyakujificha nyie madunduka.Ooohoo kadhamin team 6 sijui 7,Leo mnamigogoro karibu sajiri zote za ndani bado tu hamshituki?Leo ni msimu wa 3 huu mnachezea kichapo na Yanga tuseme nanyie mmedhaminiwa na GSM?
Wewe Godi unatakiwa upewe TV, hawa wachambuzi wengine ni kama wavuta bangi, kuna siku wanaamka vizuri wanakuwa na mawazo mazuri , lakini kuna siku wanaongea utumbo na pumba mpaka unashangaa amepewa vipi kazi kwenye TV
Wandishi wana vuta skanka
Jemedari sio mchambuzi ni chawa tu simba nipo zanzibar
Oruma
Ni jinga sana hajui kitu...chawa wa dunduka tu mpuuzi sana
Mjinga tu wewe huna hoja yoyote..Uchawi wewe unaujuwa .