Big up xan mudy unajua xan wallah Kwa hii series umeua xan kwanz binafsi nlipenda xan pale ulipokua unaongea na Jordan kashka mke wak I say nlipenda xan pale uliongea Kwa hisia Kali xan hak
Mudi nampenda sana huigiza vizuli sana kwa wale wasiyo mudu matumizi ya nyumbani ..... kbs mudi ongeza bidii yani mkeo nae asije kubadilika itazidi kuwa nzuri kwenye sanaa yako
Kumbe Mudy anakuwaga mzima 😮😅nadjuwaga ndo hali yake hiyo chapombe,ila Sindi wako hongera sana ana Kazi sana kwako,namtupiya ❤❤❤❤❤ni mke kbs kwa upumbafu unao mfania haaaaa ingekuwa mwingine tayari angekuwa ameshq ondoka anawafata awo wanaume wa hela
ASANTE KWA KUFUATILIA UA-cam CHANNEL YETU PIA AHSANTE KWA KUTAZAMA VIDEO HII PIA TUNAOMBA USISAHAU KU SUBSCRIBE 🙏🙏
Poa Sana napenda sana
Apewe tunzo yake ya taifa kwa sasa mudy @nyunotv
👍👍👍👍👍💯💯💯💯wako sawa
Anaemkubali mudy chapombe agonge like apa
Mbona anaonekana Kam mlevi kwer😂
Moody chapombe wallah nakukubali hatari aise hua unanifurahisha mno ukiwa namkee wako😊
Anatufundisha mengi sana
Anaeamini kuwa muddy pia ni mmojawapo ya comedian mzur sn gonga like apa 🔥 🔥 🔥 ✊🏽
😂Alinichekesha pale alipopigwa na Sindi akamuita Mwenyekiti.Eti Mwenyekiti ananipiga 😂,Nakupenda bure Mudi ❤
Jaman nimeangalia agano na hii dunia aisee mudi na manyanya aiseeeee nawakubali sana ❤❤❤❤❤❤
Naitwa Rukundo Ally kutoka burundi ayise jama namukubali mno chapombe kaka ongera sana kwakipaji chako mungu amukupatiya uzidi kutufuraisha mimi ni muchabiki wako
Big up xan mudy unajua xan wallah Kwa hii series umeua xan kwanz binafsi nlipenda xan pale ulipokua unaongea na Jordan kashka mke wak I say nlipenda xan pale uliongea Kwa hisia Kali xan hak
Nampenda sana mudd kanji.dah analewa kumbe hatumii hata pombe.....❤❤
Mudi nampenda sana huigiza vizuli sana kwa wale wasiyo mudu matumizi ya nyumbani ..... kbs mudi ongeza bidii yani mkeo nae asije kubadilika itazidi kuwa nzuri kwenye sanaa yako
Chapombe 🇰🇪 tunakutambua sana dunia bila ww haiendi ww n mwamba❤
wallai oe
NAKUKUBALI KWA KAZI YAKO MR MUDI UNAJUWA KUIGIZA BROTHER BIG UP BROTHER
Muddy nakubali sana 😊 mzee wa bwax😂😂😂😂 nimejifunza mengi katika Dunia
Mudy hongera sana kaka hiyo episode ya nane aise hata mm nilishindwa kujizuia maneno yalichoma hadi chozi lilinidondoka pia.big up broo
Moody nakukubali sana Acha nkipe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂 mudy nakupenda sana mudy hebu nambie apo ulipo ujanywa kabisa
Nilikua nataka nimsikie live... Akiwa hajalewa mana character hiyo kaiwezea kweli❤❤
😂😂😂 wajua kuigiz kweli ❤❤
mleten kwenye Plan B
Kp napenda sana lz yako
Kweli tena
Kumbe naww umo
Huna baya bro uko poa mchukue huyu mud
Huyo kaka anajua kuigiza atari apokee maua yake 🎉🎉🎉🎉
Muddy napenda uweledi wako sana keep moving
Me nakupenda sana unaweza mungu haikubariki na akusimamie katika hatua zako in Sha Allah wote mrioshiriki❤❤❤❤
Jmn jmn mudi unatupa raha kwa kweli😂😂😂ile sehemu mke wako anakulaza chini yani nimeipenda mno nabaki narusha napatazama
From Canada 🇨🇦 unanikera kwenye Movie jamani punguza please Dada yangu anachokaaaa
Huyu jama'a, siamini kumuona mzima ila namoneya huruma na mkewe, hapunguze pombe sababu ni pesa ya Jordan. From Kolwezi, Congo. Thanks
Muddy bana niatari nakukubali sana aise daaa ❤❤❤❤❤
Sura imekaa kama chapombe kweli kama masele😂😂😂😂
N halewagi mwamba uyo 🎉😂😂😂
Mood tuambie ukweli hujalewa wew hapo kweli😅😅
Mudy fala sana kaeka godoro bondi hlf kulala chini anaumia mbavu😂😂😂😂
Mi nmeisha pale achimama dedee ameona mchumba akee🤣🤣🤣 naishaaa
😂😂😂😂
Mudy nakukubali sana I say,much love from kenya 🇰🇪 ❤❤❤
Yaani huyu mkaka mbona ni handsome na najua acting hasa ya ulevi ❤❤❤
Kaka nakubali sana kazi yako, big up sana unatupa funzo kubwa sisi vijana, we ni noma 😂😂😂❤
Wallahi una weza mudi ❤❤❤hongera sana
Hahahahaha shabani wa victoria primary school watu mnakuwa kwakweli umebadilika kaka
Mi ni shabiki wa Mudy na Mkewe ,Much love from Helsinki Finland 🇫🇮🇫🇮🤝
Jamaa nibonge la msanii half anajua kujielezea sasa🔥🔥
😂😂😂😂nilithani maisha yake ni vile naonaga kwa movie .....congrats unajua kucheza kweli kweli 🎉
Much love from kenya mody km mody big up tunakubali sana❤🎉
Kutoka 🇧🇮
Muddy ulinifanya nilie wakati unamchana Jordan
WE mkali🎉
Mimi pia nilipata hisia kali na huruma 😢
Namkubali moody for 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Naielewa sana tuniah kwawote waloitunga mungu awazidishie sana
Muddy nywele zako zimeanza kuota Sindi atazinyowa tena😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 alimnyoa kweli
Mudy kweli we n comedian 🎉🎉🎉🎉❤
Kabisa sindi, ni mwanamke anae weza kushi maisha ya namna yoyote
Acha tu niseme kweli Mudy mm nakukubali saana kwanza venye huwa unapenda pombe maua Yako kaka🎉🎉🎉
Mulev huyo anaweza
Mkali wangu Muddy 😅🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Muddy chapombe wifi kafanya kazi kubwa mpaka kakupiga para
Kumbe Mudy anakuwaga mzima 😮😅nadjuwaga ndo hali yake hiyo chapombe,ila Sindi wako hongera sana ana Kazi sana kwako,namtupiya ❤❤❤❤❤ni mke kbs kwa upumbafu unao mfania haaaaa ingekuwa mwingine tayari angekuwa ameshq ondoka anawafata awo wanaume wa hela
Jamani me naombeniamba ya mudi nampenda
Big up Muddy chapombe🎉❤❤
Safi sana mudi nakukubali ww mkeo sindi nikiwa kenya 😂❤
Kwa kweli ile scene ilinitoa chozi
Jamaa anajua sanaa
Mudi mulevi unaweza sana ryameni❤❤
Mudi kaka unajua kunifuraisha uko vzr jmn 🎉🎉
Ayooo😂mapenz n yakwny movie tu 😂 kifup n ya mtandaon😂😂😂😂
Nakubali sana muddy hongera zako ❤❤❤🎉
Nakuelewa sana bro na hongeren kwa kazi yenu nzuri
Mdi anajua hongera sana kaka
Shabiki kutoka Kenya, Dunia naikubali
Namkubali sanaa Ila naaamin Anatupiga kidogo vyombo ili mishipa isimame 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂kipande cha manyanya na mudi napenda saan
Mashaallah nawapenda sana natokea kenya
Dunia nikali ilabila muddy hainogi sijui kwen ndugu zang
Automatically kila mtu amecheza powa.ni life style alafu pia move imegonga Kona zote ktk maisha
Sindi ananifanya namuonea huruma hadi machozi. Yaani basi tu wake kama yeye ndo wanaisha mjue
Muddy mm naona ni mtu ambaye anaigiza vzr sana na pia ni mtu anaye fundisha jamii napenda anacho kifanya mungu atamsaidiya ili afike sehem fulan
Muddy bwana uneza letea sindi jiwe ati nyama dah😂😂utaniua na kicheko kaka😅
nakukubali sana mud we mtaalam
Moo vizuri ila mnazingua kutoa mwendeleza mnazubaa sana
Ila mudi tunakukubali cnaa. 😘😘😘
Chapombe naku salute
Wale tunaomkubali mudy tugonge like jamani
Mnachelewa sana kuileta dunia
nachekaga pale kwenye scene ya kuiba pesa ya shilingi laki 3 afu mama mtu anasema alipe 😆😆😆"ni tiki ✅" kwenye series ya DUNIA
Mudy safi sana
Duuuuu mudy umekunywa pombe na ukaweka Bondi godoro kweli hiii ilinifanya ni cheke kweli
😂😂😂😂😂hapo kwenye godoro hahahaha
😂😂😂
Hapo kwenye godoro alichekeshs sana 😂😂😂😂
Kwanini sauti imekuwa ndogo sana kwenye Media hii?????
Mudi wafrahisha sana ❤❤❤❤❤
Yaani me nakuona kama umelewa hata hapo kwenye interview 😂😂 asee
Daaaa hiyoooo sin ya nane nimeangalia mara mbilimbili
Kuigiza jamani kuna ukweli wake 😂😂😂😂
Mudi mupaka ana niliza😂😂😂😂 njamani ana juwa uyo Ku igiza?
Dunia ndio movie Kali inayo fuata snake boy na Boss mchawi
Unajuwa sana Mudi
Gaii Gaiii kumbe ni handsome hivi😳😳😳😳😳😳😳😳
Mudy ameiba nyota ya kobello chapombe 😂🙌🔥🔥
Wow nakupentaaa mudi
Namkubali mno, mwamba anatisha, yani ,duuu, akitoka mdi anaingia manyanya
Huyu jamaa anajua aisee, anaigiza mpaka anaonekana kama kalewa jamn
Unataka kutuchezea akil Kama mkeo,wew mlevi hata hapo umelewa
😂😂😂😂
😂😂😂
Mudi unanikosea unavyo mtesa mtoto mzuri
This boy🙌🔥
Vraiment namunda mudy saana
Anajua sana❤❤
Yani kwakweli mudi mamkubali sana
Kaka anaweza sana
Eti nimekua kama kibudu 😂😂😂❤❤
Yani mpaka niamini kuwa muddy so Mzee wa vyombo so Leo! Ila kk unawakilisha vyema
To be honest this guy he knows out acts like a drone man🇿🇦🇧🇮
Niache niishi kwenye dunia yangu
Jamaa anajua sanaa
I like this reaction on movies