Matendo ya mitume;1:4-5,Yesu aliwaagiza wasitoke yerusalemu Bali waingoje ahadi ya baba.Mpendwa ili kufanya huduma subiri Hadi ujazwe roho mtakatifu,maana njiani mateso,vita,machozi,simanzi,dhiki kila aina ya majaribu imesimama,na pasipo huyo roho hautaweza