Hongera sana shangazi kwa moyo wa kipekee kwa kukubali kumpokea mtoto na kumlea. wazazi watakubaliana na wewe namna kazi ya malezi ya mtoto ilivyo ngumu. Pole sana mama Anwari kwa mikasa ya maisha. Hongereni sana Clouds kwa kazi nzuri.
Hapa kuna vitu vingi sana vya kujifunza ,,, 1. Tusipende kulaumu hatujui kwenye maisha watu wamepita nin katika maisha 2. Pili tujue kusameh maana maisha nichangamoto kubwa sana 3. Tumshukuru mungu kwa kila jambo
Oooh am crying so much may God bless this tv and I wish this guy can get money to live a good life and be happy with his mother and shangazi needs reward for real kulea mutoto it’s not easy 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Hakika kwa ubunifu huu Clouds Media Group Ltd mnastahili pongezi kubwa mno. Nitoe rai kwa familia nyingine zilizopoteana kukutanishwa namna hii maana naamizi Zipo nyingi Sana. Hongereni Sana. Mnarejesha furaha na matumaini yaliyopotea kwa miaka mingi kwenye familia hizi.
Is so beautiful hongereni Leotena na clouds media Cha kale Kila siku ni dhahabu kipindi hiki hakichawahi kutuangusha miaka na miaka keep standing up glory of God is with you watching you from cayman islands
Aunt pole kwa malezi lakini mama asingemtaka mtoto angemtupa au hata kutoa tu mimba,hekaheka za ujauzito zote alizimaliza malezi ni kipengere kingine kakaako angeonyesha ushirikiano mama asingembwaga mwanae,though wamama no matter the situation tuwalee tu watoto wetu.🙏
Mashangazi wana gubu huwa wana nongwa haziishiii hawasamehi mpaka ugalegale au umlipe............🤣🤣 Pole sana sangazi but samehe achilia uvune mema ya Mungu Mungu mwema nina mawifi na aunt zangu siwapi stress na nimewafunza watu wa nyumbani mwangu kuishi na wengine pasi na kupeana stress.. Maisha yenyewe mbilikimo hayaaa😜
umeona ila mi ninawifi yangu mmja huyo nongwa mke wa kaka na sasa nipo oman mara ya. mwisho naondoka hatuongei sasa nikirudi sijui itakuaje wengine ma wifi wana gubu aisee🤔
@@sifatiiman Fanya yako achana nae maadamu umtegemei muhimu weka mahusiano yako vizuri na kaka yako na wapwa wako... Usimuwekee maanani akiongea yanayo kukera usiweke moyoni mpotezeee mpaka mwenyewe ajione chizi na atajitathimini na kukuelewa hapo baadae. Iko hv unapotaka kupambana au kujaribu kuweka mambo sawa na watu wa aina hiyo ndio unawapa nafasi ya kukustrestisha zaidi so dawa yao ni kuwapotezea we unakuwa msikilizaji tu mwisho wa siku anakosa cha kukufanya
@@sifatiiman mawifi hawabebeki cha msingi usiwe karibu nao sana mkutune misibani tuu na kwenye sherehe, akiumwa au akiwa na ttzo la family yake nenda basi ila sio kujifanya we ndo wifi wa Taifa kutwa mpo wote...wanakuchoka na kuanza kukusema.
@@aminathaabubakarmasoud565 kabisa yaan huyu wifi alikua ananisema vibaya tena sio kwa watu live akaniambia wewe huwez kuja kupanga chumba wala kununua kitanda yaan wewe ni wa hapa hapa sasa mwenzake nakalibia kuwa na mjengo wangu yeye sijui alikua mungu wangu ad kuniambia ivo 🤔🧐
Hongera kwa Clouds na team yote ya leotena nyinyi muko maakin sana Mungu awabariki sana maana shangazi alikiwa anaka kuleta kizaazaa kama hamko makin sijui ingekuwaje
Shangazi msamehe mwanamke mwenzio kama ungekuwa na huruma usingemfukuza kwako kakaako ndo kampa mimba rehema leo unamlaumu hiyo ni damu yenu kulea ni jukumu lako usimtie rehema ubaya mtie ubaya kakaako,anuary mlee mamaako usisikilize ya watu,mashangazi kwa maneno ndo wenyewe
Haswaaa na shangazi angekua na wema angemchukua wifiake amsitiri na shida alizokua nazo,na tena akakubali kupewa mtoto police hakua na ubaya huyu mama ni maisha tu yalimshinda
Yaani maisha ya kutokuishi na wazazi yaliniumiza sana toka mwaka 1992 mpaka nimekuja kukutana nao mwaka uwo 2011 na mama akaja kufaliki 2013mpaka sasa siamini kweli alikuwa ndo mamaangu maana nililelewa na Babu alafu nayy alikuwa amufuham mamaangu nilikuwa na umri wa miaka 3 mpaka kuja kufamiana na mama nishakuwa mkubwa
Shangaziacha uongo usije ukaondoa uwepo wa Mungu wako. Hakuna mzazi wa miezi 3 atakayemwacha mtoto akafanye starehe. Hugo Rehema amepitia machungu Sana. Mwombe mdogo wako atubu kwake. Japo nakupongeza kwa malezi.
Nimefurah sana kusikia hii story na kuona mama na mtoto kuonana baada ya miaka 20 kiukwel natamn kuonana n familia yangu wandogo zangu miaka 9 sasa toka nipoteane nao toka mama yetu kufariki ndio chanzo cha kupteana nao kiukweli natamn sana niwaone tena cjui wapo wapi saiv😥😥😥😪😪😪
Anuari hongera kwa kukutana na mama Ila Shangazi apunguze jazba pia aache chuki hapo ukute alishampandikiza mtoto chuki juu ya mama yake hakuna mwanamke anaweza telekeza mtoto wake ni maumivu tu aliyoyapitia na kukosa msaada mm nimemwelewa mama Anuari Ila Shangazi anaongopa anachanganya maneno pamoja nayote Asante Shangazi kwa ulezi ❤️clouds my radio foreva❤️❤️🙏
Haki ya mungu shangazi lazima awe na jazba.kumuacha mtoto kwa sababu ya changamoto ni sawa huwezi laumu lakini kumuacha kwa miaka yoteeee iyo ni jambo lingine kabsa
Kwa sababu yeye alikua akimuuliza baba ake kuhusu mama alimwambia yupo mama Yao ao wengine walikua hawana uhakika kama mama zao wapo hai bado ila daah nimelia Sana
Hongera sana shangazi kwa moyo wa kipekee kwa kukubali kumpokea mtoto na kumlea. wazazi watakubaliana na wewe namna kazi ya malezi ya mtoto ilivyo ngumu. Pole sana mama Anwari kwa mikasa ya maisha. Hongereni sana Clouds kwa kazi nzuri.
Hapa kuna vitu vingi sana vya kujifunza ,,,
1. Tusipende kulaumu hatujui kwenye maisha watu wamepita nin katika maisha
2. Pili tujue kusameh maana maisha nichangamoto kubwa sana
3. Tumshukuru mungu kwa kila jambo
Hongereni sana Clouds F.M Kwa kuwakutanisha families zilizopoteana mda mrefu. Hakika mmeniengezea Mapenzi maradufu kwa Wazazi wangu 🥰♥️
Nimewapenda wachaga hawajatuangusha ukoo mzima umekuja kumchukua Bonifas Asante Clouds kwa kurudisha tabasamu kwa jamii ❤️❤️🙏
Hahahaha kwa kweli yani
Wachaga kwa damu zao
Umeonaeeeee!
Oooh am crying so much may God bless this tv and I wish this guy can get money to live a good life and be happy with his mother and shangazi needs reward for real kulea mutoto it’s not easy 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Pumzika kwa amani mama yangu kipenzi REBEKA DAUDY MKWAWA MWANAO BADO NAPAMBANA DUNIANI HAPA😭😭😭😭😭😭😭
pole sana
Pole
pole mpnz
Pole sana
@@issayajumanne2710 pole sana
Hakika kwa ubunifu huu Clouds Media Group Ltd mnastahili pongezi kubwa mno. Nitoe rai kwa familia nyingine zilizopoteana kukutanishwa namna hii maana naamizi Zipo nyingi Sana. Hongereni Sana. Mnarejesha furaha na matumaini yaliyopotea kwa miaka mingi kwenye familia hizi.
Is so beautiful hongereni Leotena na clouds media Cha kale Kila siku ni dhahabu kipindi hiki hakichawahi kutuangusha miaka na miaka keep standing up glory of God is with you watching you from cayman islands
Ila Geah mzuri jaman , kuanzia sura hadi roho. Mwaaa
😭😭😭Leo nimelia sana jaman 👏👏mungu awabariki wote❤❤❤❤nani kama mama 🥰
Aunt pole kwa malezi lakini mama asingemtaka mtoto angemtupa au hata kutoa tu mimba,hekaheka za ujauzito zote alizimaliza malezi ni kipengere kingine kakaako angeonyesha ushirikiano mama asingembwaga mwanae,though wamama no matter the situation tuwalee tu watoto wetu.🙏
Your too something.....utakuwa unauelewa na mtu makini sana
kabisa umeongea point
Nikweli kabisa kwa mwanamke ambae ajatelekezwa awez kuelewa
Shangazi tukuwekee wimbo gani😂😂😂😂😂
mashangazi sisi..hapana kwakweli
NIMEPENDA SANA UMOJA WA NDUGU WA KICHAGA MUNGU AWABARIKI SAANA
😂😂umeona ee wachaga wamekuja ukoo mzima
wachaga oyeeeeeee nimeipenda hyo umoja ni nguvu asanteni wachaga 👍👍
Anuary is a real Gentleman ✊🏾
Mashangazi wana gubu huwa wana nongwa haziishiii hawasamehi mpaka ugalegale au umlipe............🤣🤣
Pole sana sangazi but samehe achilia uvune mema ya Mungu
Mungu mwema nina mawifi na aunt zangu siwapi stress na nimewafunza watu wa nyumbani mwangu kuishi na wengine pasi na kupeana stress..
Maisha yenyewe mbilikimo hayaaa😜
umeona ila mi ninawifi yangu mmja huyo nongwa mke wa kaka na sasa nipo oman mara ya. mwisho naondoka hatuongei sasa nikirudi sijui itakuaje wengine ma wifi wana gubu aisee🤔
@@sifatiiman Fanya yako achana nae maadamu umtegemei muhimu weka mahusiano yako vizuri na kaka yako na wapwa wako...
Usimuwekee maanani akiongea yanayo kukera usiweke moyoni mpotezeee mpaka mwenyewe ajione chizi na atajitathimini na kukuelewa hapo baadae.
Iko hv unapotaka kupambana au kujaribu kuweka mambo sawa na watu wa aina hiyo ndio unawapa nafasi ya kukustrestisha zaidi so dawa yao ni kuwapotezea we unakuwa msikilizaji tu mwisho wa siku anakosa cha kukufanya
@@sifatiiman mawifi hawabebeki cha msingi usiwe karibu nao sana mkutune misibani tuu na kwenye sherehe, akiumwa au akiwa na ttzo la family yake nenda basi ila sio kujifanya we ndo wifi wa Taifa kutwa mpo wote...wanakuchoka na kuanza kukusema.
@@aminathaabubakarmasoud565 kabisa yaan huyu wifi alikua ananisema vibaya tena sio kwa watu live akaniambia wewe huwez kuja kupanga chumba wala kununua kitanda yaan wewe ni wa hapa hapa sasa mwenzake nakalibia kuwa na mjengo wangu yeye sijui alikua mungu wangu ad kuniambia ivo 🤔🧐
Ndugu wa mume noma sana
hongereni sana clouds mungu awabarikiiiii jmn kweli redio ya watu big up kwa leo tenaaa
Jamani..this is so sad..imeniliza sana
Hongera kwa Clouds na team yote ya leotena nyinyi muko maakin sana Mungu awabariki sana maana shangazi alikiwa anaka kuleta kizaazaa kama hamko makin sijui ingekuwaje
Shangazi msamehe mwanamke mwenzio kama ungekuwa na huruma usingemfukuza kwako kakaako ndo kampa mimba rehema leo unamlaumu hiyo ni damu yenu kulea ni jukumu lako usimtie rehema ubaya mtie ubaya kakaako,anuary mlee mamaako usisikilize ya watu,mashangazi kwa maneno ndo wenyewe
Haswaaa na shangazi angekua na wema angemchukua wifiake amsitiri na shida alizokua nazo,na tena akakubali kupewa mtoto police hakua na ubaya huyu mama ni maisha tu yalimshinda
@@nasmamwantoga7689 sana kabisa
Pongez kwaleo Tena kwa kazi nzur
Nitakukumbuka daima mama yangu Anna josephu maendaenda Nakupenda sana mama na ninakuombea daima😭😭😭😭
Yaani maisha ya kutokuishi na wazazi yaliniumiza sana toka mwaka 1992 mpaka nimekuja kukutana nao mwaka uwo 2011 na mama akaja kufaliki 2013mpaka sasa siamini kweli alikuwa ndo mamaangu maana nililelewa na Babu alafu nayy alikuwa amufuham mamaangu nilikuwa na umri wa miaka 3 mpaka kuja kufamiana na mama nishakuwa mkubwa
Duh polee Sana 😭
Pole sana😭
@@gervasvilindila3619 Nishapoa ndugu
@@vanessarobyn4584 Nishapoa ndugu ndo hivyo mitihani
Daah nimelia Sana sio sili dah jamani jamani sie wazazi tuna uchungu wa wanawetu japo tunapitia mazito pole mama anu
Shangaziacha uongo usije ukaondoa uwepo wa Mungu wako. Hakuna mzazi wa miezi 3 atakayemwacha mtoto akafanye starehe. Hugo Rehema amepitia machungu Sana. Mwombe mdogo wako atubu kwake. Japo nakupongeza kwa malezi.
Shangazi Hongera sana. Anuary hongera kukutana na mama yako.
nimelia sana anuary ni really meaning ya neno mwanaume
MASHAALLAH ALLAH AKBAR
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Familia ya kichaga maelezo yake ndio yamejitosheleza! Yote kwa yote hongereni kwa kuxikutanisha familia!
Clouds hamnaga show mbovu🔥🔥🔥 Nawapenda hadi nadata❤️❤️ vibe la Bibi ni pro max
Hii mngekuwa mnafanya kila baada ya miezi mitatu angalau. Is very good emotion
story ya Bonifasi So emotional jaman😭😭😭😭😭😭😭
Hongeren sana clouds mmefanya jambo la maana sana kuwakutanisha hawa ndugu jamaniiii 🙏🙏❤️❤️❤️
Da imeniliza Sana 😭
Ndy mana inaitwa the people's station hongeren🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyo shangazi anaharibu mada kwanza huyo mama hakuongea mambo hayo alafu hawa ndo wanatuharibia watoto mashangazi
Kwerrr mashangazi mmmh
Ukiskiliza vzur ,, inaonekana wanamme ndo chanzo cha matatzo yote😳😳😢 cjui nyie mnaonaje
Hii Ndio Tofauti Ya CLOUDS Na Media Nyingine....
#ThePeoplesStation💜
Uwiii usiku huuu jamn nalia mim jaman dah..hongeren sana CLOUDS dah😭😭
haya maisha buana shangazi anarahisisha,nyie mama mpaka kuacha mtoto aliamini hapo nisalama zaidi,amejitoa sanaa co rahc
Shangazi anachukulia poa
Shangazi mshari anaona mm kama kafanya kusudi angekuwa mwengine angemtupa ila alimkadhi mikononi mwao Ili alelewe kutokana na ugumu wa maisha
Yaani eti hata hizo nyimbo mnazomuwekea hazistahili🙄😁
@@mariamfataki8025 mimi mwenyewe nimemshangaa
Nimeangalia live yote hogera sana Clouds 🤝🤛🤛
Nimelia sna leo😭😭😭 Nimeangalia live kwenye TV Nilikuwa nalia tu jamni hichi kipindi ni kizur
Samahani inaoneshwa lini na sangap
Bonifas umepata family mashallah 💓💓
Clouds media hongereni sana.mungu hawabariki sana
Inauma sana jmn story ya Anuar imenitoa machozi ila wanaume baadhi jmn wanajuwa kuwatesa wanawake sana
dah inauma sanaaa jaman mama much so love ila baba mwita umeupiga mwingi hahahahah
MashaalAah yn mpk nimelia ila baba mwita ameniacha hoi kwa kicheko
Imeniumiza. Sana hii pole sana dada angu
Mungu awabariki sana sana clouds mmerudisha tabasam kwa familia
Dada geah nakupenda mrembo mashallah ❤❤🙏🙏
Hongera sana *cloudsfm* kwa kuikutanisha familia, ndio maana nawapenda sana 😘
Shangazi hongera kwa kumlea Anuary lakini shangazi acha unafki kutaka kumdhalilisha mama ake Anuary unalia kiunafki
Bibi apo umekoseya ulikuwa kwanza umshkuru m.mungu halafu ndo uwashukuru wengine
Hongera sana mama wawatoto 7 najua mamangu umepitia mangi sana 🙏 😭😭😭😭😭😭😭😭
Wazazi tunapitia mingi na mimi nnae ana ,miaka 15 hamjui babaake .
Mama Anuary anatetemeka aiseeee 😭😭😭😭
Allah ampe maisha marefu mama yangu yenye uzima na afya nampenda sana
InshaAllah amin bro
Baba mwita ni mzee mbadi sana
Kwakweli mpaka nimelia mungu ni mwema nani kama mama Ila mzee mwita kaniacha hoi
Jmn Boniface upogo humble mwenywewe na mwenye upendo hongera kwa kukutana na mama jmn
mashaallah
Nimelia daaa 😢 😢 😢
Hongereni clouz
Mama yangu mimi toka nimamika saba mbaka mama yangu kafariki ckuwai kumuona nakuja ona kabur pumzika kwa aman mama yanguu nimelia mbaka basi
Pole sana
Asante
Nimefurah sana kusikia hii story na kuona mama na mtoto kuonana baada ya miaka 20 kiukwel natamn kuonana n familia yangu wandogo zangu miaka 9 sasa toka nipoteane nao toka mama yetu kufariki ndio chanzo cha kupteana nao kiukweli natamn sana niwaone tena cjui wapo wapi saiv😥😥😥😪😪😪
Oouh so sorry😥
🥺🥺🥺
Mnaliza watu huku mitaani
Hii family ya mwisho mashaAllah imechangamka mno mashaAllah na Ile ya Kati wachaga wamekuja family mzima mashaAllah
AISEE REDIO YAWATU NIMELIA KAMA MJINGA
Kwa hiyo shangazi hakutaka mtoto asikutane na mama yake au ? Asamehe maisha yaendelee
Kaniboa😏
Ndio maana nilivyoachwa nikaondoka na katoto kangu nipambane mwenyewe tu
Clouds the people's station Ina maanisha kweli . Nimeumia nimetoka machozi
So sad but Nimekupenda Sana, hongereni kukutana na wazazi wenu ni furaha ilioje.
Ndugu zangu hongereni sana hakika hatuna cha kuwalipa ila mungu pekee ndio atakaeweza kuwalipa naamini ipo siku tutaonana inshaallah
Mbarikiwe Kwa Kazi njema mnayofanya
SHANGAZI NYIMBO HIYO INAMUUMIZA ILA USIJALI NDIO MAISHA TENDA WEMA MALIPO KWA MUNGU
Heartbreaking stories
🙏😭😭😭😭ipo siku sefu utamuona mama yako mwanangu nmeumia mm sefu kuwa ukutane na mama yako
inshaallah ipo cku
Masha Allah 🥰🥰🥰
Aaah🥲🥲Mungu wasaidie wape maisha marefu mmeniliza sana
Nimelia sana jmn mungu aendelee kubariki kz yenu,mwijaku acha kunyakua maiki chukua Kwa utaratibu
Nimelia officen kwa kujificha fcha asee Mungu awabark inauma sna
Asie toa chozi mchawi walah da r.i.p mama angu
So emotional 😭 😩❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Nice. Mmefanya kitu kizuri, Mungu awabariki
❤️❤️❤️💕
Tujitahid sn kulea watt wetu Mana ninavyoona watoto hawana mapenz sn km mama maskin nimelia 😭😭
Hongera saana wote wa Clouds, hongera wazazi na watoto wao na wanafamilia woote. Ninawapata live kutokea safarini New York
Leo nimelia Sana ukweli😭😭😭
shangazi sasa alitka anuari asimjue mama yake mzazi. ... makubwa haya
Nimelia km mzazi naujua uchungu mama Anuary ameniliza sana
METISHA SANA NAWAKUBARI KWA TUKIO HILI.from WCB.wasaf
Anuari hongera kwa kukutana na mama Ila Shangazi apunguze jazba pia aache chuki hapo ukute alishampandikiza mtoto chuki juu ya mama yake hakuna mwanamke anaweza telekeza mtoto wake ni maumivu tu aliyoyapitia na kukosa msaada mm nimemwelewa mama Anuari Ila Shangazi anaongopa anachanganya maneno pamoja nayote Asante Shangazi kwa ulezi ❤️clouds my radio foreva❤️❤️🙏
Haki ya mungu shangazi lazima awe na jazba.kumuacha mtoto kwa sababu ya changamoto ni sawa huwezi laumu lakini kumuacha kwa miaka yoteeee iyo ni jambo lingine kabsa
Nimelia Sana daaa
Mm pia haki
ila baba mwita mtu
Nimelia leo masaa mawili daaa kina mama nawaombea mfurahi na watoto wenu milele.😭😭😭😭😭😭
Anuary na mama wanaraha sana jamani sema imeniliza mnoo
duhu mimi baba mtoto wangu sijuagi alipo jaman
jamn hii imetuliza wengi😭😭😭😍😍😍
Daah! Furaha iliyoje, nimelia
Daah inaumiza sana hongeren wachaga
Mpk nimeliaa haya maishaa bhanaaa kilaa kukichaa changamoto haziishiiiii
Kabisa
Nimelia ila baba mwita mjinga sana kanifanya Nicheke baba mwita mwehu sana
😆😆😆😆
Duh mwita machozi yapo mbali 😭😭😭😭😭😭
Kwa sababu yeye alikua akimuuliza baba ake kuhusu mama alimwambia yupo mama Yao ao wengine walikua hawana uhakika kama mama zao wapo hai bado ila daah nimelia Sana