@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIkweli hii simuliz ina mafunzo sana ,sijui kama wadau wanaona mafundisho yaliyopo humu jaman,imejitosheleza,kwa wanandoa,vijana ambao wanajiandaa na ndoa,familia kwa ujumla na malez ya watoto
Achana nae mjinga huyo hajiamini mwanamke mwenye kujiamini hamng,ang,anii mwanamme ambae hampendi na akae chini ajifunze kutokana na makosa aliofanya❤❤❤❤❤I love you B and your boyfriend
Kusaliti kunatokana sana na malezi aliyolelewa mtu,mfano mzazi wake ni mchepukaji maarufu,huyu mtoto unategemea atakuwaje?kwa neema ya Mungu tu inawezekana wakawa wema bila usaliti
Unashauri vzr pia 😊 🙏🏼🙏🏼 hakika tuwe baraka kwa wengne 🤲🏼 🥺, tusidharau watu , tusaidie wengne tulichobarikiwa 👏🏼 ,simuliz nzur 🤗 ......
batuli ameweza bwana kumpagawisha kijana❤🔥🔥
Congratulations 🎆🎆🎆 my wetu kipenzi kwa kazi nzuri unatupatia mungu akubariki sana twashukuru sana ❤❤❤🎉🎉🎉
Mungu akubariki Sana kp yaan wanaume kama wewe walishafariki wakati wa vita vya majimaji.
Waliobak tunaishi nao tyuuu😢
hhhhh kwely kbsaa
yaaan Leo nipewe mauwa yangu sijawahi kuwa wa kwanza uwiiii tuendelee simulizi yetu 🥰 🙏 lucas kwa mwendelezo
Kuna watu wanalala youtube 😅😅😅, unaweza jiona wakwanza kumbe wa 24😅😅😅.. anyway enjoy
aki kweli vile nimeamini ndo nashangaa🤔 kila mtu wa kwanza any way ata ivo nimewahi 🤣😂🤣
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIkweli no 1 ina watu wengi sana
@@jacklinekeneth450😂😂😂😂
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIkweli kabisa utakuta hamn coment lkn ukikoment kumbe wa 100 uko😂😂😂😂😂
Ukihukumiwa haki yako feith hana adabu wala hana haya wala hajui vibaya bubu ameumbwa na Nani mungu n wetu sote❤
Wakwanza mimi naomba mauwa yenu
Kweli we wakwanza🎉🎉🎉🎉
Hongera Vai😅😅😅😅
Chukuwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana kuwa wa 1🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀Lakin tegenea wengine kama 10 nao watasema wamekuwa wa 1
Wawooooooooooo Kiziwi Mulembo kweri Lukasi wewe kipenzi cetu shukran Simulizi ya Kiziwi ni fundisho kubwa mapenzi shikamo bitishovya uyodada bisigutishi mutumainie Allah jitihadi hayishindi kudra💚💚💚💚💚💚💚🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲fefe nifefe mwisho feke😂😂😂😂😂😂😂😂
Mabaya ya faith anayo yawaza yashindwe in Jesus name.
Wakwanza 🎉🎉🎉 naobeni like zenu😂😂😂
simulizi nzuli saana.pia yenye mafunzo tunakupenda saana Lucas Lumbas wetu🎉🎉
Simurizi tam naomba part 6 kiziwi i love it send 😂❤
Oh my God hii ni tamu kwel Kaplan kanifurahisha sana 🎉🎉
We were team lucas simuli 🎉🎉
Nice one 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Huyu hana pepo shatani roho mbaya hana mungu asente kaka Lucas lambasi
Mm uyu ndo wakuludia ODAMA wakati naisubili hii story umeniweza lucas❤
Lakini Shakila si tulikubaliana kila saa tisa kamili ndo tunakutana kwa simulizi mpya au😊😅😅
Kwani kusubiri mda uku unasikiliza simulizi za nyuma ni haramu?😂😂
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIumetimiza ahadi
@@ShakilaMtamilahapana
Ni kweli kaka wapo lkn kumpata ni bahat 42:14
Jaman jaman kunawate weny loh mbaya
Hongera san kumpta mali yko ichunge isje potea
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉maua yako Kaka lukasi
Thanks Mwana😊😊😊
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI🌹🥀🌹🥀🌹
Anastahili kwa kweli🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Afute nguvu ya maneno mungu ana tete wenye haki ❤ Amen
Tunafurahi sana kwa story tamu ❤❤❤❤
Duuuh sio powaa simuliz ramu sasa kaka pokea maua Yako aiseeeee
Santeeee😊😊😊😊
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI🌹🥀🌹🥀🌹🥀🥀🥀🥀🥀🌹
🎉🎉🎉
Hatimae Kapella na Batuli wamekula apple😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂❤
Ndio nasubilia mda wote yan
UjuenimechekaEti.otpot.kukuu😄😁Hadi.raha
KP big up my dear watching from Uganda natamani nije nihudhurie ndoa
I wish huyu Lucas lumbar na elnai de fantastic wakiwa wanaonyesha kaa movie2 si kuigiza. Wamenifudisha mengi kuhusu mapenzi yenye sikuwa najuwa
🥰🥰ila lucas eti kiungo kipi 🤣🤣wee kiuno ❤❤lucas doctar wa mapenzi
Mashallah fasta
❤️❤️❤️❤️🥰🥰🤣nimempenda bule batuli jmn kama namuona batuli wangu🇴🇲🇴🇲🇴🇲uyo fesi ashindwe na alegee
Asante sana kaka Lucas Lumbas ❤❤❤❤
You're welcome 😊😊😊
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIunatupa raha sana wasikilizaji wako
Jamani nachelewa tuu ❤❤❤❤
Bonyeza alama ya kengere Glady😊😊😊😊 vinginevyo utakuwa unachelewa kila siku😅😅..
Mmi nilibonyeza. Kengele na bado nacheleweshwa ila uzuri napata simulizi ndani ya hiyo siku.basi inatosha
Usijali umefika,kaa ktk nafas
Kwenye hii simuliz ya lucasi nimejifuza kitu, asante sana kaka lucasi❤🎉🎉🎉🎉
Safi saaana👏👏👏👏👏👏👏👏😊😊😊
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIkweli hii simuliz ina mafunzo sana ,sijui kama wadau wanaona mafundisho yaliyopo humu jaman,imejitosheleza,kwa wanandoa,vijana ambao wanajiandaa na ndoa,familia kwa ujumla na malez ya watoto
Kweli ina mafunzo
Kwenye mahusiano ya kizazi hiki wangepatikana wanaume kama Kapela ,ndoa zingi zibgekuwa paradiso hapa duniani
Hata mm n singe kuwa single na kusherehekea😊😊 usingle
Jamani nimependa Sana mpaka nimelia
Shukran kaka Lucas Lumbasi ubarikiwe mno❤❤❤
Na mm wa mwisho jamn naomben huruma zenu😢
Asante kk lucas 🎉🎉twakupenda
Nawapenda piaqq
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIasante sana
Me 2 ❤
Mukowapi jamani tunakupeda kaka yetu ❤❤
Santeeeee😊😊😊😊
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZItunakupenda saaana
Nimechelewaaa hii si thambi jomoni❤❤❤❤❤❤
Kapera ❤❤❤❤
🤪🤪watu hamlali mchana mumesha jaa 🤣🤣na mm nipo
Umefika tafuta siti ukae
Kwani mwallahapa 3 mins nmekuwa wa 15 duuuuh❤❤🇰🇪🇰🇪
😂😂😂😂😂😂 hili swala kila mtu anajiuliza😅😅
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI mungu akumbariki kwa kutumia muda wako kutujibu kkangu❤️❤️🇰🇪
Umewahi
@@wertqwe8326kwa kweli nafurahia sana
@@RahelIbrahim-id2li asante
Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi ❤
hongera sn kaka kw kz yk nzr
Santeeee😊😊
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIkaz nzur sana unajitahid sana utafika mbali kila la kheri
Inshallah @@RahelIbrahim-id2li
Nimekuwa wa kwnza leo
Una uhakika?😅😅😅 watu wanalala UA-cam kwa Lucas
Wa kwanza wanakuaga wangapi jamn mpaka sasa ni watu kadhaaa
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIumeonae
Nawatakia kila la khery ktk safar ya maisha yao ya pamoja
😂😂kabisa
Hongera lukas nina furaha watching from Uganda
❤❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂😂,kukumbatiwa na mtu akupande jaman unalala vizur saaaana
Mmmh,batuli wew,,,kipochi manyoa leo kitapona kweli???🤦🏻♀️🤦🏻♀️🤦🏻♀️🤦🏻♀️🤦🏻♀️
Achana nae mjinga huyo hajiamini mwanamke mwenye kujiamini hamng,ang,anii mwanamme ambae hampendi na akae chini ajifunze kutokana na makosa aliofanya❤❤❤❤❤I love you B and your boyfriend
❤❤❤
Wao hatimae so Kwa kusubiri uku jamn
Pole sana😅😅😅
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI tunafurai unachukua mda wako kureply comments zetu kaka,we niwakipekee
@@nurianaramadhan,inatia moyo saaana na kufurahisha
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI Napenda sana kuona una muda wa kupitia coment za wadau wako,inaonyesha ni jinsi gani unavyojali mim nahamasika sana
Santee🥰
Faith naona anaenda ugangani.
😢😢😢😢
🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao Lucas
Unaenda wapi tena Zena, mbona Byee😊😊
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI nipo Lucas sasahivi naogopa kua wakwanza 🤣🤣🤣
Cha msingi ufike
Kapela na batuul❤❤
Hahahaha kumbe kin batuli tuko wengi unamchezo kupnd ndege 👉👉👉
Faith asikutishe omba mungu wako sehemu ya sita ni ya lini ❤❤❤❤😂😂
Story tamu had natamani iigizwe waone wengi na wajifunze kama mimi
Team Kapela tuna jambo letu leo jioni😂😂
Subri uone Faith atakavyoku surprise 😅😅😅😅😅😅
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI Hatusumbi kichwa kaka tunamuekea kikao cha maana 😅😅😅😅😅😅😅
@@nurianaramadhanhayaaa😅😅😅 tuombe uzima kesho tukutane hapa sehem ya mwisho uone Faith atakavyowashangaza😅😅😅😅
Saaa ngapi nami ni mmojawapo
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIatakoma na roho mbaya yake
Kongore lucas 🤝
Kwani niaramu nikisikiliza ii pt 5 maana ni moto kwel❤
Hongera kaka Lucas 😍🪑🎧
Wapo wanaume wakorofi na wapo wanawake wakorofi pia,lkn kinachotakiwa ni upendo wa kweli ,maana upendo husitiri madhaifu ya aina yoyote
Mambo ni moto😂😂😂
💯💯💯❤❤❤🤟🤟🙏
Mh uyu niatari jaman
Yasita ikoapp
Very stor so much ❤❤
Hogera Lucas mauwa yako hayo 🎉🎉🎉🎉
Kusaliti kunatokana sana na malezi aliyolelewa mtu,mfano mzazi wake ni mchepukaji maarufu,huyu mtoto unategemea atakuwaje?kwa neema ya Mungu tu inawezekana wakawa wema bila usaliti
Mambo ni bambam 🔥🔥🔥🔥🔥
Watu wanawahi jmn😂😂😂
Umeona eeeh😂😂😂😂😂😂 unaweza hisi wew n wakwanza kumbe wa 26😂😂😂
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI kabisa 🤣🤣🤣 watu hawawek sim chini😂😂😂
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIhaswaa
Shauku ya utamu tunayopewa ktk simuliz
Swafiiii
Huyu itakuw KP wa zebuu au yupi uyo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu fai anashida gani jamani lkn uchawi siku xote haushindani na nguvu xa Mungu yani hutakiwi lkn bado wewe unasumbua loo kazi ipo
Yeye siyo mugu aacha wenzie wale raha akafe mbele huku huyo feithi
Tuko pamoja
Thanks Fetty😊😊😊😊
Pamoja saaaana
90🎉🎉🎉
Daah kapela ape mauwa yake
Tusipuuze kwa sababu Faith ana pesa na pesa ndio mambo yote kuwa makini Kapela mlinde Batuli kwa hali na mali.
❤❤❤❤❤ from kenya 🇰🇪
Mabaya Faith anataka kuyatanyie kapela na batuli yatamregelea mwenyewe na kuumbuka
Faith hana akili na kilichopangwa na mungu hakuna wa kukipangua ataharibikiwa yy na ataaibikq mbwa huyu
😂😂😂😂😂 jamani amlali
Watu wameweka alarm 😂😂😂 wengne wanashtuliwa na kengere ya UA-cam
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIduuuuh
Hatimaye
Tabaraka Allah asante kwa muendelezo wa binti kiziwi
🎉🎉🎉
Maisha ya batuli na familia yake yapo mashakani 😢😢😢😢
Alichopanga akuna awezaye kuyipanguwa. Ila fefe araga lakini akiyepewa namungu lazima pawejaribu yakutimiza mipango yamungu.
Maombi kias ikizid niujinga huo hataneno linasema sasa ukiona umeaza kuwa naloo ndogo kama ivi bas huo niujinga sana
Niko busy kusikiliza simuliz huku nikilike coment zenu
Kaka lucas maua yako 🎉🎉🎉❤❤❤❤
🎉🎉🎉
nahisi kama nimechelewa
imom🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ 1:52:🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦05
Ivi kunawatu wanafosi mapenzi kweli au n simuliz t kutuburudisha
Kama mm navyofosi kwako mrembo😋😊
@@mporipori99 🤣🤣🤣hii imeenda
😮😢😂😮😅
Haaa,dakika 16 tu jaman nimekuwa wa 26?nipewa hata like 1 tu?potelea mbali nitasikiliza simulizi mie
Asante sana kwa like wapendwa wangu
Mpaka naogop naon kam n mm jaman😢