MITIMINGI # 994 UKIONA DALILI HII KWENYE NDOA, UCHUMBA AU MAHUSIANO YOYOTE UJUE HAKUNA UPENDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 21

  • @catherinemarcel2144
    @catherinemarcel2144 4 роки тому +1

    Mungu akupokee katika ufalme wake usio na mwisho

  • @DenisKapinga-v7g
    @DenisKapinga-v7g 11 місяців тому

    Amen man of God but sometimes you must speak English mix Swahili because some of our husband is not understand Swahili nice teaching

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 4 роки тому +1

    Mtumish barikiwa sana mafundisho yako yanagusa

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 4 роки тому +3

    Duhh... pumzika kwa amani mwalimu ndo nilikuwa nimeanza kutambua hii channel ghafla ukaaga🇰🇪🇰🇪😭😭😭😭😭😭

  • @lucympinda7979
    @lucympinda7979 4 роки тому

    Nitakukumbuka daima

  • @lucythadeo8055
    @lucythadeo8055 2 роки тому +1

    Natamani nipate namba yako update kunishaur Kuna kitu napitia Sina mshaur Ni mm na Mungu t nifanyeje mm

  • @tatuhongeranurushaus485
    @tatuhongeranurushaus485 4 роки тому

    Asante sana mchungaji ubarikiwe

  • @crecensiaedward2364
    @crecensiaedward2364 4 роки тому +1

    R.I.P Dr Mitimingi

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 4 роки тому +1

    R.i.p .baba.mtumishi tutakukumbuka daima

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 роки тому

    Heshima muhimu na majukumu pia

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 4 роки тому +1

    Kweli kabisa pastor,hata si wanawake tuu hata watoto wao wamewashinda kuwalea

  • @godfreyjoseph8399
    @godfreyjoseph8399 4 роки тому +5

    Watu weng hawajui heshima nigarama weng wanahis kumuhudumia mke nikuhonga

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 4 роки тому

      Lkn michepuko wanahonga tena had magar wakat mama mzazi hata kitenge hanunuliw

  • @justinemalima6701
    @justinemalima6701 4 роки тому

    Duniani tumekumic sana ila ndo huwezi rudi tena.

  • @kababatatu1060
    @kababatatu1060 4 роки тому +1

    Uyasemayo ni kweli kabisa mchungaji YESU AKUZIDISHIE MAARIFA

  • @gracemussa9922
    @gracemussa9922 4 роки тому +1

    🤲🤲🤲🤲🤲🙏 r I p

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 4 роки тому +2

    Hizo deslikes ni za hao wanaume wasiotambua majukumu

  • @lilianjustin9743
    @lilianjustin9743 4 роки тому

    Rip pastor

  • @lovenessdiva3370
    @lovenessdiva3370 4 роки тому +2

    😅😅😅 👏👏👏

  • @moalawy7001
    @moalawy7001 4 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣