Mungu wa Mbinguni akubariki sana mama. Mungu amekutumia vizuri sana. Tumejitambua na kutambuana. Tumepata ufahamu wa kuchukuliana. TUNAJICHONGA. Mungu atusaidie.
Asante sana pastor mahubiri yako na mafundisho yako Yana niiimalisha sana hata nikiwa kwenye magumu najikuta napata nguvu ila nikirud tanzania pastor nikuone nahitaji cancer
Asante sana nazidi kupata ufahamu,,,mimi nimeshindwa mengi kwa tabia yangu ya kuongea kila kitu,, yaani nikiwa na mipango hata kama sijakaa sawa naanza kueleza,matokeo yake maono mengi niliyokuwa nayo yamefanyiwa kazi na wengine,,
Asante sana mama Mchungaji, umenibariki sana na nimeelewa niko tiyari kujichonga😃🙏🏿
Thanks mtumishi wa mungu kuna mahali nimetoka glory to the Lord am luky to have Jesus 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu wa Mbinguni akubariki sana mama. Mungu amekutumia vizuri sana.
Tumejitambua na kutambuana. Tumepata ufahamu wa kuchukuliana.
TUNAJICHONGA. Mungu atusaidie.
Cant stop whatching and listening😇💪🤝🫶🙏
Asante sana sr.Jane kwa kushirikisha juu ya haiba.nimejifunza kitu ambacho sikukijua .Ubarikiwe sana.Nawe Mch.Baba Eliona Asante sana.
Well presented, thank you so much for the insights
Asante sana pastor mahubiri yako na mafundisho yako Yana niiimalisha sana hata nikiwa kwenye magumu najikuta napata nguvu ila nikirud tanzania pastor nikuone nahitaji cancer
Naombeni mtengeneze vitabu vya hizi Haibaaaa❤❤❤❤❤❤Nawapenda mnoo❤❤❤❤
Asante mama mchungaji nimejifunza kitu kikubwa sana leo Mungu niwezeshe kujipiga tindo
Ahsante sana wajina MUNGU AKUBARIKI NA AKUPELEKE VIWANGO VYA JUU ZAIDI NAAKUPENDA MY
Asante sana madam umefanya nijitambue.
Asante sana nazidi kupata ufahamu,,,mimi nimeshindwa mengi kwa tabia yangu ya kuongea kila kitu,, yaani nikiwa na mipango hata kama sijakaa sawa naanza kueleza,matokeo yake maono mengi niliyokuwa nayo yamefanyiwa kazi na wengine,,
Amen
Ahsanten Mungu awabariki
Amen
watu wa Melancholic ndo maana hatupendi kuoa dah😢😢😢
Asante sana mchungaji kwa ushauri
Joy ameanza na 20 coins akafika 500 coins. Wewe utafika ngapi? Crash the wheel and find out.❤🙏😊