FURAHA Episode 18 Final (Official ebondo movie)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024
  • FURAHA ni movie ambayo imeongelewa kiruga "EBEMBE EBONDO" Ikichezwa nakuongonzwa na #Rajabu
    ni movie yenye mkasa wa mapenzi ambao unamafundisho ndani yake pia nisehemu
    ya historia aliopitia Ndugu @Rajabu_Mmeo_Ramsey
    hivyo usichoke kufwatilia mkasa huu episode moja bahada ya nyengine
    taratibu zakutoa movie nikila juma pili "siku ya Mungu"
    N.B:maoni yako ndio uboreshaji wakazi zetu.

КОМЕНТАРІ • 51

  • @suzanaheri3968
    @suzanaheri3968 3 роки тому +8

    Lit 🔥 let’s go 10K

  • @tundwamukala2081
    @tundwamukala2081 3 роки тому +3

    Good job Ramsey 🔥🔥🔥🔥tutarajiye nn kutoka kwako Ramsey unakazi zuri ya kushawishi afu yenye mafunzo

  • @rizikiclementine5256
    @rizikiclementine5256 3 роки тому +2

    I enjoyed this movie and I will miss it 😭 Good job kaka I Love your work keep it up

  • @BrownD
    @BrownD 3 роки тому +2

    🔥🤲🔥 Movie 🎥 ime Heleweka Sana Ina story Nzuri Pia Twa shukuru kuanza No 1 Hadi Finally we juss wait Movie nyengine itakayo kua bora kuliko hii

  • @Mwaliasha_Beauty
    @Mwaliasha_Beauty 3 роки тому

    Congratulations to you brother umefanya kitu kazuri sana

  • @anaclet2411
    @anaclet2411 3 роки тому +5

    Wow! What a ending, Hiii ni movie yenye mafunzo ndani yake, ni movie ambayo ina helezea uhalisia wa maisha ya mkimbizi, mausiano ya umbali na uvumilivu.
    Hongera zimfikie brother Rajabu Mmeo A.K.A RAMSEY, Na zingine ziwafikie wale wote walio towa michango yao ili kukamilisha kazi hiii, na mungu awabariki sana.

  • @fezabaruani2595
    @fezabaruani2595 3 роки тому +3

    This story is so touching 😢 😭, kudos to you @Radjabu 👏 🙌

  • @uwezopower7551
    @uwezopower7551 3 роки тому +1

    Well done brother that is history

  • @jacquesabalaka10
    @jacquesabalaka10 3 роки тому +5

    I have been waiting for this 🔥🔥

  • @espoirshabashaba2254
    @espoirshabashaba2254 3 роки тому +2

    Yaani nilichokipendea zaidi hii movie yaani mnaigiza kama hamwigizi vile yaani utadhani ni maisha ya kawaida tu. Hongereheni sana ndugu zangu. Kama ni kusapoti vipaji basi hivi ndo vipaji vya kusapoti.

    • @rajabummeoramsey
      @rajabummeoramsey  3 роки тому

      Kabisa

    • @apolinesestachgospelsongs3339
      @apolinesestachgospelsongs3339 3 роки тому

      Kwakweli Mmeigiza kihuasilia sana Mmefanya kazi nzuri sana. Rajabu Good job to you guys. Furaha kiukweli umejitaidi sana japokua sehemu zingine zilikua ngumu kwako big up. I wish ningekua na mawasiliano yako tungeongea kitu

  • @rahabuabalaka7603
    @rahabuabalaka7603 2 роки тому

    Raja bu nimependa muviyako kweli

  • @isayarivis8289
    @isayarivis8289 3 роки тому

    Good job 👏

  • @walengaminaabwe3331
    @walengaminaabwe3331 3 роки тому +1

    Kiza nzuri sana

  • @dieudonne724
    @dieudonne724 3 роки тому +1

    Asante sana brother rajabu ubarikiwe kweli tumejifubza mengi

  • @kayandaabwe2976
    @kayandaabwe2976 3 роки тому +1

    Hii movie naipenda sana dogo

  • @oredimrajabu
    @oredimrajabu 3 роки тому

    Hii movie ilikuwa bomba sana.. tunasubiri nyingine kwa hamu

  • @bintikilongozi9686
    @bintikilongozi9686 3 роки тому +1

    unge ongeza mbili tu basi umevunja utabiri wangu

  • @mari-bs9qi
    @mari-bs9qi 3 роки тому +1

    Ninzuri sana 😃🤗🥰kweli

  • @davidfataki24
    @davidfataki24 3 роки тому +1

    I watched this from the first episode till the last episode
    I really enjoy it and is a good lesson good job everyone. Watching form Australia 🇦🇺 Nsw
    Iyi inanikumbusha nilipo anza na mme wangu adi tulipo kwa sasa

  • @bahatiiboleco2231
    @bahatiiboleco2231 3 роки тому

    Binamu yangu has done it ohh 🎉✊🥰.

  • @merryqueen5677
    @merryqueen5677 3 роки тому

    Nakumbuka kwetu lini nitapafika

  • @chakubutabilicha1946
    @chakubutabilicha1946 3 роки тому +1

    Mubarikiwe sana tunasubiri ingine

  • @roycoolboy928
    @roycoolboy928 2 роки тому

    Nime kubali mwamba

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 3 роки тому

    Kiukweli katika washiriki wote wa movie ya furaha nita miss patric pamoja na baba yake furaha wamenifurahisha sana japokuwa washiriki wote walikuwa vizuri lakini hao wawili ni the best kwangu 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @tunzarashidi6422
    @tunzarashidi6422 3 роки тому +3

    Kwani inataka kuisha au

  • @juliennemcheleca4399
    @juliennemcheleca4399 3 роки тому +1

    Nice film

  • @songolommanya5171
    @songolommanya5171 3 роки тому

    Irudiliw jmn 🎉🎉

  • @SPYMKOROFI
    @SPYMKOROFI 3 роки тому +1

    Nice

  • @jeanmutha001
    @jeanmutha001 3 роки тому

    Kazi nzuri bro

  • @everineriziki5778
    @everineriziki5778 3 роки тому +1

    Good movie ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @Floridajerome7402
    @Floridajerome7402 3 роки тому

    Kali sana

  • @Erastobusumani
    @Erastobusumani 3 роки тому +1

    Good

  • @mwangazawangu5385
    @mwangazawangu5385 3 роки тому +2

    Mungu hawa bariki kwakazi nzuri mnayo hifanya.🥰❤️💕 tutegemee nini tena Raj??

  • @MwashiteChristina
    @MwashiteChristina Рік тому

    ❤❤

  • @pendezachanja
    @pendezachanja 3 роки тому

    Ayetu movie inahisha 😜🥺😩

  • @mwajeyasumani6862
    @mwajeyasumani6862 3 роки тому

    Thx

  • @Tontine20
    @Tontine20 3 роки тому

    😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fatmatz5086
    @fatmatz5086 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣behind the scenes

  • @suzanaheri3968
    @suzanaheri3968 3 роки тому +1

    Really pregnant 🤰

  • @nabunyerelwaka2389
    @nabunyerelwaka2389 3 роки тому

    😍🥰😍

  • @godliverdaniel4370
    @godliverdaniel4370 3 роки тому

    Good