WAZIRI BASHE AVURUGA BUNGE KWA NONDO NZITO - AMTAJA MBUNGE BASHIRU HADHARANI!
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- WAZIRI BASHE AVURUGA BUNGE KWA NONDO NZITO - AMTAJA MBUNGE BASHIRU HADHARANI!
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Safi sana bashe nakukubali sana kamanda
Safi sana mh. Bashe
Upo sahihi Bashe, piga kazi
Siasa mbaya sana kwakweli
Bashe mhun tu mdomon anaongea kingne mtaan anafanya kngne na wabunge wanapga tu makofi utafkr majimbon kwao Kuna hio miradi anayoisema Bashe
Ushahidi acha chuki
Wataanfikwa wangapiiii??
Shida sio kuzalisha tani na tani no hapo wape bei nzuri wakulima sasa serikali nayo inafanya udalali wapi na wapi hiyo biashara mana Zambia walitaka mahindi acheni sekta binafsi iuze sasa mkangilia kati udalali , kwahiyo sisi hatunashida na uzalishaji shida bei , , kwanini mahindi bei ndogo nakati korosho , kahawa bei nzuri sana ??? Tunataka na mahindi bei iwe juu asie lima asile, msiogope watu kulia bei juu ya ugali nao wakalime tutauza ote njee tupate helaa
Mdalali wnachukua mahindi kwa bei gani na serikali ni bei gani?
Moja ya viongozi waongo sana huyu akiongea utazami mtu makin kumbe rushwa imetewala kuanzia kichwani mpaka miguuni
Muongo wakutupwa
Raisi samia anadanganywa sana
We unaushahidi au chuki tu na roho chafu
Shamba la bibi
Mkulima hata nufaika nakilimo abadan.kama serikali itawndelea kuwa dalali.pia kinacho semwa bungeni hakiendani ña uhalisia.vijijini hatujui hizo fehda za wizara yakilimo hizo takwimu sio sawa
Kaka punguza mihemko fuatilia uelewe.. wanafanya kwa awamu... Wengine uku sisi tunanufaika... Sem hujanufika SIo hatujanufaika
Maneno matamu utekerezaji 0