Mimi nashukuru marekani kwa kutujali sana na kama upelelezi wenu wamarekani wamefanya ni sawa itakuwa wameona AFRICA ya 20200 ijayo kwa hiyo basi wezetu waga hawakulupuki kuamka tu kitu kimepanda bei wazo la mtu mmoja linafanyiwa kazi tupambane tuwekeze kwenye kilimo tuondoe njaa
Ukikamata waganga woote wa jadi na madaktali tanzanianzima na kila mganga abebe mahoka yake .. wafungie ndani wape mwezimoja bila ombi ni lazima.. AMINI KWAMBA WATATENGENEZA DAWA ZOOTE NA ZITAKUA NA UBORA MKUBWA ✅💯
Kwa nini tusimpende? Kwani Tanzania ni koloni la Marekani. Tumeshindwa kujitegemea, tumekubali kuwa tegemezi na ombaomba halafu tumchukie jirani kwa kutunyima ugali wa watoto wake? Akili ya wapi hiyo?
Kwa kweli, hili ni jambo la kushukuru. Na kuhusu ARV, mimi mama yangu mzazi aliishi miaka zaidi ya 20 akiwa muathirika wa Ukimwi bila kutumia ARV... BABA yangu mzazi alikuwa anazitumia na alifariki miaka 15 kabla ya mama yangu. Vitunguu swaumu vilimsaidia sana kuboost immunity... Ni story ndefu lkn tangu mwanzo Mungu aliumba mimea kwa ajili ya tiba.
Muheshimiwa waziri mkuu naimani sana nawewe kama niliyokuwanayo kwa Rais Magufuli, alidhubutu akaweza mukiwa wote Ivo utaweza natutasonga mbele tutabaki kujiuliza tulikuwa wapi mda wote ,
From #EconomicallyGrowthMusicians badala ya kubuni vya kwenu muishi maisha yenu na uhuru wenu mnalalamikia misaada ya Trump😢 Ondoa Utegemezi... Asante sana Dkt Majaliwa🎉🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
Mimi nakushauri waziri mkuu stopisheni matumizi makubwa ya serikali hasa upande wa magari,mikutano isiyo ya lazima,safari za nje ya nchi barozi ndo zitoe hizo huduma uko,uko nje lkn idadi ya majimbo ya uchaguzi mpunguze maana ni unnecessary lkn la mwishoni mpingazeni na ubadhilifu wa mali za umma kupita kiasi yaani africa wanasiasa ndo wanakua matajiri
Sahihi kabisa na zaidi wabunge wa viti maalumu wafutwe wale wa majimbo wanatosha. Hao wanawake wanaopewa nafasi za upendeleo sasa inatosha nao waende majimboni mbona wapo wanawake wanashinda majimboni? Hao viti maalumu wa nini tena na wengi wao ni wake za wakubwa na mabinti wa vigogo. Tupunguze rundo la watu bungeni. Posho za vikao bungeni zifutwe kwa sababu kuhudhuria vikao ni kazi yao na walipwa mishahara kwa kazi hiyo.
Umizeni vichwa kuhuc Taifa, na sio kusifiana tu kweny akuna😐. Magufuli aliliona hili mapema sana akataka kuitoa nchi kweny misaada coz aliamin juu ya maliasiri na rasilimali tulizonazo
Yaani serikali ya Tsnzania kila siku nasiaga bado mnaendelea kujipanga nakujiimarisha ,Bora Mimi nipo serikali ya mbinguni na mfumo wa mbinguni Hii serkali ya huku ilishanishinda kabisa ,Raisi wangu ni YESU KRISTO ,waziri wangu ni ROHO MTAKATIFU wabunge wangu wangu ni malaika wala sina shida
Hapa tanzania wapo madoctor waliosomea kutengeneza hayo madawa ya arv lakini serikali haitoi pesa ya kuwawezesha wao wanasubili vya bule vya kupewa huku wao wakiiba mabilion
Tuache kupeana moyo wananchi sisi ndotulioanza kukataa sera za njee za marekan kwetu kukataa misada yao inayo tupa masharti yakijinga kwahiyo hiyo ni propaganda tu ya marekani ili ijione super power lakin sis tulisha kataa kitmbo tutembee kifua mbele
mh yani iweje umeoa unanyumbayako unakiwanja chako umtegemee mme mmwingine ingali unakila kitu mbona sielewi tutajifunzalini Jamani mbona aibu sana tunakila kitu apa kwakweli naona tunaitaji mabadiriko kabisa ya uongozi inakela sana
Viongozi wenyewe walishawasahau wananchi wake Zahanati na vituo vya afya hakuna madawa lakini wao wanatibiwa nje kwa pesa za Serikali tutajiimalishaje sasa wakati kuna tabaka mbili Taifa Moja
Mi nampenda Trump, maana inatakiwa tujifunze kujitegemea. Tutumie rasilimali zetu ili kujiletea maendeleo na siyo kujitajirisha watu wachache. Naomba ufadhili wote ufutwe tena siyo kwa Marekani tu bali mataifa yote wakubwa,ili kila nchi ijitegemee yenyewe.
Mh waziri kujiimarisha ni kauli nzur na ni muhimu na ilitakiwa kabla hajakata kutoa misaada mlitakiwa muwe mshakata kuchukua misaada kwao coz hakuna 7bu ya tz kuchukua misaada na ina miaka mingi ya uhuru ina rasilimali karibia zote muhimu ina ardhi kubwa ya kutosha ina maji mengii nyi wenyewe mpo madarakani tangu nchi kupata uhuru nchi ina miaka mingi mlifanya juhudi gani ndo mkiambiwa maendeleo hayahitaji kusubur nyi mnatoa macho kumbukeni Rais wa awamu ya tano alivokua mtu wa kuthubutu mkawa mnamuona mwehu
TRUMP ni mzalendo wa kweli hata ningekuwa mimi waafrika nisinge wasaidia wala kuruhusu wakae nchini kwangu hawa mchango wa kimaarifa na nihatari kwa vizazi vya marekani kuchanganyika na watu wenye I,Q ndogo
Majaliwa kaniangusha leo kajibu kisiasa sio kisayansi ukweli tuna hali mbaya nkasema neno Uwezo mkubwa lakin uwezo wa Tanzania bado huonekani mahusiano tuliyonayo bado ni ya Utegemezi
Hivi huyu waziri mkuu siye yule alieteuliwa na magufuli?na siku zote magufuli alipenda tujitegemee na inawezekana hawa wabongo ni shida wacha trump awafundishe
Ni muhimu kuanzisha mfuko wa afya kama ilivyo mifuko ya Barabara, maji, REA. Tulinyimwa ufadhili wa umeme tukatafuta njia yetu ya tozo na tumefanya vizuri zaidi. Afya ni suala la msingi Sana hivyo ni lazima tutafute jinsi ya kuigharamia wenyewe. Bima za afya ni ghali au pia watu Huwa Wana hulka ya kutopenda direct tax or charges. Ukiweka tozo na kufanya direct charge iwe token utapata fedha nyingi Sana.
Hapa dawa na sisi tuwanyime madini yetu mbona Bunaafaso wameweza cc tunashindwa wakati tuna Mali nyingi ifike Sasa tuwe wajasiri pia tuache anasa kwenye fedha tusimame na mambo ya mhimu
In the Name of GOD we are going to over come All mighty GOD bless Tanzania
Mimi nashukuru marekani kwa kutujali sana na kama upelelezi wenu wamarekani wamefanya ni sawa itakuwa wameona AFRICA ya 20200 ijayo kwa hiyo basi wezetu waga hawakulupuki kuamka tu kitu kimepanda bei wazo la mtu mmoja linafanyiwa kazi tupambane tuwekeze kwenye kilimo tuondoe njaa
Trump ndio rais ambae anatupenda sana wafrika ili tujitegemee
Ss hatutaki tegemea watu wa nje tunataka ss wenyewe watanzania tujitegemee
Ukikamata waganga woote wa jadi na madaktali tanzanianzima na kila mganga abebe mahoka yake .. wafungie ndani wape mwezimoja bila ombi ni lazima.. AMINI KWAMBA WATATENGENEZA DAWA ZOOTE NA ZITAKUA NA UBORA MKUBWA ✅💯
@@jostamzxkaole3113 😂 jichanganye 😅
Hakika ndugu niwakati wakuamka wa Africa tuache utoto🙏
Sio anatupenda ila mifereji imeanza kubana lazima itoe maji kidogo 😂
Swali nzuri limejibiwa kirahisi sana. Bila shaka hakujiandaa kujibu swali la namna hiyo/ Inasikitisha.
Very Sad
😮
Ni vizuri tujitegemee wengi tunapenda sana vya bure
Na vya Bure wengi wananufaika sana 😂😂😂
Na Bado tunampenda Trump 🎉🎉🎉🎉
Kwa nini tusimpende? Kwani Tanzania ni koloni la Marekani. Tumeshindwa kujitegemea, tumekubali kuwa tegemezi na ombaomba halafu tumchukie jirani kwa kutunyima ugali wa watoto wake? Akili ya wapi hiyo?
Niaibu kubwa sana tz kutegemea misaada , si tuko himara sana tunajiweza Trampu ahasante kukutuachisha utegemezi ,Muheshimiwa Tramp Asante
Kwa kweli, hili ni jambo la kushukuru.
Na kuhusu ARV, mimi mama yangu mzazi aliishi miaka zaidi ya 20 akiwa muathirika wa Ukimwi bila kutumia ARV... BABA yangu mzazi alikuwa anazitumia na alifariki miaka 15 kabla ya mama yangu.
Vitunguu swaumu vilimsaidia sana kuboost immunity... Ni story ndefu lkn tangu mwanzo Mungu aliumba mimea kwa ajili ya tiba.
Hii nae iwafunze maan viongoz waafika wanapenda utegemez zaid kulko kutaft namnagan watajiendedha
Mmmmh akuna majibu apo mtajipanga ad lini tutamkumbuka magufuri hili la Sasa hv tusingewaza angekuwepo masiasa tuuuuu kutekereza akunaaaaa 😚😚😚
Kamfufuwe kaburini
Mheshimiwa Waziri Mkuu
Bahati mbaya waziri mkuu hakujiandaa na hili swali.
His body language speaks more than his verbal delivery
Na mm nimeona hilo
@EriyaRichard hakika
@fahdihasnuu9034 💥
You're absolutely right
haya maswali anakuwaga ameshapewa mapema kabisa, sema ni kama hana majibu kamili ya kutoa
Very good sir
Hakuna kitu kinatia hasira km kuona wana siasa wa tanzania, haya asante mama kwa pumzi ya leo
Muheshimiwa waziri mkuu naimani sana nawewe kama niliyokuwanayo kwa Rais Magufuli, alidhubutu akaweza mukiwa wote Ivo utaweza natutasonga mbele tutabaki kujiuliza tulikuwa wapi mda wote ,
Answer the questions direct. We need specific answer.
Zenu mnaiba mnategemea misada pooor
From #EconomicallyGrowthMusicians badala ya kubuni vya kwenu muishi maisha yenu na uhuru wenu mnalalamikia misaada ya Trump😢 Ondoa Utegemezi...
Asante sana Dkt Majaliwa🎉🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
Mimi nakushauri waziri mkuu stopisheni matumizi makubwa ya serikali hasa upande wa magari,mikutano isiyo ya lazima,safari za nje ya nchi barozi ndo zitoe hizo huduma uko,uko nje lkn idadi ya majimbo ya uchaguzi mpunguze maana ni unnecessary lkn la mwishoni mpingazeni na ubadhilifu wa mali za umma kupita kiasi yaani africa wanasiasa ndo wanakua matajiri
Sahihi kabisa na zaidi wabunge wa viti maalumu wafutwe wale wa majimbo wanatosha. Hao wanawake wanaopewa nafasi za upendeleo sasa inatosha nao waende majimboni mbona wapo wanawake wanashinda majimboni? Hao viti maalumu wa nini tena na wengi wao ni wake za wakubwa na mabinti wa vigogo. Tupunguze rundo la watu bungeni.
Posho za vikao bungeni zifutwe kwa sababu kuhudhuria vikao ni kazi yao na walipwa mishahara kwa kazi hiyo.
Hili nalo neno
Swali limeulizwa zuri jibu linatolewa kisiasa hatari sana
Jibu zuri sana sema ww ndio huelewi
trump ndio raisi wangu bola wa muda wote ✈️🇺🇸🫂✅🙏🙏
Bwana.Yesu tusaidie
Achana na ushirikina
Kutajwa tu samia mikofi kibao mezan kwaaaa kwaaa kwaaa kwaa pmbvu😢
Ndo anawalish kk
Yaan niujinga at maximum..😢
😂😂😂
Asali😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Umizeni vichwa kuhuc Taifa, na sio kusifiana tu kweny akuna😐.
Magufuli aliliona hili mapema sana akataka kuitoa nchi kweny misaada coz aliamin juu ya maliasiri na rasilimali tulizonazo
Tusiishi Kwa Mazowea good Trump 👍👍
Ajajibu swali,
Ukweli Usemwe Nchi kama Tanzania Ilipoteza Dira Mapema 1998
Mimi ndomaana nilimpenda mag alipambana sana tujitegemee asala za kutegemea tutaburuzws
Yesu namaria msemowa wachaga jiwerimetupwagizani
Yaani serikali ya Tsnzania kila siku nasiaga bado mnaendelea kujipanga nakujiimarisha ,Bora Mimi nipo serikali ya mbinguni na mfumo wa mbinguni Hii serkali ya huku ilishanishinda kabisa ,Raisi wangu ni YESU KRISTO ,waziri wangu ni ROHO MTAKATIFU wabunge wangu wangu ni malaika wala sina shida
Hajajibu bhna😊😂
Mh. Ndio mnagundua Leo tuna nyenzo?
Swali kauliza nzuri majibu yake da balaa kabisa siasa nyingi chenga chenga sana
Nchi ina kila kitu bado unategemea misaada badala ya kujisimamia mwenyewe
Mmmmmh! Cjui km Tanzania bila misaada tutaweza kutoboa,
Majaliwa nakuamini sana ila kwa hilo umepuyanga vibaya mnooo!!/inasikitisha
Hapa tanzania wapo madoctor waliosomea kutengeneza hayo madawa ya arv lakini serikali haitoi pesa ya kuwawezesha wao wanasubili vya bule vya kupewa huku wao wakiiba mabilion
Tuache kupeana moyo wananchi sisi ndotulioanza kukataa sera za njee za marekan kwetu kukataa misada yao inayo tupa masharti yakijinga kwahiyo hiyo ni propaganda tu ya marekani ili ijione super power lakin sis tulisha kataa kitmbo tutembee kifua mbele
mh yani iweje umeoa unanyumbayako unakiwanja chako umtegemee mme mmwingine ingali unakila kitu mbona sielewi tutajifunzalini Jamani mbona aibu sana tunakila kitu apa kwakweli naona tunaitaji mabadiriko kabisa ya uongozi inakela sana
America is not helping Africa with anything. It's Africa helping America with Everything
Bora iwe hivyo maana magari ya kijani yamezidi uku
Yesu ingilia kati
Hii umeenda..
Viongozi wenyewe walishawasahau wananchi wake Zahanati na vituo vya afya hakuna madawa lakini wao wanatibiwa nje kwa pesa za Serikali tutajiimalishaje sasa wakati kuna tabaka mbili Taifa Moja
Mimi naenda irimladi kumekucha😂😂😂
Nimependa sana majibu ya PM
INAWEZEKANA
Huwezi jibu kirahisi hivyo
Sasa tumejipanga kuzalisha izo dawa au unajua apo jibu halijawekwa sawa kuhuusu dawa ya VVU
Ni kwa namna Gani Sasa tunaomba mchanganuo unaeleweka waziri
Wakati mnajiimalisha hawa wahanga wanaishije??
Acheni uongo bhana
Majibu ya kipuuzi
Apo mwamba umechemka😂😂😂😂
kwa kauli hii ya Trump, natamani mwamba JPM angekuwa hai!!!
Jibu la ARvs wataweza kwel???
Mkajipange sasa!!! Pesa za posho hazipo
Marekani akiacha kutoa hii misaada ni sawa na kuleta vita kuu ya tatu ya Dunia make waafrika akili ndogo!!!
Mabunge wetu wanafiki sana
Wanapitisha sheria za kuumiza taifa letu na vijazi vijavyo
Tubadirike
sijawahi kuona mwamba akikosea sema hapa kafeli 😅
Amn kitu aaa
tusipo kubari kujifunza tutafundishwa kwa lazima
Serikali nayo pia itoe wahamiaji wanoishi bila vibali
Miaka 48 ya CCM
, yaani jibu vile ambavyo umejiandaa🎉 kujitegemea makofi hayo ni kelele
Kajitahidi kujibu maana hili swali sio dogo kwakweli
Shida ni ninyi viongoz hamna uzalendo na nchi yetu
Itasaidia ni hayo mahusiano uo ni ushamba tu
Malizenu mnawapa bule vyakwenu nimsada.
Glomar response
Tatizo misaada saana tunapenda NAUMIA SAANA lakn one day yes but kujitegemea ndo jambo la muhm saana
Mheshimiwa marehemu magumu alisema tusitegemee misaada
Kwani tulishindwa kujitegemea tangia mwanzo?
Anavyoongea tu....ni wazi.....😢
Majibu na heading is opp
Tujitegemee jamani daaah
Mi nampenda Trump, maana inatakiwa tujifunze kujitegemea. Tutumie rasilimali zetu ili kujiletea maendeleo na siyo kujitajirisha watu wachache. Naomba ufadhili wote ufutwe tena siyo kwa Marekani tu bali mataifa yote wakubwa,ili kila nchi ijitegemee yenyewe.
Tegemesi kinanizi tuache tupenda kwetu tuingia darasani tuna watu wetuvsio nje Mungu tulinde Tanzania
Yapunguzwe matumizi ya anasa kwenye mambo mbali mbali
MIAKA 60 ya uhuru bado MNAJIIMARISHA 😂😂😂
Watu ni rasilimali kubwa
Africa ndio bara linalo ongoza kwa malaria ilaaa dawa zinatoka ulaya haaaaibooooooo🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾😂
Mh waziri kujiimarisha ni kauli nzur na ni muhimu na ilitakiwa kabla hajakata kutoa misaada mlitakiwa muwe mshakata kuchukua misaada kwao coz hakuna 7bu ya tz kuchukua misaada na ina miaka mingi ya uhuru ina rasilimali karibia zote muhimu ina ardhi kubwa ya kutosha ina maji mengii nyi wenyewe mpo madarakani tangu nchi kupata uhuru nchi ina miaka mingi mlifanya juhudi gani ndo mkiambiwa maendeleo hayahitaji kusubur nyi mnatoa macho kumbukeni Rais wa awamu ya tano alivokua mtu wa kuthubutu mkawa mnamuona mwehu
Misaada itawaua
Tusimame mwenyewe maswala ya msaada mfike mwisho tunauwezo ndio muda wetu sasa
TRUMP ni mzalendo wa kweli hata ningekuwa mimi waafrika nisinge wasaidia wala kuruhusu wakae nchini kwangu hawa mchango wa kimaarifa na nihatari kwa vizazi vya marekani kuchanganyika na watu wenye I,Q ndogo
Majaliwa kaniangusha leo kajibu kisiasa sio kisayansi ukweli tuna hali mbaya nkasema neno Uwezo mkubwa lakin uwezo wa Tanzania bado huonekani mahusiano tuliyonayo bado ni ya Utegemezi
Kilamtu atumiechake mnakusanya Kodi mnaishia kuziiba Tena afute kilakitu
Shida viongozi wetu ni waongo
Kwani mwanzo mlikuwa hamjui kuwa mnarasilimali kwenye nchi yenu
Haya Waarabu wa Tandale tuleteeni Ndugu zenu watupe msaada,Mara ooh Marekani mashoga,magaidi,Waleteni wavaa magauni wa kiarabu wawasaidie.
Serikali itoe kibali kwa watalum watiba za asili kutengeneza dawa ya ukimwi
Hivi huyu waziri mkuu siye yule alieteuliwa na magufuli?na siku zote magufuli alipenda tujitegemee na inawezekana hawa wabongo ni shida wacha trump awafundishe
Swali fupi,majibu imekuwa insha ya wasifu na hoja,na hamna jibu lililopatikana😂😂😂😂😂😂😂
Ni muhimu kuanzisha mfuko wa afya kama ilivyo mifuko ya Barabara, maji, REA. Tulinyimwa ufadhili wa umeme tukatafuta njia yetu ya tozo na tumefanya vizuri zaidi. Afya ni suala la msingi Sana hivyo ni lazima tutafute jinsi ya kuigharamia wenyewe. Bima za afya ni ghali au pia watu Huwa Wana hulka ya kutopenda direct tax or charges. Ukiweka tozo na kufanya direct charge iwe token utapata fedha nyingi Sana.
Hapa dawa na sisi tuwanyime madini yetu mbona Bunaafaso wameweza cc tunashindwa wakati tuna Mali nyingi ifike Sasa tuwe wajasiri pia tuache anasa kwenye fedha tusimame na mambo ya mhimu
Tujipange tuache kutegemea misaada,rasilimali tunazo tatizo usimamizi ndio mbovu,miaka 60 ya uhuru bado tunatemea misaada
Yaani hapo tunajifunza unapoiba chako na kutegemea cha jilani utajua madhala yake
sasa huy waziri mbona hajibu swala kimkakati a naongea simple simple tyu
Huyu Songore kauliza 1+1=?,kajibiwa 1+1=11
Wanaosema tozo itaongezwa kwa asilimia kadhaa gonga like apa
Siku zote mlikuwa wapi nyie