PATANISHO : NISIPATE AMEUZA VYOMBO VYANGU VYOVYOTE MANAKE HATAISHI KWA AMANI - MAGGIE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 63

  • @johnyjoe2894
    @johnyjoe2894 10 місяців тому +3

    Kwa mahakama ya Radio Jambo,the woman is always right😂😂😂

  • @rachelmuch5788
    @rachelmuch5788 10 місяців тому +14

    Maggie Maringo na Madharau life is too Short mama wacha madharau

  • @amkeni
    @amkeni 9 місяців тому +2

    Maggi acha kiburi na maringo maisha tunapita, usijuvune saaaana.
    Tulia mtoto wakike

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 10 місяців тому +3

    Disco matanga ilileta shida,boy shaud sikuhizi amelegea baridi inakupiga mpaka unakesha waaaah,pray for boy shaud.

  • @mein5494
    @mein5494 10 місяців тому +3

    Wameficha mambo mengi sana

  • @sabbylulu1
    @sabbylulu1 10 місяців тому +3

    Arudishe vitu❤❤❤❤

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 10 місяців тому +3

    Ghost's laughter is so genuine 😂

  • @alicemonyo5717
    @alicemonyo5717 10 місяців тому +3

    Hii patanisho n very complicated 😅

  • @mumbisandtmann8931
    @mumbisandtmann8931 10 місяців тому +3

    Its true Gidi many Men nowadays are lazy utaona ata wakiona mwanamke anajiweza vile wanajaribu ku aproach they think every woman can host them Shidwe !! If for a man he must also be responsible all else let me ba alone

    • @stevecharlo7149
      @stevecharlo7149 7 місяців тому

      Sema mwenye ulipatana na wao. Kwangu hata kijiko huwezi kuja nayo

  • @LuciaMutuku-cc5hc
    @LuciaMutuku-cc5hc 10 місяців тому +3

    Gidi stop incitement.. honestly this man is honest..ths woman just got a greener pastures and now she's behaving a victim..

  • @sereaatieno178
    @sereaatieno178 10 місяців тому +3

    Kamau analazimisha mahusiano ukiachwa achika 😂😂😂😂😂

  • @FranciscaMutua-m2k
    @FranciscaMutua-m2k 10 місяців тому

    Kamau akili kichwani umeachiwa mungu fikiria sanaa hii dunia kula jasho lako

  • @danymak5800
    @danymak5800 10 місяців тому +6

    Gidi should be listening also to men and avoid being biased.

    • @agnesandalo6936
      @agnesandalo6936 10 місяців тому +1

      But he's listening ama wewe unawatch nini yenye hatuoni

    • @barygarcia3128
      @barygarcia3128 10 місяців тому

      He wants to please feminists

  • @fashionKalmahouse
    @fashionKalmahouse 9 місяців тому +3

    Wanaume sikuizi wanapenda kufugwa.3/4 ya wanaume wanakuja Kwa nyumba ya waschana.alafu munasema Maggie ako na madharau kwendeni uko.

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania 3 місяці тому

      Wanaume saivi mtihan bora uishi peke yako sasa mtu umeolewa kila kitu ujihudumie ndo nini sasa.

  • @MaryA-px6ul
    @MaryA-px6ul 10 місяців тому +3

    Wakikuyu mpo

  • @hannahnyambura7976
    @hannahnyambura7976 6 місяців тому +1

    Woii vile jamaa anabonga poa .wanawake wambaya wanapata mabwana wazuri wanaume wambaya wanapata ma bibi wazuri heri ngekuwa na kama uyu jamaa

  • @peterkioi9323
    @peterkioi9323 9 місяців тому +1

    Bona wanawake wakisaidia mtu siku kidogo wanaona kama ni miaka?na wew unaeza mbeba miaka mingi

  • @ramenyaramenya6223
    @ramenyaramenya6223 8 місяців тому +1

    Hii patanisho ni complicate sijui niamini nyumba ilikuwa ya nani?

  • @alicenyambura1130
    @alicenyambura1130 10 місяців тому +1

    Huyo Kamau ni mfugo, ni gutee

  • @marrieann5278
    @marrieann5278 10 місяців тому +2

    Hiyo ni wizi Kamau,mbona uhamishe vitu za Maggie hadi Kwenu meaning ni vitu zake ulipenda sio yeye,uko na hatia rudishia Maggie vitu zake

  • @voskilltheentertainer2564
    @voskilltheentertainer2564 10 місяців тому

    @13.15 😂😂😂😂😂😂😂

  • @YoungMinister-n2n
    @YoungMinister-n2n 2 місяці тому

    Wanaume wakuekwa mnjifunize

  • @josephNdichu879
    @josephNdichu879 10 місяців тому

    Huyu ni mluya banaaa

  • @janemumbikimani
    @janemumbikimani 10 місяців тому

    Kamau wituuuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @bossb8989
      @bossb8989 2 місяці тому

      Kamau wanyu-ri😂😂😂😂

  • @EdwardWanjama-yj9du
    @EdwardWanjama-yj9du 6 місяців тому

    Maggie ni Mtu Fala sana,kujiona sukari na ni Aloe Vera

  • @sabbylulu1
    @sabbylulu1 10 місяців тому

    Kama alikuwa anadugwaaa😂😂😂😂😂

  • @DanielMuguko
    @DanielMuguko 10 місяців тому +1

    Margie ni gutee

  • @DelvinMoraa-k9d
    @DelvinMoraa-k9d 10 місяців тому

    Hyo jamaa ni mwongo sana skia vile anajibadilisha

  • @axissilver9719
    @axissilver9719 10 місяців тому

    Gidi ana side na huyu mwanamke, given that kamau alimlipia deni ya 4month rent Gidi aongelei hiyo, seems like Maggie amerudi kwa baby daddy that's why men should date women with no kids to avoid such things

  • @bensonngichabe946
    @bensonngichabe946 10 місяців тому +1

    mahakama ya upeo imefanya Kamaa akate simu.

  • @felixwagai2168
    @felixwagai2168 10 місяців тому +6

    Gidi is always siding with women

    • @agnesandalo6936
      @agnesandalo6936 10 місяців тому

      Happening ukweli,he's not siding with anyone,,people should learn to tell the truth

  • @KenyanUnicorn
    @KenyanUnicorn 10 місяців тому

    Huyo mwanamme ni mwongo, kuna kitu anaficha.

  • @solomonoduor
    @solomonoduor 6 місяців тому

    ghost anafurahia akiskis ni MKAMBA

  • @jailedbird
    @jailedbird 10 місяців тому

    Nguvu ya kuchukua wanawake wako na watoto mnatoa wapi?

  • @b.3940
    @b.3940 10 місяців тому +1

    Kamau ni msanii na vile anaogea anafikiri yuko kwa Vioja Mahakamani.

  • @malukidavid5265
    @malukidavid5265 10 місяців тому

    Mrembo na maringo huyu but kasonge kabisa

  • @halimashaban7637
    @halimashaban7637 3 місяці тому

    Wanaume wa kufugwa hawa

  • @mrsk4860
    @mrsk4860 8 місяців тому

    Ni metoa ma stress.

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 10 місяців тому +5

    Huyu mwanaume ni muongo

  • @juliusmanyur3698
    @juliusmanyur3698 10 місяців тому

    😂😂😂

  • @gracekamunya6823
    @gracekamunya6823 10 місяців тому +1

    Oooi kamau wetu?were you mfugo?do you miss the free treatment you were getting from Maggie?did you have to take vitu za wenyewe Nakuru?the statement "ukitaka Amani maishani uziuze vitu zake"rudisha vitu zake before the day ends!Ghidi was just chilling aangue kicheko then boom💥...unajua ni mkamba?I give up😂😂😂😂

  • @hellenjeffrey2135
    @hellenjeffrey2135 9 місяців тому

    Wakamba mmefikio😅

  • @dollydolly1317
    @dollydolly1317 10 місяців тому

    Kamau ni mwizi

  • @susankomu8978
    @susankomu8978 10 місяців тому +1

    Ati alipanga na familia yake wapeleke vitu nyumbani níuici n gútee mikoraaa

  • @ElizabethMatanda-h4k
    @ElizabethMatanda-h4k 10 місяців тому

    Huyu mwanamke yuko naringo na ni mkamba

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 10 місяців тому

    Mkamba mcoast

  • @linetkhavugwi209
    @linetkhavugwi209 10 місяців тому +2

    Mwanamke akichoka amechoka punda haifikishi mzigo

  • @nyarsakwa1492
    @nyarsakwa1492 10 місяців тому

    Kamau ni mikora, alikuwa amefugwa

  • @Promisewaruiru
    @Promisewaruiru 10 місяців тому

    I don't trust kamau