1. Niliye msafiri, mgeni duniani; sioni kwangu hapa, ni huko ju’ mbinguni. Ninatamani nami kukaa siku zote pamoja naye Baba katika utukufu Chorus: Kwangu mbinguni, kwangu, uzuri wa binguni wapita yote huku. 2. Mokozi yuko huko, rafiki yangu mwema, aliyenikomboa na ku’chukua dhambi. Na hata nikiona furaha siku zote ningali natamani makao ya mbinguni. 3. Na nikipewa huku vipawa vya thamani, na wakiimba nyimbo za kunifurahisha, rafiki wangu wote wakipendeza mimi, ningali natamani makao ya mbinguni. 4Upesi nitaona kifiko cha mbinguni, Mwokozi wangu Yesu atanikaribisha; Na huko nitaona nilivyotumaini, kinubi nita’piga kumshukuru Yesu.
Mungu awabariki ndugu na dada katika kristo
Que Dieu vous bénisse précieux frères et sœurs
Nakumbuka kifo cha bibi mzee wangu😢
Gloire à Dieu que Dieu vous bénisse richement mes sœurs
Soyez béni les bien aimés
Sorry can you write for me this song plz my sister I beg you
1.
Niliye msafiri, mgeni duniani; sioni kwangu hapa, ni huko ju’ mbinguni. Ninatamani nami kukaa siku zote pamoja naye Baba katika utukufu
Chorus:
Kwangu mbinguni, kwangu, uzuri wa binguni wapita yote huku.
2.
Mokozi yuko huko, rafiki yangu mwema, aliyenikomboa na ku’chukua dhambi. Na hata nikiona furaha siku zote ningali natamani makao ya mbinguni.
3.
Na nikipewa huku vipawa vya thamani, na wakiimba nyimbo za kunifurahisha, rafiki wangu wote wakipendeza mimi, ningali natamani makao ya mbinguni.
4Upesi nitaona kifiko cha mbinguni, Mwokozi wangu Yesu atanikaribisha; Na huko nitaona nilivyotumaini, kinubi nita’piga kumshukuru Yesu.
I’m very sorry for the late reply.
i wish one day to see this choir am so bless with all the song even sometime I fell cry @@DivineModesty
@@DivineModesty you don't have to be sorry
Mupo state gani? Au wapi?
Tuko Ottawa, Ontario in Canada.
Can you give adress please
ua-cam.com/channels/RjaG7N4qnlMsRnejOkHuHQ.html
Mungu awabariki ndugu na dada katika kristo
Que Dieu vous bénisse précieux frères et sœurs