1. Ninatamani kwenda mbingu nchi yangu niliyopewa na Mungu kwa imani. Ni shangwe bora kuona mji ule; kwa kwenda kule sitaogopa kitu. E’ Baba yangu, niongoze, unisafishe kwa damu ya Mwokozi! Nifananishwe na theluji, unibatize kwa Roho ‘takatifu! 2. E’ Mungu, tumepata Mwana Yesu Kristo, kipawa kweli kinachoshinda yote. Anahubiri amani kwao wote walio huku karibu, nao mbali. 3. Kwa Yesu tumepata mwisho wa upendo na njia ya kumwendea Baba Mungu. Si wapitaji na tena si wageni, tunatumika kwa roho ya upendo. 4. Amani kwetu na matumaini tele, salamu toka kwa Mungu wa milele ni posho ya watumishi wa upendo; tunaurithi uzima wa milele
Enhakkore Nyimbo za wokovu 289 1. Ninatamani kwenda mbingu nchi yangu niliyopewa na Mungu kwa imani. Ni shangwe bora kuona mji ule; kwa kwenda kule sitaogopa kitu. Pambio: E’ Baba yangu, niongoze, unisafishe kwa damu ya Mwokozi! Nifananishwe na theluji, unibatize kwa Roho ‘takatifu! 2. E’ Mungu, tumepata Mwana Yesu Kristo, kipawa kweli kinachoshinda yote. Anahubiri amani kwao wote walio huku karibu, nao mbali. 3. Kwa Yesu tumepata mwisho wa upendo na njia ya kumwendea Baba Mungu. Si wapitaji na tena si wageni, tunatumika kwa roho ya upendo. 4. Amani kwetu na matumaini tele, salamu toka kwa Mungu wa milele ni posho ya watumishi wa upendo; tunaurithi uzima wa milele.
bonjour Ma sœur! que le seigneur vous bénisse. Je suis tombé sur ce Cantique, aimant la mélodie. pourrai-je avoir le texte de la chanson pour nous qui ne maitrisons pas la langue.
1. Ninatamani kwenda mbingu nchi yangu niliyopewa na Mungu kwa imani. Ni shangwe bora kuona mji ule; kwa kwenda kule sitaogopa kitu.
E’ Baba yangu, niongoze, unisafishe kwa damu ya Mwokozi! Nifananishwe na theluji, unibatize kwa Roho ‘takatifu!
2. E’ Mungu, tumepata Mwana Yesu Kristo, kipawa kweli kinachoshinda yote. Anahubiri amani kwao wote walio huku karibu, nao mbali.
3. Kwa Yesu tumepata mwisho wa upendo na njia ya kumwendea Baba Mungu. Si wapitaji na tena si wageni, tunatumika kwa roho ya upendo.
4. Amani kwetu na matumaini tele, salamu toka kwa Mungu wa milele ni posho ya watumishi wa upendo; tunaurithi uzima wa milele
c'est tout simplement merveilleux, soyez benis
Amen Amen vraiment bientôt nous serons dans la gloire, mais nous avons aussi besoin de vos prédications mes frères bien-aimés
It’s on Nyimbo za wokovu number 289.
Sou aqui do Brasil,vcs são uma benção, Deus abençoe a todos
To God be the glory and honor, this is a nice song.
Amina.Bwana wetu Yesu Kristo awabariki kwa Baraka Zote sa Mbinguni.Amina
Amen, Mungu aku bariki pia.
God bless you
I don't really know the meaning of the song but the melody is awesome to hear ..God bless you guys.
Que Dieu vous benisse richement
Where are you leaving plz just tell me because I m so blessed with this song
Steven Rugenda Ottawa
@@DivineModesty I wish if I could be there so that we sing together may the Lord bless you I like the way you sing god bless you
Amina
Hy @ divine modesty plz sister bless us again long term plz
Hello brethren,which book can I find this song please
Kila usiku lazima niashe iki play Hadi asubuyi .hakika mungu Ni mungu tu
Whaou, une belle séquence vraiment, je peux la trouver dans quel recueil des cantiques ?
J’aime beaucoup aimé
wonderful song
On peut avoir ce text
Beautiful song! May you please post the lyrics?
Enhakkore Nyimbo za wokovu 289
1. Ninatamani kwenda mbingu nchi yangu niliyopewa na Mungu kwa imani. Ni shangwe bora kuona mji ule; kwa kwenda kule sitaogopa kitu.
Pambio:
E’ Baba yangu, niongoze, unisafishe kwa damu ya Mwokozi! Nifananishwe na theluji, unibatize kwa Roho ‘takatifu!
2. E’ Mungu, tumepata Mwana Yesu Kristo, kipawa kweli kinachoshinda yote. Anahubiri amani kwao wote walio huku karibu, nao mbali.
3. Kwa Yesu tumepata mwisho wa upendo na njia ya kumwendea Baba Mungu. Si wapitaji na tena si wageni, tunatumika kwa roho ya upendo.
4. Amani kwetu na matumaini tele, salamu toka kwa Mungu wa milele ni posho ya watumishi wa upendo; tunaurithi uzima wa milele.
DivineModesty Thank you so much! God bless you richly xx
amen
Mais se os soldados cantancem seria super
Que dieu vous comble de paix
bonjour Ma sœur! que le seigneur vous bénisse. Je suis tombé sur ce Cantique, aimant la mélodie. pourrai-je avoir le texte de la chanson pour nous qui ne maitrisons pas la langue.
Bonjour frère, pardonne moi je n’avais pas vue le commentaire. Avez-vous toujours besoin du texte? En Swahili, Français où Anglais?
Bonjour ma soeur, j'espère que vous allez bien. Merci pour les partages, mais j'aimerais que tu ajoutes les paroles des chansons.
Cordialement