EXCLUSIVE: WHOZU AFUNGUKA SAKATA LA KUMPIGA WEMA, AMPA ONYO TUNDA “SIKUPENDI, UNAONGEA UONGO”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 347

  • @jawbraker4723
    @jawbraker4723 9 місяців тому +10

    Whozu niskilize kama unampenda wema kweli fungeni ndoa la si ivo utakuja kumpoteza wema wema nimzuri ana roho nzuri haringi hana majivuno funga ndowa na wema please ukate watu midomo umfurahishe Allah na mama ake wema piya na wananchi kwa ujumla please nawapenda sana na nawatakiya kila la kheri halafu nendeni nchi za nnje mkafanye dizain ya kupata mtoto lakini mpaka mfunge ndoa kwanza Allah atawaajaaliya kila kheri

  • @Salama123-iw7hj
    @Salama123-iw7hj 9 місяців тому +64

    Nawapenda Sana wema na whozu mungu awabariki awape watoto fom Kenya ❤❤❤❤

  • @lucaswilliams5761
    @lucaswilliams5761 9 місяців тому +211

    Like za Chimama ziwe hapa ❤

    • @sonyboyofficial
      @sonyboyofficial 9 місяців тому

      😂ua-cam.com/video/4CNy22B65TE/v-deo.htmlsi=Ta05k_NJFXuvlshc

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 9 місяців тому +1

      tuko pamoja kaka nimekupa like nampenda sana chimama ❤

    • @mancholotrasco8350
      @mancholotrasco8350 9 місяців тому

      Dume zima bomboklaat 😏

    • @AnnaMeshack-fu9vs
      @AnnaMeshack-fu9vs 9 місяців тому +1

      Uko vzr kaka.zidisheni upendo akose pozi.

    • @JudyLee-hf9cy
      @JudyLee-hf9cy 9 місяців тому

      ​@@mancholotrasco8350😂😂😂😂aki mwanaume hamna apo

  • @FlorenceUmutesi
    @FlorenceUmutesi 9 місяців тому +32

    Whozu oyeee ❤❤unaongea vyizuli xana tunapenda ww n wema changa mto lazima lkn maisha inaenderea

  • @zakiangumbe6739
    @zakiangumbe6739 9 місяців тому +27

    Miye jamani acha niteme nyongo yangu kwa tanzania hii mimi nampenda saaaaana wema na nandy❤ chibaba umechagua Archana na vidudu mtu.

  • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
    @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 місяців тому +149

    Kudate na msanii au super star, inakuhitaji akili sana, uvumilivu na kutodeal saana na mambo ya mitandao.... pongezi saana kwa Couple ya Navy Kenzo... hii Couple ina zaidi ya miaka 10 bila skendo zozote za kijinga.. wame win kwenye namna ya kusolve ugomvi wao bila kuhusisha mitandao..

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 9 місяців тому +13

    Mungu awajalie mpate mtoto na wema

  • @LaddyChimiy
    @LaddyChimiy 9 місяців тому +18

    Team chimama tujuane❤

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema 9 місяців тому +15

    Tunda anajua Whozu anampenda mtoto wake na Dawa ya Tunda ili aache kukunyima kumuona mtoto ni Whozu kutokumuomba mtoto. Haiwezekani bibi yake ambaye ni mama yake na whozu amuombe mjukuu wake halafu ananyimwa. Mimi iliwahi kunitokea kwa mtoto wangu dawa ni kunyamaza kimya kabisa mpaka wao wenyewe watakupa mtoto.

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 9 місяців тому +19

    Nampenda chibaba na wema

  • @NiyonsabaEmelyne-nl6mp
    @NiyonsabaEmelyne-nl6mp 9 місяців тому +1

    Wema nakupenda sana cimama ebu muishi pamoja na cibaba wako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mariamkinzajamanimuviinaku5724
    @mariamkinzajamanimuviinaku5724 9 місяців тому +70

    kiukwe mm nampenda xn wema kuliko wasanii wote kwanza hajisikii hana dharau anawapenda watu wote piy ni mzr xn nawaombeya mfunge doa nitafurahi xn na insha Allah wema atapat mtt ktk ndoa yke ilove wema❤

    • @simbaboe8350
      @simbaboe8350 9 місяців тому +1

      😂

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 9 місяців тому +6

      Mshauri atafute mume wa maana sio kulea vitoto hivi vinavyomdharau hd mama yake hajifunzi tu km kashakua yy bado anajiona mtoto hd lini

    • @ngulathfundikira4205
      @ngulathfundikira4205 9 місяців тому

      Wafunge ndoa nanan?

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 9 місяців тому

      ​@@OfficialA83640acheni uchonganishi na familia za watu maana wameshaelewana

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 9 місяців тому

      @@hopefully7090 wameelewana wp ww huyo yupo kuomba samahani sasa Tunda kaharibu kila kitu km hujui wala hawajasameheana

  • @FrancoiseSabuni
    @FrancoiseSabuni 9 місяців тому +19

    Jongers sana Hozo kwakumuheshimisha mpenzinwako Wema I say you are good man I wish you all the best together with Wema big up

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 9 місяців тому +28

    Safi chibaba tengeneza mausiano yako nawapenda sana wewe nawema

  • @stacykemunto4513
    @stacykemunto4513 9 місяців тому +15

    I love wema❤❤❤❤❤

  • @OmanAl-s9l
    @OmanAl-s9l 9 місяців тому +3

    Uwozi nimekupenda bure kwa maelezo yk ila jmn nawaombea dua na chimama yapite naitaji kuwaona tena na upendo wenu mpisheni sheta ni apite maisha mengine yaendelee uyo tunda wivu tu unamsumbua ❤🫶 chimama na chibaba

  • @kavuthamuthengi6043
    @kavuthamuthengi6043 9 місяців тому +2

    Nampenda wema, whozu ni Ngombe tu kasoro mkia, whozu wema umekutendea makuu, saa hii wala jina la wema

  • @JeniferNgolanya-gt5xx
    @JeniferNgolanya-gt5xx 9 місяців тому +6

    I really love you..whodunit and chimama mungu awabariki awape mtoto..from Kenya 🇰🇪

  • @JudithyondoYondo
    @JudithyondoYondo 9 місяців тому +2

    Ila jamani whozu kweli kampenda wema kakiri pongez sovun hayo maisha yaendelee

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 3 місяці тому

    😁😁 ustawi wa jamii huko ndio ziro kabisa Kwa kilo Moja ya unga duh. Wamama wanaokwenda ustawi jamii nawapa pole sana.

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 3 місяці тому

    Mimi nawapenda sana wema na whozu❤❤❤🎉🎉🎉

  • @janethanthony-m1h
    @janethanthony-m1h 9 місяців тому +2

    Jaman whozu na wema msiachane tunaipenda sana covple yenu jaman❤❤❤❤❤❤

  • @TumaBaby-bs3mu
    @TumaBaby-bs3mu 9 місяців тому +1

    Mungu akujalie mtt aunty wem

  • @AltamimSoud
    @AltamimSoud 9 місяців тому +28

    Yaani katika style ya kujifanya mnagombana kisa ramadhani mjifanye hamzini ila zinaa imekujaaeni hapa watu wengi hawajui kama wamepigwa za uso subirini Eid hao wapuuzi mtawaona pamoja ni wanafkiri wanamdanganya Mungu kumbe wanajidanganya wenyewe at tusizini mpaka ramadhani iishe wapuuzi wakubwa

    • @emmylizzo8220
      @emmylizzo8220 9 місяців тому

      Kama kweli nimeic kitu hpo

    • @valentinernestkavishe7297
      @valentinernestkavishe7297 9 місяців тому +3

      Kumbe kufanya mapenzi ni dhambi?

    • @Xuxu-f7j
      @Xuxu-f7j 9 місяців тому

      @@valentinernestkavishe7297mbona unapunguza ukali wa maneno ili ionekane ni halali na sio dhambi! Sema kufanya zinaa na zinaa isiohalali ni dhambi kwa dini zote unapunguza ukali kwa kusema kufanya mapenzi hio ni zinaa

    • @aminakawawa1935
      @aminakawawa1935 9 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂

    • @estermahenge-ks3dr
      @estermahenge-ks3dr 9 місяців тому

      ​@@valentinernestkavishe7297😅😅😅kwanza nicheke

  • @JOHNJOHN-pu7wb
    @JOHNJOHN-pu7wb 9 місяців тому +32

    Vido ameguna kwa kuitikia mara million 2 lak 1 elfu 62 Mia moja na sabini na tatu kwenye hii interview

  • @salamakassim2775
    @salamakassim2775 9 місяців тому +1

    From Kenya whozu umeongea point Sana

  • @Nasmaabdala-oz2su
    @Nasmaabdala-oz2su 9 місяців тому

    Wewe chibaba muowe wema nampenda sana sana anakupenda pamoja na mwanaoo ila abadili dini awe mkristo ndio mfunge ndoa kama ataki achana nae usije kuwa kama kaka yangu barnaba mwanamke ndioo inatakiwe afwate dini ya mwanaume sawa mdogo wangu kuwa makini sana

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 9 місяців тому +5

    Mtoto kasura ka baba rangi ya mama❤..nawapendaa ❤

  • @paulynmulerndy6259
    @paulynmulerndy6259 9 місяців тому +1

    Whozu Ovyooo sanaa kumbe nlimbukeni anatafuta Laana tu uyu anawezaje kumpiga Wema😢uyu kichaa tangee.....kama ni Uvivu apingane na Wanaume sio kumpiga Mwanamke........

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 9 місяців тому +1

    Nawapenda sana whozu na wema

  • @JeniferNgolanya-gt5xx
    @JeniferNgolanya-gt5xx 9 місяців тому +4

    Big love ❤️ whozu and chimama

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 9 місяців тому +4

    Sisi tunampenda wema na yeyote atakaye kuwa naye tutampenda pia

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 9 місяців тому

    Ataona wivu Hana ht shukrani mtt wk analelewa na wema kakaribishwa kapokewa na wema Kwa upendo tu yy na mtt wk tuna anaroho mbaya na wivu

  • @LizyMsemo
    @LizyMsemo 9 місяців тому

    Mungu awape moyo wa subir❤

  • @IrenewillyMwenda
    @IrenewillyMwenda 9 місяців тому

    Jmn whoz unasaut nzur

  • @ChikuRashid-yg3jp
    @ChikuRashid-yg3jp 9 місяців тому +2

    Nampenda saana wema

  • @meryamreally2768
    @meryamreally2768 9 місяців тому +2

    Nakubali sana kaka 👏👏👏❤️❤️

  • @ZenasefuAlly
    @ZenasefuAlly 9 місяців тому

    Mi pia nawependa Sana wahendelehe Kwan ugomvi co kuvunja mahusiano

  • @mylovejosecharles4362
    @mylovejosecharles4362 9 місяців тому +20

    apa wema anapangwa

  • @janethanthony-m1h
    @janethanthony-m1h 9 місяців тому

    Owaneni tu ili atulie na awaache jaman,please owaneni😊😊😊😊

  • @rhodamundo5363
    @rhodamundo5363 9 місяців тому +1

    Bora whozu usimuache wema kabisa for life jmn msiachanane hata wema take usikubari ng'ng'ana siku hasira zikitulia ataona utu wako just cheel with her body

  • @FrancoiseSabuni
    @FrancoiseSabuni 9 місяців тому +4

    Iyo ni Kweli ushauri wa busara kwakweli Wema mpende mme wako mdogo wangu anakupenda nawewe piya mpende 🎉acha mambo ya watu ok let life goes on ok love your husband

  • @serianjamal8254
    @serianjamal8254 9 місяців тому

    Whozu hivi unajua maana ya kutokumuongelea mtu, naona hapa umemaliza ukurasa . Ishi maisha yako na chimama yule ni mzazi mwenzako. By the way nawapenda sana wewe na wema.

    • @lulumarthandumbaro1539
      @lulumarthandumbaro1539 9 місяців тому

      Kaongea sababu tunda ndio kaanza kumuongelea vibaya Ivo anajibu Yale aliyoyaongea tunda , bt asingeongelewa asingejibu dear

  • @LucyHusseni
    @LucyHusseni 9 місяців тому

    Kwel huzo nawema❤❤❤❤

  • @FettyMetta
    @FettyMetta 9 місяців тому +1

    Mungu awazishie kila lakher mzidi kupendana!!!nawapenda❤❤❤❤

  • @SalechLeon
    @SalechLeon 9 місяців тому +8

    N kweliii watu mkiachwa s muachikee ,,,, acha wema na whozu wapaee

  • @valerieshinia8526
    @valerieshinia8526 9 місяців тому +1

    Mapenzi yakizidi mnapigana😭😭😭😭hapo pa kupigana Aiseee😢😢

  • @salamamamashenge5493
    @salamamamashenge5493 9 місяців тому +3

    Well done Whozu kwakufanya hii interview 👍🫠🎉@MangeKimambi ni mtu mbaya tena sana 😢Alimpa Tunda interview kisa vita yako na Wema iwe kali kuzidi kuliko ilipo😢Wewe na wivu wako sasa unapashwa kwenda Councelling huwezi kupiga mwana mke😢 Hatokulinda uje kumuuwa badilisha hayo makasiliko yako makali😒😢

  • @jovinessleonard6518
    @jovinessleonard6518 9 місяців тому

    ❤❤sepengaaa

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 9 місяців тому +2

    Tunda mwongooooooooooooooooo tena sana

  • @josephinerajabu8657
    @josephinerajabu8657 9 місяців тому +1

    Wema akiwa na mpenz anatulia na anakuwa hur kumtambulisha ila Sasa wanaume wake wakisha toboa wanazarau wema

  • @HaneOG-rw3vg
    @HaneOG-rw3vg 9 місяців тому

    Nimapito2 mungu atawabaliki mtayamaliza nawapenda sana

  • @YusuphKalli-ds5sy
    @YusuphKalli-ds5sy 9 місяців тому

    Ila nakupenda sna ww mtangazaji unajua kuhoji sana

  • @Nasmaabdala-oz2su
    @Nasmaabdala-oz2su 9 місяців тому

    Sitakiii kusikia umebadiliiu dini Kwa sababuuu ya kupenda wozuuu uwo niudhalilishajiiiiiiiii😮😮😮😊

  • @JudithyondoYondo
    @JudithyondoYondo 9 місяців тому +1

    ❤whozu and chimama❤

  • @claudineali3561
    @claudineali3561 9 місяців тому +2

    Asante mwambiye uyo tunda ukweli huyo

  • @NeemaIlomo-u7e
    @NeemaIlomo-u7e 9 місяців тому

    Umemzalisha eti mahusiano yalisha Isha wewe whoz mungu anawaona

  • @judithnyenga7327
    @judithnyenga7327 9 місяців тому +6

    Mungu awajalie mzidi kuwa pamoja chibaba na chimama❤❤❤

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 9 місяців тому

      Ili waendelee kuzini au sio

    • @judithnyenga7327
      @judithnyenga7327 9 місяців тому

      Kama wamepangiwa kuwa p1 na mungu watakuwa tu na wataoana kwa mapenzi ya mungu 😏😏roho mbaya tu kupenda watu wagombane

    • @NtakarutimaRose
      @NtakarutimaRose 9 місяців тому

      Hapana hilo nao

  • @Al-farsy-l6p
    @Al-farsy-l6p 9 місяців тому

    Maskini jmn maisha haya. 😂😂😂Chibaba bhaaana sikupendi Sasa

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 9 місяців тому +1

    Haupaswi kumpigia mwanamke...ushetani

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 9 місяців тому +4

    Acha uwe na huruma vipi wema bora aachane na wew una utoto meingi tu weye whozu si wewe ulikua unamsema kila siku tunda

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 9 місяців тому +3

    Tunda jifunze kuwa na hekima muheshim mzazi mwenzio

  • @Tutsi-b8s
    @Tutsi-b8s 9 місяців тому

    Whozu angeachia tu pale aliposema anaheshimu kauli ya Tunda kutomuongelea. Kuendelea kudadavua ni kutafuta malumbano kuhusu kauli hii mpya. Tunda naye atajibu halafu name tena ajibu. Something haiko sawa hapa. Whozu hajamove on anajidanganya tu.

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 9 місяців тому +2

    NENO WATAACHANA HUWA HALIFANYI KAZI KAMA KUNA UPENDO WA KWELI

  • @vumimartin901
    @vumimartin901 9 місяців тому +1

    Huo ndio msimamo wa kiume good ❤

  • @agnessbahamu3931
    @agnessbahamu3931 9 місяців тому

    Oana na chimama mtulie bac whozu

  • @mwanashaali1109
    @mwanashaali1109 9 місяців тому +1

    Jamanii Ni Ramadhan Af Basii SI Muoanee

  • @صفوابنتسعيدباوافد
    @صفوابنتسعيدباوافد 9 місяців тому

    Tunda mnzuri sana

  • @abdimalikabdulaziz4954
    @abdimalikabdulaziz4954 9 місяців тому

    Chibaba mi nakupenda na chimama namenda lakn mahusiano yenu siyapendi wema mzee atakubemenda bwana😅

  • @veronicasteven1731
    @veronicasteven1731 9 місяців тому +1

    Interview nzima ni ya whozu kumsuta tunda mmenibore Kwa kweli

  • @ABDULQALIMMAUTANGA
    @ABDULQALIMMAUTANGA 9 місяців тому +2

    Ifike wakati nasisi wasanii tubadilike tunapenda mahusiano yakiki sana nahii inafanya hata mkipishana kidogo basi Kila mtu atajua embu tujitambue

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema 9 місяців тому +4

    Whozu mbona watoto wa kichaga wamejaa aisee tena wabichi ukweli unampenda Wema ila Wema hautamuweza ukiona unampiga mwanamke maana yake haumuwezi. Tafuta mwanamke mdogo kwako kwa umri Wema ni mkubwa kwako pia kupata mtoto na yeye ni changamoto Whozu unapoteza muda

  • @JacquelineMahumbe
    @JacquelineMahumbe 9 місяців тому

    Pole whozu

  • @samiamuomba7564
    @samiamuomba7564 9 місяців тому +1

    nice

  • @gloriamwalongo3661
    @gloriamwalongo3661 9 місяців тому

    Amen

  • @happinesshappy5079
    @happinesshappy5079 9 місяців тому

    Whozu acha kutilisha huruma wewe ndo ulianza kumuongelea mzazi mwenzio kakujibu kakosea Anza kubadilika wewe

  • @esterkiyongo2316
    @esterkiyongo2316 9 місяців тому +1

    Chibaba mbembeleze wema mrudiane jaman Mimi napenda kuwaona mkiwa pamoja

  • @sarahsulubu8587
    @sarahsulubu8587 9 місяців тому

    Sasa unamuongelea mama mtoto wako vibaya😂😂😂😜na sidechick unampiga😂😂ati unajiita mume😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪💞💞in the buildingheartbreak inazingua huyu 😅😅😅

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 9 місяців тому

    Whozu anamtaka Tunda ...anajishaua tuu...baada ya kuona amekataliwa

  • @MariamSepetu
    @MariamSepetu 9 місяців тому +1

    Jamani kila mtu akae kivyake imetosha

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 9 місяців тому +5

    Bora unyooshe maelezo. Maana Tunda ameongea vibaya sana juu ya Chimama sijaenda. Tuna hana ababu, Chimama na roho yake nzuri anamuhudumia mtoto wako alafu unamzodoa, na kumbeza kwakuwa hajajaliwa mtoto. Mbaya sana. Sijaenda.

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 9 місяців тому +7

      Acha uwongoo interview ya Tunda hakuna sehemu amemmsema Wema zaidi ya kumsema Whoze huwa alikuwaga anampiga pia

    • @ngambikomsu64
      @ngambikomsu64 9 місяців тому

      @@OnlyRuky hujaiona Kuna sehemu kamsema tena kamwambia azaetoto wake sio kumpenda watoto wa watu . Ngoja nikutafutie hiyo interview . Si wanahojiwa na media nyingi?

    • @svt3
      @svt3 9 місяців тому +3

      ​@@ngambikomsu64mtoto sio nguo eti uta azima unafahamu iyo wimbo? Ukweli uwa unauma Ukweli ni kila mtu awe na wake mtoto kama hauna kizazi nenda nyumba za watoto yatima uchukuwe kamoja ukalee hiyo ndio ukweli japo kuwa inauma

    • @ngambikomsu64
      @ngambikomsu64 9 місяців тому +6

      @@svt3 ni kweli, ila ukijua uzazi ni Baraka Toka kwa Mungu basi usimseme ambaye hakubarikiwa hujui mipango ya Mungu juu yake kesho. Na wakati mwingine unatengeneza laana kwa watoto wako wewe unayemsimanga aliyekosa watoto.

    • @svt3
      @svt3 9 місяців тому

      @@ngambikomsu64 sasa hiyo ni mipango tunda ao wengine wana husikaje hapo, Hayo ni ya Wema na Mungu hapo ni Wena ndiye ajijuwe jinsi ya kuongea na Mungu katika sala zake

  • @RoverRoom
    @RoverRoom 9 місяців тому

    😢Whozu Libaya,sura Kama hamri,mwanaume mwili mbovu Kama Mutura ambao huchomwa,Huyu boya kabisa yani Hana ustar wowote Tunda Na Wema wamekuleta mjini, punguza mashavu shoga wewe, yani sijui Tunda Na Wema waliona nini, Ovyo huyu Whozu jamani nitasema engine after ramadhani😬😬🇰🇪,

    • @SuiBegasha
      @SuiBegasha 9 місяців тому

      Shut up. Unaongea nini wewe? Whozu amekukosea nini. Idiot.

  • @Lulucut
    @Lulucut 9 місяців тому

    Juz lulu Diva kamwambia kamchukue mtoto wema akamjibu mtoto who mtoto which niache kidg😂😂 leo anampenda akigombn na wew anamuingiza mtoto

  • @neemakalugila7674
    @neemakalugila7674 9 місяців тому +1

    Kwanini ulimpiga Wema kama unampenda ????
    Don't play victim kumlaumu Tunda hata kama kakosea.

  • @FelisterMunissy
    @FelisterMunissy 9 місяців тому

    Mke halali ni tunda na s huyo ngoro uliye naye unachekesha ww hafu ww kaka ni kibaka ukimwi utakuua umeshaondok wapi huna uzuri wwte umemchezea binti wa watu mwisho umeenda kupigwa ukimwi bdo mpz yupi huyo anayekupanga

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 9 місяців тому +1

    Love 🤦‍♀️

  • @jemimabakari
    @jemimabakari 9 місяців тому

    Wewe mbona umemuongelea mara nyingi bhana,tena huwa humuongelei vizuri kabisa!mnapendana nyiee😂

  • @EvaVicent-ob9qg
    @EvaVicent-ob9qg 9 місяців тому

    Wema msamehe chibaba

  • @chimamilion
    @chimamilion 9 місяців тому +1

    Cop zinazo eshimiana ni Riama aly na mumewe ❤❤❤❤yn wale watu ni moto wpo kama hawapo

    • @zulfasaid9506
      @zulfasaid9506 9 місяців тому

      Kuna couple ya navy kenzo miaka 10 ya ndoa kama hakijatokea kitu

  • @VumuliaShabani
    @VumuliaShabani 9 місяців тому

    mpende tu chimama wako baba ayo mengine achana nayo

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 9 місяців тому

    Bongo bana wasenge wengiii 😢

  • @sarahsulubu8587
    @sarahsulubu8587 9 місяців тому

    Hata majukumu hayajui😂😂😂😂🇰🇪ni mwanaume kweli

  • @fatma2496
    @fatma2496 9 місяців тому

    Si uliaza wee kumuongelea tena mara nyingi yeye ame reacht mara moja una anza kulia lia

  • @gresramadhan
    @gresramadhan 9 місяців тому +3

    Shikilia hapohapo,huwez kumpata mwanamke kama wema, usidanganyike wezako wanatamani hayo maisha.

  • @FrancoiseSabuni
    @FrancoiseSabuni 9 місяців тому

    Iyo ni Kweli ushauri wa busara kwakweli

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 9 місяців тому +1

    Like za jibibi dingi Daru zije hapa jp 00*

  • @darmagazine
    @darmagazine 9 місяців тому

    Hili nifunzo tosha mnapo date wote mastaa maranyingi hali kama hii hutokea hakuna anae taka kuwa chini

  • @MohammedKhamis-ou1ky
    @MohammedKhamis-ou1ky 9 місяців тому +1

    Whozu ondowa mgogoro muowe wema uyo tunda umfunge mdomo wake ukiongeys tu watu wanaweza kukuona muongo huna usibitisho usibitisho wako kama kweli unampenda wema funga naye ndoa bana kabla ramadhani haijaisha

  • @FelistersMejumaa-xi2ge
    @FelistersMejumaa-xi2ge 9 місяців тому

    Ayeyee

  • @JacquelineMahumbe
    @JacquelineMahumbe 9 місяців тому

    Whozu uache utoto shemeji yangu nawapendaa