Huyo mzee hana akili kabisa.lazima alipe au afungwe iwe fundisho kwa wengine.jana rais ni kama majina mengine.yeaoni hata Tff ina rais wa Tff.njaa tu inamsumbua sana.
@@maclaudismail6606 Kama Magoma alivyoipika hii kesi basi ngoja na Yanga wapike fidia ya gharama za kesi ili panoge. Mtaka yote kwa pupa hukosa yote.
Very good
Like
Ahsante mheshimiwa
Wewe tapeli huna chochote kichwani mmetowa rushwa ni kaziyenu kutowa rushwa hata mechizenu ni za mchongo tu.
Huyo mzee hana akili kabisa.lazima alipe au afungwe iwe fundisho kwa wengine.jana rais ni kama majina mengine.yeaoni hata Tff ina rais wa Tff.njaa tu inamsumbua sana.
Mhhhh
😂😂😂😂😂😂Yan ukumu imetoka afu ikasubilishwa tena Ili mtafute mzee wa watu mumshinde siyo Yan Ukitaka haki uwez ipata ukishindana na aliyenacho
Hukumu hazitafsiriwi kwa mihemko zinafata kwa facts na sheria, vizuri uelewe kabla yakuandika
Huo ni wizi milioni 70 kwa Hesabu gsni?
Waulize wabunge.waliotunga watunga sheria
@@maclaudismail6606
Kama Magoma alivyoipika hii kesi basi ngoja na Yanga wapike fidia ya gharama za kesi ili panoge. Mtaka yote kwa pupa hukosa yote.
Mbona pesa ndogo hivyo mnadai kwa nini asilipe milioni 700 ili iwe ni fundisho na kwa wengine