Babalevo na kajukuu kake kazuchu, yaani anavo ka protect mpaka utapenda😂😂😂. Lakini kazuchu kanadamu ya kupendwa tu kwakweli labda uwe na maasira na mawivu yako tu mwenyewe 😂😂😂😂😂
@@Sosedelinesubhana Allah hakuna mapenzi ya kulazimisha hakuna mwanaume wa hivyo na diamond sio wa hivyo wengi nadhani mnawaona wamepita kwa hivyo zuchu ni furaha ya diamond hata watu wenyewe mnawaona wana full ❤kwa hawa watu 2
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond na zuchu
Daimond plutnmz iwish one day uje lusaka zambia mashabiki zako tunakupenda sanaaaa🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Msanii mkubw ni mmoj tu EA
🦁 #WeZombie
Mashaallah vipenzi vya watu mwenyezi mungu akulinde
Nawapenda sana diamond &zuch👩❤️👨
Baba levo anamupenda sana zuchu utawaza nika biti kake
Yani baba levo anavyo mkubali zuu hadi raha
Zuch Nakupend Sana 💯💯💯❤
Ni noma sanaaaa
Moment nzuri kweli
Dah
Zuch umetish valentin
Awesome 👌 👏 👍 😍 💖
Simba wapo wawili mjengoni angalia wasije umana
Superstar walo saliya ni super mshuma 😁😁😁😁
Much love to you pipo ♥️♥️♥️
Huyu ndie Simbaaaa
Babalevo na kajukuu kake kazuchu, yaani anavo ka protect mpaka utapenda😂😂😂. Lakini kazuchu kanadamu ya kupendwa tu kwakweli labda uwe na maasira na mawivu yako tu mwenyewe 😂😂😂😂😂
Ni kweli mashaaallah
Mansh Allah 😂
Nyota.ya kupendwa saaf sn
👏👏👏🇰🇪💯💯
Shemeji kingananizi kivumishi wa mapenzi....😅😅😅aitwa Ivo na mange kimavi😅
Ukiona kang'ang'ania jua nae kang'ang'aniwa😂
Nimeokoa ndoa yangu kupitia hekima ya Zuchu.
Hata bwana ke Hana haja nae kipenzi kilasimishi kweli
@@Sosedelinewivu wenu tu.... Mwanaume akiwa hakupendi mbona dakika tu kukuacha, sema Diamond yuampenda Zuchu ila watu maneno mingi
@@Sosedelinesubhana Allah hakuna mapenzi ya kulazimisha hakuna mwanaume wa hivyo na diamond sio wa hivyo wengi nadhani mnawaona wamepita kwa hivyo zuchu ni furaha ya diamond hata watu wenyewe mnawaona wana full ❤kwa hawa watu 2
❤❤❤🎉🎉🎉
❤
😂😂😂😂😂😂
Wanataka mafuta hawa ua bure
Mapenzi ya watu tu kwa watu wanaowapenda