Yesu Mwema - Danny Luchele ft Josh Cleopa (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Mshukuruni Mungu wa miungu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Mshukuruni Bwana wa mabwana; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Yeye peke yake afanya maajabu makuu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. (Zab 136:1-25 )
    Audioband Mixing
    Ben William
    #ApexMusic.Int
    Video Production
    ARTHURCUTS
    #praiserise

КОМЕНТАРІ • 61