WAISLAMU AMKENI MCHUNGAJI AMKUBALI MUNGU NA MTUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 18

  • @hasreeyasini
    @hasreeyasini Рік тому +1

    Big up mwaipopo Allah hakuhifadh akuzidishie elimu na hutuelimshe inshaallah na hatupe mwisho mwema kwa sote

  • @SalimOmary-w8j
    @SalimOmary-w8j Рік тому

  • @ashadiramo
    @ashadiramo Рік тому

    😢😢😢😢

  • @kimwinyikhamisi6794
    @kimwinyikhamisi6794 Рік тому +1

    Haki huyu anaonglea vitu vya ukweri kabisaa....Mwenyezi Mungu ampe pepoo MBELE ZA HAKII

  • @isaaabdala7016
    @isaaabdala7016 Рік тому

    Kama.hajui Koruani.ni.maneno ya.mnyezi.mungu.aulize.pale.mombasa.palitokea nini.ataambiwa

  • @hasreeyasini
    @hasreeyasini Рік тому +1

    Sio waislam hao ni katuni zimepangwa

  • @NitweleChiwangu-kz6mq
    @NitweleChiwangu-kz6mq Рік тому

    Acheni mwaipopo aweke mambo wazi ili tujue

  • @hilaryarande-gs8ht
    @hilaryarande-gs8ht Рік тому

    Ucan be arrogant ucan speak all what uwant bt remember every knee shall bow and every tough shall confess Jesus is lord, don't forget to repent in Christ Jesus,be baptized turn away from sin live holly life

  • @hilaryarande-gs8ht
    @hilaryarande-gs8ht Рік тому

    Kwanza unafaa kujua atuokolewi Kwa matendo Bali Kwa neema ,Wacha kutuambia apa dini , preach the gospel of cross watu waache dhambi watembee Kwa utakatifu, we are beyond religion

  • @hilaryarande-gs8ht
    @hilaryarande-gs8ht Рік тому

    Mtu asiwatishe Eti ukitoka Kwa uslamu unaenda jehanamu kwani uyu ako na mbingu zake?nani alisema ukiwa mwislamu ni ticket ya mbinguni, mbinguni auendi juu ww ni Muislamu ama mukristo,wanao tenda mema ndio wataingia

  • @hilaryarande-gs8ht
    @hilaryarande-gs8ht Рік тому

    Yani Hawa waislamu they are against every thing that the prophet sai in revelation 14:13, bless are those who die in Christ,Sasa Hawa wanabadilisha ,eti bless are those who die in Islam, if Muhammad mwenyewe anasema yeye mwenyewe ajui atafanywaje iyo siku because he die has Muslim not in Christ

  • @hilaryarande-gs8ht
    @hilaryarande-gs8ht Рік тому

    Kwani wewe umekua ajent wa shetani kudanganya watu Eti dini itapeleka watu peponi,ujawai fanyika na itawai only holly people who have repent in Christ Jesus turn away from sin live holly life thy will enter heaven