JINSI YA KUDESIGN LOGO ZA 3D-CUBE SEHEMU YA 01
Вставка
- Опубліковано 4 лис 2024
- Leo mdau wangu nimekuletea video ambayo utajifunza namna ya kutumia line na umbo kutengeneza logo yenye muundo WA 3d na cube. karibu ujifunze nami basi pale umalizapo kuangalia basi nikuombe usisahau kusubscribe,kukoment na kulike asante Sana mdau wangu.