Baba Askofu, Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu ili program hii unayoifanya izidi kuimarika. Nimevutiwa mno sana kwa kazi unayoifanya Baba Askofu. Naahidi kukuunga mkono kwa kuelimisha na kuhamasisha waumini wa Dayosisi ya Kondoa ambako mimi ni mtumishi sasa.
Tunashukuru sana kwa ujumbe wako, kututia moyo na kutuunga mkono, salamu zako tumezifikisha kwa Baba Askofu Chiwanga, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Shirika letu.
Jamani tuendeleze kisiki hai pamoja na kutunza mazingira
Nimefurahishwa sana mpango huu wa Kisiki Hai. Hongereni sana kwa hilo
asante sana
Nzuri sana
tunashukuru
nimeipenda endelea kuelimisha jamii
No subtitles? Seriously?