Joel Lwaga aelezea kuusu uraia wake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @joelmasawi4695
    @joelmasawi4695 4 роки тому +1

    Napenda wimbo za Joel lwaga kwasababu ni wa kipekekee so inspirational na kwa kweli full of the Word of God

  • @maruramjomba1718
    @maruramjomba1718 4 роки тому +1

    Haha thought nilikua peke yangu. When I heard Sitabaki Nilivyo sikudhani ni mtanzania. Just thought he's an extremely talented guy from Western Kenya

  • @albertoarcangel5859
    @albertoarcangel5859 5 років тому +1

    Baba umejuwa kunifurahisha🎶👍
    Baba umejuwa kunifurahisha🎶
    Umenifuta machozi, Kaz nzur

  • @marylubi2231
    @marylubi2231 5 років тому +5

    Mbeya iko ivo ilivo coz,u-missionary ulianzia huko,hivyo ktk ardhi na anga LA mbeya kunambegu imepandwa kwaar ya utukufu was Mungu,iko neema ya pekee kwa wazawa wa mbeya,itumieni kwa utukufu wa Mungu, mtamuona Mungu, amen

  • @marychiyungu7741
    @marychiyungu7741 4 роки тому

    Watu wambeya mko vizuur jamaan Mungu zaid kuwa pamoja nanyiii

  • @keflentito8052
    @keflentito8052 5 років тому

    Ubarikiwe sana kaka Joel, na utukufu wote umrudie Mungu wa Mbinguni zidi kumuinua Mungu utauona utukufu wake

  • @ikupamwaisoba4118
    @ikupamwaisoba4118 4 роки тому

    Nakukubali %zote mwanangu Joel

  • @mtembezikipara8623
    @mtembezikipara8623 3 роки тому

    Kihome home nzuri saaana

  • @christophermwanji5318
    @christophermwanji5318 4 роки тому

    Ndaga fijo nkam gwangu lolenga po ngukobhoka itolo.

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 3 роки тому

    Ugonile lwaga .zimbombo weya

  • @rosekimaro3445
    @rosekimaro3445 4 роки тому +1

    Walikuwa wanasema ni raia wa Kenya,sasa nimeelewa tyununuu.

  • @maombikonga
    @maombikonga 5 років тому

    #agapegroupmafinga Yesu BWANA joeli unaikumbuka hii

  • @naomintullo1669
    @naomintullo1669 4 роки тому

    Amen.

  • @halpajordan7117
    @halpajordan7117 5 років тому +1

    Joel mzuriii

  • @joycemshana4028
    @joycemshana4028 5 років тому +1

    Injili ilianzia Mbeya...so mjue hiyo, umissionary, ulianzia huko

  • @kemly1081
    @kemly1081 4 роки тому +1

    Namimi

  • @upendojoseph31
    @upendojoseph31 5 років тому

    Nimeisikia lafuzi yako kala

  • @mariserinandayishimiye3414
    @mariserinandayishimiye3414 5 років тому

    😂😂😂😂😂😂😂 wana ladha yao😂😂😂

    • @roseukanda6015
      @roseukanda6015 5 років тому

      Ubarikiwe kaka yetu kwa Kazi yamungu unanibari sana asante mungu akubariki

    • @cyprianbinomukama9910
      @cyprianbinomukama9910 5 років тому

      Uko vizuri mtumishi nyimbo zako nimezielewa

  • @japheennko7007
    @japheennko7007 5 років тому

    Napnd san uimbji wako