GospoZogo mmetisha kwa 'hot topics'...Wawili toka imani tofauti wakipendana inabidi mmoja aikane imani yake na kuungana na mwenzi wake ili ndoa isimame kiroho na kimwili pia.
Hapo mzee ngumu lmani ndoa maelewano upendo hivi vingingia moyoni. Mwa mtu lnakuja Mambo ya kumili maumuzi na na matumizi ya ndani ya mapenzi kunakuwaga sacrifice Mapenzi yanapokolea wawili kufikia maamuzi ya kuishi pamoja Mambo ya dini hujadiliwa kwa muda mrefu moyoni muaafaka wake moja kukubali ya lshe ndia ni.ngumu lakini wengine hukaa pamoja mpaka kifo kuwatenganisha watoto huulizwa nakukuta hiyo Hali na kuwauliza mnapenda kuwa eneo gani la dini kwa mama au baba watoto huchagua dini wanaopenda kwa kwetu Tanzania hiyo ni kawaida Sana mueshimiwa
Kwani yesu alikuwa na dini gani nijibu
The pastor have taught nothing but the truth. He is very correct
Kubanjuana 😀😀😀😀
GospoZogo mmetisha kwa 'hot topics'...Wawili toka imani tofauti wakipendana inabidi mmoja aikane imani yake na kuungana na mwenzi wake ili ndoa isimame kiroho na kimwili pia.
Nakubali....😊
Saf sana
Umenena vema mchungaji,huo ndo ukweli
No tatizo
Hapo mzee ngumu lmani ndoa maelewano upendo hivi vingingia moyoni. Mwa mtu lnakuja Mambo ya kumili maumuzi na na matumizi ya ndani ya mapenzi kunakuwaga sacrifice
Mapenzi yanapokolea wawili kufikia maamuzi ya kuishi pamoja Mambo ya dini hujadiliwa kwa muda mrefu moyoni muaafaka wake moja kukubali ya lshe ndia ni.ngumu lakini wengine hukaa pamoja mpaka kifo kuwatenganisha watoto huulizwa nakukuta hiyo Hali na kuwauliza mnapenda kuwa eneo gani la dini kwa mama au baba watoto huchagua dini wanaopenda kwa kwetu Tanzania hiyo ni kawaida Sana mueshimiwa