Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Magufuri mungu akulinde mheshimiwa JPM
ALLAH AMPENURU YA UISLAM MAGUFULI
Abuu Ashyam amiin
Mweshimiwa waliotoa malalamiko natamani wangehamishwa gereza.
Hili jembe kwa nini mungu umemchagua yeye
Mungu akuzidishie miaka ya kuishi Rais wangu mtetezi wa wanyonge Mungu ametukumbuka watanzania
Rais wa kipekee dunia nzima Mungu akupe uzima na afya njema milele Mheshimiwa!🙏🙏
Nice ❤ baba magufuri mung Akuweke inshaallah Akupe moyo huo huo wahuluma
rais tumepata wallah mtetezi wa wanyonge hongera baba JPM
🤔' watanzania dugu zangu naomba minijibu!! Hivi huyu ni Raisi ama ni mmoja wafuasi wa MUGU?? haijawahi kuwa naraisi wa vitondo kama J, P, Magufuli.....ukitaka nipige ukweli hauozi.
Vera Adhiambo umenena kweli ndugu
Mungu akubariki sana baba wetu
Vera Adhiambo
Huyu ni babaaetu sio raisi tu
mwenyezi MUNGU akulinde sana MH RAIS
duuh kweli gunia 15 na ng'ombe 3 siku moja tu... humu ni kwa wanaume.
Mungu akuweke Rais wetu
Huyu Baba kaenda Kwa mungu kabisa🙏🙏😭
Allah akusimamie muheshimiwa raisi
ni rais wa pekee Sanaa.
Mungu akujaalie imani mheshimiwa
Hongera Sana Rais
Kuanzia leo awe rafiki yako my President is vois i love you
Dar kizuli akidum pumuzika baba inauma jmn dar inaumaaaa
Nakukubali sn JPM
Safisana raisi wetu tunakupenda.sana
❤️❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nilimchaguwaga lowasa ila 2020 mm nafamiliya yangu kura yetu wote nikwamagu pamoja namafundi wenzangu wote tutampa kura ili nijembe
Hapo nakupa 100%JPM japokuwa ni mpinzani wako
Congratulations, ukweli utabaki ukweli..😆👏👏mpizani ili moyo umenena
Safi sna raisi wetu uchaguzi unaokuja weka koti tu ayna mana yakampeni
Amen 🙏
Ama kweli wee ndoo Raisi
gunia kumi na tatu duh 😀😀😀😀
Da! Nimekupenda bule
asantee baba
Mfungwa mtalajiwa,Ameogopa mziki wa mchele
Raisi magufuli noma apasioshelton
Lala salama😭😭😭
Baba asante
Uyu Rais c Angekua Kenya oyee rest in peace mzee
Tumeshasahau ....
ingekuwa udaku comment kama zote ila ki2 kitamu cha mzee baba huon wa2 🙈🙈 piga kaz jembe
Ahanaho Yayalulu😂😂😂😂😂
😄😄😄😄duuu..jamaa kataja ..