Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Legends.Watching from Kenya.Much love ❤
Ee Mungu mwenyezi, muimarishe huyu mpendwa rejesha furaha ya watanzania. Professor J Come back! 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Watu wa sound muwe munajipanga vizuri ,show kali sana hii alafu munakuwa hampangi sound zenu vizuri
Legend is back maaan
God is good prof is come back
Proffesor ni zaidi ya msanii Mungu amjalie afya bora
Nini ambacho kilimfanyikia prof.J aonekana hivi mhafifu my legend?From Kenya with much respect for him
He hasn't been too well of late
Masha Allah M/mungu mkubwa🙏
Mungu ni mwema kila wakati hakika nimefurahi kwa kumuona Professor Jay akifanya vitu vyake,,, Mungu ni Pendo
Mungu amlinde p jay
Ushukuriwe mung wetu kwa kumponya ndugu huyu😢😢😢😢😢
Mungu ni mwema kila wakati
We miss you professor J
Nampendaga yeye na show zake
Kdg nilie kwa furaha
P jay tutolee gospal uwezo umepewa mtumishi
Hawa ndo wenye bongo fleva
Mungu mkubwaa
Mungu azidi kukulinda Amen 🎉🎉🎉🎉
Mungu mwema
Ingelikua Mimi nisingali mwimbia ibilisi tena kwa muujiza wa Mwenyenzi Mungu aliomtendea daa so sad
Je wew una uhakika apo unayo tenda kwa sasa upo sahii au mkosei mungu?
@@NelisonLukas my friends sijasema simkosei Mungu kwanza naanzaje hakuna mkamilifu my dia nimesema natamani sijatukana Sasa sijajia umepaniki nini
@TumainiSawee nop sijapanic ila na mm nilipenda kuchangia hoja kweny comment yakooo
@@NelisonLukas poa bro
sio kosa lako kuzungumza icho naisi alio kuroga kafaaa😠
Legends.
Watching from Kenya.
Much love ❤