Hotuba ya Rais Magufuli baada ya Chakula cha Mchana siku ya kutunuku nishati JWTZ 26 Novemba, 2016

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @eliasomeke3637
    @eliasomeke3637 8 років тому +2

    tanzania ipo juu sna ongera rais wetu mungu akubariki

  • @alexcharles5560
    @alexcharles5560 Рік тому

    mungu akupokee katika maisha Yako ya peponi

  • @bonydemaria2030
    @bonydemaria2030 8 років тому +5

    Mungu ibariki Tanzania....Viongozi na watu wake.!

  • @lutenganolupakisio3353
    @lutenganolupakisio3353 7 років тому +2

    mungu wabariki viongozi wetu wa Tanzania na ulinde amani yetu

    • @alexcharles5560
      @alexcharles5560 Рік тому

      Mung atawasaisia nyote viongoz ,tanzania ni nchi yenye amani ya kutosha

  • @SamwelNyangala
    @SamwelNyangala 8 років тому +4

    walahi wasanii wataisoma namba kwa serikari hii. Ikulu sio ya kisport sport

    • @khamissharifu888
      @khamissharifu888 5 років тому

      Samwel Nyangala safiii

    • @noelkaaya4559
      @noelkaaya4559 5 років тому +1

      Bado trilion moja ndogo sana kwa mwezi, naamini ukipata ushauri sahii utaweza kusanya mpaka trilion 10 kila mwezi tena kutokea channel moja tu ya e-transaction ulimwngu sasa ni wa kidigitali na hatuwezi kimbia hilo...unaitaji ushauri sana kuhusiana na e-transactions ili tukusanye kodi maradufu.

    • @mohamedkikale7241
      @mohamedkikale7241 4 роки тому

      @@noelkaaya4559 kama unafaham vizur kuhusu hilo, tafuta namna bora yakufikisha ushauri wako, ili ufanye kazi na tupate matokeo yaliyo bora, ili tufike mbali zaid, binafs nakupongeza kwa aidia yako nzuri.

  • @giftgeorge1088
    @giftgeorge1088 3 роки тому

    Uzalendo kwanza