PASTOR EZEKIEL AFIKA OFISINI KWA MAKONDA ATOA MILIONI 50 KWA AJILI YA KUSAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO
Вставка
- Опубліковано 12 тра 2024
- Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
UA-cam : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...
Mungu aku bariki pastor Ezekiel
Amen...Mungu ibariki sana Tanzania...awabariki watumishi wake.
MUNGU ambariki Sana pastor Ezekiel
Namshukuru Mungu kwa kumleta mchungaji wetu Tanzania napokea kufunguliwa
Amen Amen Amen Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU Mtume Ezekiel 🙏🙏🙏
Ahsante sana pastor Ezekiel na karibu Tz
MUNGU wa mbinguni azidi kukubariki wewe na kila
Unacho miliki umekuwa mfano wa mchungaji Mwema as God love the cheerful give be bless my pastor
Mungu akubariki Sana pastor Ezekiel
GOD BLESS YOU PST EZEKIEL FOR UR KINDNESS 💓 ❤
Mungu atembee nawe baba mchungaji Ezekiel unamjua mungu WA kweli
Karibu askofu Ezekiel ndani ya Tanzania nami najifungamanisha na ujio huu!❤
Tunakataa roho yoyote ya kumdhoofisha RC wetu Makonda kwa namna yoyote ile ktk Jina la YESU KRISTO. Na viongozi woote wadogo kwa wakubwa ktk Taifa letu Tanzania Ameen.
Kwani Kule Kenya wahitaji hamna? Tumuukize Mungu Kwanza kuhusu misaada hii ,
Huwezi jibiwa
Ndio cha kushangaza. Huko KEnya kuna hali mbaya kuliko Tanzania ila anakuja kusaidia Tanzania. huyu lazima kuna kitu anatafuta Arusha, soon utasikia Oastor amepewa Ardhi Arusha ya kujenga Kanisa lake.
Paster Ezekiel barikiwa sana Kwa kutoa msaada Kwa watanzania waliokumbwa na mafuriko, ulipotoa Mwenyezi Mungu apazidishe. Karibuni sana kueneza neno la Mungu watu watoke kifungoni wamjue Mungu wa kweli na uzima.
Please pastar pray for me in my life. Please pastor help me
Ubarikiwe
RAS ZE JEMBE...Huyu baba anaonekana ana Hekima sana🎉🎉🎉
Ushuhuda wa huyu Baba Kenya unaogopesha kwetu Huku sijui itakuwaje MUNGU anaona.
ni kweli kabisa
Kuhusu nini
Tunakataa roho yoyote ya kumdhoofisha RC wetu Makonda kwa namna yoyote ile ktk Jina la YESU KRISTO. Na viongozi woote wadogo kwa wakubwa tkt Taifa letu Tanzanian Ameen.
Yaani😢. Mungu atusaidie!
Kama mtumishi wa Mungu anatetumika katika kweli ameamua mpaka kutoa sadaka unapaswa kusimama katika haki kama unaigiza Mungu atatoa kama unavyisitahili!
Waooo Ezekiel tunakupenda
God bless you pastor Ezekiel and proceed to increase you and your generation
Ubarikiwe sana Nabii wa Mungu🙏
Mungu wa Mbinguni akubariki Mtumishi wa Mungu aliye hai
Asante sana Pastor Ezekiel.
Yaaaani ni baraka tupu..makonda mbarikiwa..hongera kwa ugeni huo..ni wakati wake..God's Time is the best time
Mungu azidi kukuinua mtumishi wake
Barikiwa sana kuhani wa Bwana
MUNGU akubariki mnooo pastor
Mungu wa mbinguni akubariki sana pst Ezekiel
Mungu bariki Kenya. Mie nasemaga Kenya ni watu wema mnooo...yaani Mungu anapopitia nchi mbalibali Tunakuomba eh Mungu Mwenyezi Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo Ikumbuke Kenya Baba. wana mioyo yakipeke. mbona huyu baba asingeenda kwao kutoa lakni akaja kwetu. mmmh mie sinaga uwezo wakusema juu ya nchi hiii kwa kweli..
Be blessed pastor Ezekiel
Makonda be careful
Halafu Watanzania wenyewe wamekauka na pesa wanayo.
Safi sana
Amen
Makonda na kufunika na damu yesu
Haleluyaaaaa
This is real evanggelist,not stingy.
Mwamposa na wengine mmesikia mwezen anatoa kusaidia watu sio wakina kakobe na viongozi wengine mnachukua tu mmtoe pia na nyinyi na misikit pia hitoe
Anaacha kusaidia Wahanga wa Mafuriko Nchini kwake Kenya anakuja kusaidia wahanga wa Tanzania. I hope hakuna kitu anatafuta Arusha. Halahala Makonda na Ardhi ya Arusha sio ya kugawa kwa Wageni.
Good
Watanzania funguweni macho hasa viongozi msipokee kila misaada zingine nizakuaga miza watu
Huyu mtumishi ndiye. Nilikuwanikickia habar zake hakika dunia imeisha .Tukimbilie WAPI Eee MUNGU upate kutoepushia na upotoshwaji.
Katibu tawala anayo akili kubwa
Kumaninazenu wote munao sapoti shetani kuwapa pesa igekuwa mungu anabariki mtu kwa maombi yenu yakijinga hayo agembariki lakini kumbukeni mungu adaganywi huyo mtu wenu ni wamotoni2 etiii abarikiwe kwkutaka nyinyi tu hahah toeni ujiga wenu hapo sisi tuna macho matatu atudaganywi
Kwann alitolewa huyuuu?????
katibu unahekima ya haali yajuu utafika mbali
Mako
Uyu pastor ezekiel ni mchacha sana kuna kile anatafuta tanzania kama kiwacha cha kujenga kanisa huo ndio ukweli.
Hata atoe ngapi swali ni kwamba mbona kanisani kwake watu wanalipia maombi eti kwa kununua nyota?? Tanzania tuwe makini sana na huyu mtu
Kumbe!! Mm nilikua sijui
Uongo acha kuongelea mtu usiyemjua nani ananunua nyota nimefka mavuweni kwa pasta na Mimi ni mtz na hakuna kitu kama hicho na nilipeleka mgonjwa na alipona na hakuna uongo mtupu hakuna anahetozwa pesa hata Moja usiamini jambo bila kumfatilia mtu hata kwa utube nakataa sio kweli na hata Kenya anatoa misaada sana kwasababu waumini kanisani ni WA mataifa mbalimbali kwaiyo sadaka ni nyingi kanisa ni ekari 6 kwaiyo lazima atoe msaada kwa watu nashauri kabla hujamshutumu mtu mfatilie kwanza usisikie tu fanya utafiti mwenyewe pasta ni tajiri kwaiyo hiyo kwake ni pesa ya kawaida tu barikiwa 🙏
Sio kweli... Fuatilieni vizuri acheni kuhukumu..
Nabii mtukufu kwa bwana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mnambwembwe
Umesikia vibaya na umeondoa maana ya jina lake wewe ndio una mbwembwe, anaitwa Utukufu kwa Bwana sio mtukufu kwa Bwana, hivi hujawahi kusikia watu wanaitwa Godlove? N.k ? Au kwa kuwa ni jina la kiswahili, elimu inatusumbua
Eti pastor anahubiri Mungu amemuheshimu???
Soma maandiko 💉 Mungu anakuheshimu ukifanya kazi yake
@@user-lv8bt1ov6kkabisa
Mbona umetowa pesa kidogo sana wakati ww nitajiri 😊😊😊???
Zita liwa zote hizo pesa