Unajua kwann naipenda channel yako? Coz huweki tu recipe hivi hivi kuonesha tu viungo ulotumia. You enlighten every ingredient very well. This is something I rarely see in kiswahili recipes' videos. Hii inaonesha wazi kuwa umeelimika katika sector hii.
WaaleikumSalam dear shuna's kitchen, sikujua kama black eyed peas, ni kunde mm nimezoweya kunde nyekundu ambayo hua tunatpika uji ( porridge ) na bajia ahsante kw kunielimisha, Allah akupe hifadhi kw sadakatul jaria yako thanks once again dear
huku kwetu tunatumia nyekundu au tuseme brown any way ahsante kw kunujibu, na hilo jiko ni la electric na plate yake ni la coil ? na hiyo hand blender propeller yake ni ndogo? shukran
Hello, Asante kwa video. Swali ninayo... Nina Unga wa kunde... Ntaipika tu kama ulivyoonyesha au vingine. Pia nili jaribu kupika kabla ya kuona video yako n'a ikawa n'a aftertaste siku penda... Naweza fanyaje?
samahani naweza kuona hilo jiko lako bila kuweka kitu juu yake nataka kuona ni la aina gani na hiyo hand blender yako ni propeller yake ni ndogo au kubwa sorry just want to know sorry dear

Mashaallah asahnte umenifunza
Tamu sana Napenda mapishi yako Shukran sana Mungu Akubariki
Shemeji asante sana. Bagia tamu sana.
Masha Allah,shukran habibty
MaashaAllah
Ma Shaa Allah habbty simple n looks yummy
Maa sha Allah. I like it a lot
Mashaallah ❤
Umeelezea vizuri, hongera
asante kwa mapishi mazur mumngu akubarki
Maa Shaa Allah
Mashallah nzuri sana mapishiyako
Asante sana
Shukran habibty kwa kutufunza mapishi mazuri nimependa
Dada Asante Sana. I am your new Subscriber. Thank you very much for sharing your recipe. 👍
Thank you Shama :)
Mashaallah allah akubarik
nmepika nmeweza...thank youuuu😍😍😍
Asante, for sharing
Mashallah
waoo mashallah
Salàm alekum mashallaah napenda sàna bagia zako
Nice one
Hongera sana mwana mama kwa maelekezo mazuri yaliyo shiba
Napenda mapishi yako😋,,,Kama huna blender waeza tumia nini
Thanks
Mashaallah waooow looks so good🤗😋yummy
Asante for the recipe. Please andika ingredients kwa description. Not 100% on all the names of spices. 😅😅.
Munapo andika andika hivi (mbalimbali)
MAA SHA ALLAH
Shukran dear jazakallah khayran
Afwan dear
Mshallah 💝
WaaleikumSalam dear shuna's kitchen, sikujua kama black eyed peas, ni kunde mm nimezoweya kunde nyekundu ambayo hua tunatpika uji ( porridge ) na bajia ahsante kw kunielimisha, Allah akupe hifadhi kw sadakatul jaria yako thanks once again dear
Ameen my dear, asante sana. Hizi kunde ndio zinapikiwa baadia sana
huku kwetu tunatumia nyekundu au tuseme brown any way ahsante kw kunujibu, na hilo jiko ni la electric na plate yake ni la coil ? na hiyo hand blender propeller yake ni ndogo? shukran
Mmmh leo umechangamka sana mpishi wangu
MashaAllah Mambo ya Ramadan dear InshaAllah mungu atufikishe salama.. shukran 😘😋
Ameen yarabbi
Shkran jazeelan dear.
Bila ya unga zinakuwa nzr habebty
MashaAllah. Nzuri saaana😋 Shukran dear 🙌🏽👏🏼👌🏽👍🏼
Afwan habibty
samahan dada nlitaka kujua hayo majan ya giligilan n majan gan
Hello, Asante kwa video. Swali ninayo... Nina Unga wa kunde... Ntaipika tu kama ulivyoonyesha au vingine. Pia nili jaribu kupika kabla ya kuona video yako n'a ikawa n'a aftertaste siku penda... Naweza fanyaje?
Salam alekum mashaallàh
I'm a fan🙌 unavyoeleza mashallah😍😚
Asante sana dear
NIce mpenz napenda mapish yak kw kwl hongera
Mashallah nice
Asante sana
Allahumma baarik yaa ukhty
I love this huwaga naandaa tofauti lkn nitajaribu hii
Looks so good 😍
Shunas please nambie hichi chakusagia hizi kinde nakipata wapi my dear @shunas
U voice so beautifully...
Mashaallah
Mashallah very nice habibty 😋😋😋👌🏻
Thank you darling 😘
Ma shaa Allah 😋😋😋😋
Magamba unatoaje mpenzi ???
Nimefikicha kwa mkono
Oooh basi naona zangu ngumu sana nazifikicha ila bado hazijaisha magamba
MashaAllah...yummy
Its wow☺
Thank you :)
Mimi nimependa sana bhajia zako natamani kula wewe upike
Shukran habibt
lovely i will try them
Thank you dear, please let know how it goes 😉
Waaleikum Mslaam. Morning dear.....
Morning my dear
sasa jmn naombeni nisaidieni machine nitapata wapi yakusagia kunde? plz
Shukran habibty je hivyo viungo vyengine ni binzari nyembamba na pilipilimanga au?
Ndio, shukran dear
@@ShunasKitchen nitamusana Mashaallah Mungu akulinde akuzidishie na ujuzi Biidhinillah
Mashaallah zuri
mashallah mashallah hasbiyallah ndo mana napenda video zako short na clear
Asante sana my dear
Asante mamy.iyo hand blander inauzwa bei gani
Sorry dear nilinnua zaman sana Argos hata nikasahau bei yke
Wapi nitaipata
Je ' naweza saga kunde mashineni nitakatumia unga kuanda bagia???
Ja amira
What is the easiest way to separate the beans from the outer “skin”
Hazitiwi hamira?
Ww Msha Allah
Kwan haziekwi baking powder
waweza tumia kunde nyekundu?
Kumbe si lazima kuweka baking powder 👍👍
Sio lazima mimi nikiwa nayo naweka kama siko nayo siweki
Hayo maganda wayatoa na kitu gan kipenzi?
Sorry kwann mnakua hamueki carrot kwasbab kila recipe nnayo angalia y badia za kunde haina carrot
Hii hand blenda bei gani mpz na nitaipata wapi
Tuoneshe vp maganda umetowa
Which language is this
Hiyo handblender shilingi ngapi
mashallah... yam yam😋😋
Napenda sana allah akulipe
izo kunde awasagi mashine nataka nijalibu kupika
samahani naweza kuona hilo jiko lako bila kuweka kitu juu yake nataka kuona ni la aina gani na hiyo hand blender yako ni propeller yake ni ndogo au kubwa sorry just want to know sorry dear
Jaman mimi nahitaji kifaa cha kulainishia hizo kunde kwa ajili ya bagia
mamy niliangalia mspishi yako nikapenda nimejaribu lkn Brenda Yangu ni km yako mbona inabrend pole pole sana na inapata moto au nakosea wapi
Pole dear, labda ni blender yenyewe iko ivo
OK my nashukuru
Naomb niunge kweny group
😍😍😍
can i freeze them?
yes you can
@@ShunasKitchen Thank you dear, I'll try them out. Stay safe🤗
@@mimimalkia7378 Thank you dear, you too :)
انا رقم 13 man 3andi fatima zohra ntmna tchaj3oni tana fl9ana
Shukraan hbbty
umetoaje maganda?? naomba maelezo tafadhali
Mimi kila nikiroweka kunde haztok
Naomba jina la hicho kifaa ulichotumia kusagia plzz
Hand blender
Mbinzali ya mchuzi inaitwaje kwa kingereza
Turmeric powder 🙂
Hautiii hamira au baking powder
Unatoa magamba kwa kifaa gani
Nimetumia mikono, nimezifikisha kisha nikazichuja
Unaweza kutumia food processor inatoa magamba
Maa shaa Allah
Mashaallah