JINSI YAKUPIKA BAJIA ZA KUNDE NA PILIPILI YAKE TAMU SANA‼️
Вставка
- Опубліковано 21 бер 2023
- #ramadan #kenya #foodbloggers
Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies
Asante sana kwa kufika hapa ukitaka video za Biashara ya chakula Link⬇️
• BIASHARA
◼️Ukitaka snacks⬇️
• Eid Snacks
◼️Halfkeki za kila aina⬇️
• Halfkeki
◼️Vyakula vya kiswahili⬇️
• Ramadhan 2022
✅️ Ramadhan recipe 2021
• Ramadhan recipes 2021(...
Thanks for stopping by please Subscribe Road to 100K Subs💃💃
#roadto100K - Домашні улюбленці та дикі тварини
Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies
Asante sana kwa kufika hapa ukitaka video za Biashara ya chakula Link⬇️
ua-cam.com/play/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5.html
◼️Ukitaka snacks⬇️
ua-cam.com/play/PL0lMsQJd3yDD90kR30GpB_AyFVjkPPMuL.html
◼️Halfkeki za kila aina⬇️
ua-cam.com/play/PL0lMsQJd3yDBUDZIeZrA-DiOgliRi_uqo.html
◼️Vyakula vya kiswahili⬇️
ua-cam.com/play/PL0lMsQJd3yDD5fGLDOP9StrLovA03YLzz.html
✅️ Ramadhan recipe 2021
ua-cam.com/play/PL0lMsQJd3yDDeF-kRL1X226btzJdX_r0v.html
Mandazi ya Biashara
ua-cam.com/video/bxg8ivvisVc/v-deo.html
Thanks for stopping by please Subscribe Road to 100K Subs💃💃
#roadto100K
Shukran sana
shukran
Niko hapa 2024 Ramadhan, Ameen kwa dua na shukran sana kwa recipe. Allah akuhifadhi lovie
maashallah namie nataka hio food chop nipo zanzibar
Thanks for this teaching
Maa sha ALLAH nice recipe
Shukran dad
Ameen na wewe pia Ramadhan Karim Allah bless you
Masha Allah
Tabarakallah ❤️
Naitaji kujifunza
Maa sha ALLAH.
Tabarakallah
😋😋😋😋😋😋
❤
Allahuma ameen rabby allamina ❤😢😢😢😢
MashaAllah I love how you explain ur recipes in details
Thanks soo much darling ❤️
MashaaAllah shukran dear love it... Amiin 🤲
Afwan darling
Mashallah
Tabarakallah
Mashallah mamy ❤️❤️
Tabarakallah love
Maashallah
Tabarakallah
❤❤❤❤
Mashaallah shukran dear Kwa hii recipe
Karibu kipenzi
Maa shaa Allah nami nataka hiyo food chopa nitaipataje nipo Arusha Tanzania 🇹🇿
Yummy 😋 ya Ramadhani tamu
Sante dear
Masha'Allah... hapo kwa kupara ndo hunishinda
Oow Wow, finally Nmeipata Da Khadija unaloesha mdomo wangu, Naomba mualiko One day Nile hizo Inshallah
mashaAllah 😋 Ramadan Mubarak
Thanks My love Saum maqbool
Mashaallah napenda unajua elezea vzur dear nahitaj kujiunga na group lako
Asante mwaya Allah akubariki sana
Ameen my love shukran
Asante sana chef kwa recipe ya bagia na pilipili yani lazima iwe kwenye menu ya wateja wangu wa Ramadan, ntajaribu kuweka na ka ukwaju kwenye pilipili nione ilakavyo nteremshia wateja mate 🥰🙌🏼
Yeeees kila la kheri chef yaani hakika wataipenda haikuangushi hii all the best
Mashallah shukraaan sanaa kwa hiyo risipi.
Afwan love
Masha Allah nice receipe ya Bajia za kunde
Thanks kipenzi
Aa warahmatullahi wabarakatu mashaallah nmeipenda mapishi yako Mungu akuzidishie uzidi kutupa mapishi mazuri😘🥰
Mashaallah,,, Ramadhan Mubarak wa swaum maqbool❤
Shukran mpenzi
❤❤❤nice one dia I want to test this
Thanks dear
Mashallah co hii TU ni video zote naenjoy 🥰 alaf naelew balaaa
Nakupenda baby❤️❤️
Asante kwa recipe nzuri .. na vipi kwa upande wa paking powder
Karibu sieki baking love
JAZAKA ALLAHU KHAIRAN ❤ SHUKRAAN habibty ❤ Tamu Sana
Afwan love
Hongera sana Hadija. Nakupenda recipe zako zinaeleweka na mapishi matamu sana
Nimefurahi sana kipenzi enjoy
Asante sana niunge pia
Karibu love njoo insta najiita Didashebbs_Kitchen
Akiii sii I miss kenya 😢❤❤❤❤❤
Come sooon❤️❤️❤️
Amiinyn naitikia duwaa 🙏
Shukran my love
Bei gani mamy
Nzuri saana👌
Sana kipenzi
Thanks
Asalam alykum, Nahitaji kujiunga darasa la mapishi Da khadija 😊
Shukran kwa hiyo recipe kwanza hiyo pilipili ya maembe!!
Aww asante sana darling
Woow I learnt something new today, how to make bhajia za kunde na pilipili. 😊 I always love pilipili ya kukaanga but sasa naona nikijaribu hii pilipili yako. 🤗🤗
#EnrouteTo100KSubs. 🔥
Thanks soo mucge
Mashallah Nataka kujiunga kwa hiyo group ya telegram 🥰🥰
Asante sana mpenzi
Karibu sana love
Hongera sana nahitaji hizo chopa hadija
Maganda hayatoki wueeh
ukifanya bidii yanapungua
Asalam alykum nahitaji Chopa nitapataje
❤hatuweki amila yoyote
hatuweki
Wow mashaallah ❤❤❤
Asalam araykum mie naomba uniunge teregram
Asante kwa somo je unatumia blender ya kusagia matunda ya juice kusagia au kuna blender yake
Waoooh mashallah naomba uniunge kwenye group dear
nitext insta
Naona hakuna mtu anashangaa kunde ni nini kwa comments. I really really really love bhajias and the only place napatanga ni coast. Nieleze tu unanunua kunde wapi?🥺
Nanunua malindi babe
@@HadijaSheban Wow umenijibu,asante! Nimegoogle nimeona ni black eyed peas ...nitatengeneza bhajia soon sasa. Asanti sana
😂😂l think venye waona on video wamezijua
Hi, do you soak the cowpeas?
Naomba nambayako nijue mapishi
Mm huwa nakuelewa sana chef wetu hogera kwa kutupa recipe bila kutupimia asante kwako sana
Karibu sana ankooli haya wafanyie wenzako mambo
@@HadijaSheban ushasema mbn lazima
👋
Naitaji kujiunga na darasa la mapishi
Naitaji na hy choper
+254720581168 karibu
@@HadijaSheban shukran
Naomba namba
Niunganishe kwenye group la mapishi
Hvi umeparazaje hizo Kunde Uhkty Khadija?
MaashaAllah asante wajina🥰🥰
Karibu ❤️
Upike usiliangushe jina
Asalm alykum ntk kuulz ukipika kachor unawez kutia ndimu t n chumv na mvuje na badia unawez kutia kitunguu thom na tangawiz inawezekan
Looks yummy juzi nilitengeza, but hazikusagika vizuri, iwapo huna blender or processor waeza tumia nini zisagike vizuri? Na ukiziriweka usiku wote, asubuhi inafaa umwage maji na uzioshe tena ama nivipi?
kwa video nimeelezea kila kitu unafaa usioshe mpaka ziwe safi unaeza kutumia kinu hakikisha hazina maji ziwe kavu ponda kwenye kinu
Hatuweki baking ama yeast
Asante sana Kwa somo zuri nimeelewa. Napenda kujua hiyo chopper umenunua wapi na kiasi Cha shilingi ngapi?
Karibu love nimenunua 2000ksh
Asalam aleikum ..nataka hio choper niko mombasa
Waaleykhm mussalam warahmtullah wabarakatu 0720581168
Assalam alaykum, InshaAllah,Shukran Jzzzilla. CHOPPER being gani??
Waaleykhm mussalam 2000
Naitaji hiyo chopa
Uko wapi
Kitaka laki 5 ada ni sh.ngapi?
Niunge kwa group la mapish dear pls
Class au
MashaAllah. Hadija na mimi nataka hio chopper plz
Uko wapi ndio njue ntakuuliziaje
Niko kwale, ukunda
Chopper unauzaje mpenzi.
MashaAllah nice recipe,hio machine tunaipata wapi?
Love hio nilinunua town sijui uko wapi
Aslam aleykum
waaalykhm mussalam
Hiyo chopa ni sh ngapi
2000
Mommy
Shukran sana. Chopy wauzaje
Mimi nataka hio chopper
Uko wap
Tunashukuru for free cooking class
Karibu sana
Maashallah hiyo choper nzuri naitaka nitaepata wapi?
Niko machakos
Machakos sijui love but tafuta hizi shops za masokoni utapata
Aslm aleikom... Shukran kwa mapishi yako... Grinder Kuna design hio ama Kuna zile bakuli yake ya steel
Karibu zote naona nisame
Recipe yako nzuri na simple sana I must try..sasa basi chopper umenunua wapi na hio blender mimi niko Nairobi..
Chopper nilibuy kamukunji my love
Dida, ni kunde za white au za red?
Nahitaji hicho cha kusagia
Napenda kujifunza naomba namba zako
Mi naitaji chopa napataje
uko wap
Niunge kweny gruop la mapishii
Mimi huwa naadd 1tsp of baking powder halaf naacha ziumuke kidogo zinaumuka kidogi zinatoka nzuri mnooo😋😋😋😋😋😋😋
Wah hio sijawai fanya nitajaribu na kidogo nione
Jaribu kipenzi ni soo yummy😍😍😍😍
Naomba darasa lako
Karibu njoo instargram Didashebbs_Kitchen
Chopper wauzaje
Nlibuy 2000
Hellow lovie,izo kunde zilizobalazwa zinaptikana sokon???au nazibalaza vip
Nilinunua zikiwa hivo babes
Birthday Yako lini
May
Nahitaji mie hicho cha kusagia bei gani
I use white cheak peas and its. Always mushy coz i don't have black eye cow peas please help
I will try yours one day then let you know how it goees
Naitwa Joyce nipo dodoma nahitaji chopa.
Kwahuko mcheki vyombo centre
Unaloweka kwa mda gan?
Mpaka zifure mara mbili yake
Jmni mm naomba kuuliza hiyo dania ndonini hain jina jingine
Gilgilani
Dania Kwa kiswail ni giligilan
Huweki baking powder?
Sijataja kipenzi
Mie naitaka iyo machine ya kusagia
Inauzwa dear mpaka supermarket pia
Niuzie chopper
Uko wapi nkuulizie
Hi dear nimependa mapishi yako hiyo grider unaiuzaje
Hi asnate sana 2200
Tafadhali Khadija nnahitajia hiyo chopper .
Tafadhali nijulishe bei na nitakuagizia pa kuipekeka na malipo yako
uko wapi?