SHILINGI Ep 162

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Subscribe kufuatilia tamthilia ya Shilingi kuanzia Mwanzo hadi Mwisho katika Channel hii.
    Comment kutuambia unachofikiria.
    Share na wenziyo wajue tuanze mwendo Episode zaidi ya moja kwa siku
    Like kuonyesha Love
    Mazuri mengi yanakuja Soon

КОМЕНТАРІ • 481

  • @JonathanLugna
    @JonathanLugna Рік тому +33

    Hapa nawapongeza kwani filamu nyingi za mapacha huwa zinatatanisha pale tunapotaka kuwaona mapacha wote wawili japo kiuhalisia ni mtu mmoja nawapongeza sana jinsi mlivyo tukutanishia dev&maiko
    Ubunifu wa hali ya juu
    Nangoja kuona mwisho utakuwaje
    Hongera kwa mwandishi
    Hongera kwa wahusika wengi wamejitahidi kuvaa uhusika kwelikweli
    Hongera kwa mwongozaji
    Hongera kwa mama dev duuuh kama mama mtu mzima sana kumbeeee
    Nimeipenda

    • @KhalidiAlly
      @KhalidiAlly Рік тому +1

      Duuuuu Devid anatia huluma sn yan

    • @KhalidiAlly
      @KhalidiAlly Рік тому +1

      Duuuuuu hiiii mov nitamu San nimeikubal

    • @tuyajengeyaishe-vq5pq
      @tuyajengeyaishe-vq5pq Рік тому +1

      Ndo maan huwa sipatani nawatu wenye vichwa vya nvilingo namacho yasijo tulia kama binam yake na madam daaah sjui wanamwita jovin yaan ingekuwa kwel alitakiwa kumpeleka kwamandonga akatwangwe ngumi

    • @habibuabuu9609
      @habibuabuu9609 Рік тому

      Wamejuwa kuigiza sijui nomadebe kiufupi madebe anajuwa

    • @fatumamwayawe7598
      @fatumamwayawe7598 Рік тому

      Hongera zao kwa sana I say nawasalute ❤❤❤

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Рік тому +23

    Afadhali leyo nimekuwa wa 14 sijawahi kupata namba kama hizii daa mungu awabariki sana naipenda sana shilingi mba mapacha wasifee jaman tunaomba maana wawo ndiyo wanaotufanya tuipende hii shilingi❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯💯💯

    • @edwinmakhumi4893
      @edwinmakhumi4893 Рік тому

      ss kutakuwa aje tena

    • @aligalogalo3260
      @aligalogalo3260 Рік тому

      True mapacha hao mmoja akifa basi kwangu hii siries haina maana kwangu

    • @jamesmark305
      @jamesmark305 11 місяців тому

      Imenufanya nijifunze mengi sana kutokuamini kila mtu wa bara barani

  • @Uwamahoro-fefe.15
    @Uwamahoro-fefe.15 Рік тому +51

    DJ hongera sana,Ila Nina swali kwa DJ wetu kipenzi ivi ni kwanini shilingi unaipeleka pole pole uku ukitoa movie zingine ?tumalizie kwanza shilingi Sisi ni mashabiki zako hata shilingi ikiisha ulipo tupo tutaendelea kuku support

    • @mankaminja683
      @mankaminja683 Рік тому +4

      Yaani kwa kweli bora atoe moja moja maana hatuwezi kuangalia zote kwa pamoja....bora tupeleke speed tukimaliza hii tuanze nyingine..au vipi familia ya Dj

    • @user-fy4op1sw2f
      @user-fy4op1sw2f Рік тому

      Meambie Mwambie 🎉🎉🎉🎉

    • @maryamomar9094
      @maryamomar9094 Рік тому

      Kwel kabis usicheleweshe dj

    • @edwinmakhumi4893
      @edwinmakhumi4893 Рік тому +2

      dj tumengonjea episode 163:164:165 and 166

    • @abdallaabdalla6824
      @abdallaabdalla6824 Рік тому

      Tunasubir muendelezo

  • @Eliacytz
    @Eliacytz Рік тому +21

    Happy happy happy Kwa dj roma like moj kwake

    • @livenkinoti739
      @livenkinoti739 Рік тому

      Happy birthday to you 🎂

    • @AureliaMbenya-zy8kk
      @AureliaMbenya-zy8kk Рік тому

      ​@@livenkinoti739😂😂😂😂😂😂😂birthday tena🎉😂😅😅😅

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh Рік тому +15

    Nimelia na Dev aki 😢😢😢 huyu dogo musije muwacha kwenye movie zenu❤

    • @jamesmark305
      @jamesmark305 11 місяців тому

      Yaani nimeumia sana mpka machozu yamenitoka

  • @musamnaunda4136
    @musamnaunda4136 Рік тому +16

    Hii ndio the best series hapa bongo 🔥🔥

  • @aswaneliphas2271
    @aswaneliphas2271 Рік тому +13

    OG nembo wa mtaa from Kenya 👍mie wa tano apa nipeni like zangu 😆😆

    • @mariamalt5964
      @mariamalt5964 Рік тому

      ww upewe like kama Nani? like ziende kwa dj Roma msi tusumbue mnao omba like tupunzisheni bana

    • @jechoniahcedrics4645
      @jechoniahcedrics4645 Рік тому

      @@mariamalt5964 ww una bifu sasa kina kaligraph na hao wasanii wa kwenu umelibeba ww

  • @mufdatabdallah7341
    @mufdatabdallah7341 Рік тому +10

    Kaka Roma kwa ajili ya shilingi nimekundaaa bureee😂😂😂😂 naangalia shilingi kutoka Rwanda 🎉

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي Рік тому +9

    Onyo hakuna kuomba like sasa hivi tuna majonzi wote tuliokuwa tunatamani hii familia ikutane waomba like hatutoi tutalike kwa dj tu

    • @uytfjhii2138
      @uytfjhii2138 Рік тому

      Wanachosha na likes

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي Рік тому

      @@uytfjhii2138 tena wanakera wanaoba like huenda wao hawa like kwa dj wenzao tuna majonzi

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي Рік тому

      @@uytfjhii2138 wenzao tunasubiri episode ya 163 naisaka nimuone mama wawili kaamka na je Pamela atafanikiwa kuja hospital natamani afike

  • @user-vw7kw2vn7h
    @user-vw7kw2vn7h Рік тому +5

    Haya leo kifungua mimba mm, wengine wote wadogo zangu, anaepinga mguu juu🎉🎉🎉🎉

  • @kariojafari4185
    @kariojafari4185 Рік тому +6

    Kiukweli junior na beni siwapendi kabisaàaaa

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 Рік тому +5

    Niyakiindi hasa hiiii shilingi ❤❤❤❤ fabrizo usitulie David wetu❤❤❤

  • @lilianotieno5816
    @lilianotieno5816 Рік тому +8

    Shilingi jameni 🔥🔥🔥 from kenya 🇰🇪

    • @giftmtemle6812
      @giftmtemle6812 Рік тому

      Mambo vipi uko Kenya wanasemaje ase nilikuwa natamani Sana kupata rafiki toka Kenya vipi inawezekana

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 Рік тому +5

    Jmn Alice mh ukiwa na pesa Shida ukiwa maskini Tabu😢😢 shilingi kiboko asante dj🥰

  • @ancillarneema
    @ancillarneema Рік тому +6

    Hawa watu wanao hangaisha famili ya Alice aky walaniwe ❤❤❤❤😂😂😂

  • @jamesmutali4356
    @jamesmutali4356 3 місяці тому +1

    mie nasema 2 timu nzima hongera sana kila mtu amecheza part yake vilivyo ila nmesoma kitu kimoja n kitu kibaya sana bindi kuwa mrembo pekee ake kijijini angalia anavyoteseka ednah kila mwanaume anarusha huko uoga

  • @mahsenali8668
    @mahsenali8668 Рік тому +6

    Walai David amepitia wakati mgumu ,hajui alilie mum ama bro ,inauma xna 😭😭 Mombasa kenya

  • @fatumamwayawe7598
    @fatumamwayawe7598 Рік тому +3

    Dj wetu mm cna chakukulipa ila Mungu pekee .. aah asante kwakutufurahisha❤❤❤❤.... Mungu akueke InshaAllah 🤲🥰

  • @hamismustafahalfansuleiman5799

    Shilingi inatufanya 2sizime data simzetu Msumbiji 🇲🇿 tunaisubili Sana Shilingi

  • @kallandoking6561
    @kallandoking6561 3 місяці тому +1

    tunaomba mwendelezo jamani na hatutaki mapacha wapotee na madebe arudi kutafuta gani kwa hivo mmmmmmmh!!!

  • @nemahk2361
    @nemahk2361 4 місяці тому +1

    Wah hadi machozi yamenitoka

  • @CatherineChitema
    @CatherineChitema 3 місяці тому +1

    Duh hii movie imeniliza sana

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml Рік тому +1

    Mapacha na sajo ibra na gutale jamen musiwaache kwa tamthilia yoyote ila hongeren nyote mliousika kwa kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤

    • @abumoyo840
      @abumoyo840 Рік тому

      Mbona umemsahau chumaa 😂😂😂😂

    • @user-ii3rb6uj7g
      @user-ii3rb6uj7g 3 місяці тому

      Mm sitak chuma labda ngokwe

  • @zuberhamza7852
    @zuberhamza7852 4 місяці тому +1

    Wema punguza mapepe 😂😂
    Sbir umuone Devi waukweli si utamkumbatia utajua ndio Huyo maico wako😂😂

  • @QbaBoy-ew7fc
    @QbaBoy-ew7fc Рік тому +2

    Vizr Sana dev.umeitendea haki nafasi yako

  • @ngalakirao1881
    @ngalakirao1881 Рік тому +3

    Leo namimi pia nimewai nipeni like zenu

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 Рік тому +3

    Mungu akusimamie sana washilika katika kazi zenu amana mbambaaaa

  • @GubraCity-dm5sx
    @GubraCity-dm5sx Рік тому +6

    Junior simpendi😢 alina ata msaada

  • @radhiamohaa3723
    @radhiamohaa3723 Рік тому +6

    Junior simpendi cha ukweli 😢😢😢😢

  • @SiviriSuisse-yz2sp
    @SiviriSuisse-yz2sp 3 місяці тому

    Aaa dj tunasema aksante sana kwa I kazi nzuri mpaka support tunakupa, keep it up

  • @AishaMunga-wn3pd
    @AishaMunga-wn3pd Рік тому +5

    Alice amka uwaone wanayo😭😭jamani hii shilingi hata ikiisha kila mtu atakua amejifunza kitu❤❤❤

    • @jamesmark305
      @jamesmark305 11 місяців тому

      Ndo kama mimi nimejifunz mengi sanaa

  • @FabriceKatembo
    @FabriceKatembo Рік тому +1

    Kwakweli ndoto yangu kwa sasa ni shilingi n'a wapenda sana wachezazi wa chilingi hote kwa jumla ❤👍🏿

  • @daudi.luhende04
    @daudi.luhende04 Рік тому

    Ase saiv shilingi sielew ko vipabde viwili tu sku nzima lakin moyo mbon inatumwa sana kinachofanyika hat sielew kabisa unaacha muda ili ukute kidg zmetumwa nyng lakin unakutana na mbili kwel jaman

  • @salafinatanzani2813
    @salafinatanzani2813 Рік тому +6

    Mashaallah bora imefika maan muda wote unschunguliaa kama wameweka jaman 😊😊😊😂😂🎉

  • @Smart7-b5e
    @Smart7-b5e Рік тому +3

    Mungu ailinde hiyo familia DJ please yasiende vile wanapanga aki🙏🙏🙏

  • @hamismustafahalfansuleiman5799

    Nimependa sana ujasiri wa Michael 🇲🇿

  • @katotopesaofficial
    @katotopesaofficial Рік тому +2

    David Linalia Lia Sanaaa 😂 Eti mama Sajo Mama 😂😂

  • @goldwenga6176
    @goldwenga6176 3 місяці тому +1

    Shilingi hapa ndo ilipo ishia ama kuna mwendelezo maana imeshakua muda sana na hatuoni part 163

  • @mosammo7724
    @mosammo7724 Рік тому

    Pole devd fura imetoeka

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 Рік тому

    Dj shilingi imeisha

  • @user-lp1ok2rs3e
    @user-lp1ok2rs3e Рік тому

    Shilingi nmegojea adi sai na haijamalizika

  • @NeemaHashim-c2p
    @NeemaHashim-c2p Рік тому +3

    Dj haya mambo ndo mazur yan nilikuwa niko apa yoube nazungukaxungukaa2😂😂😂😂kusubil shiling

  • @AbdulikarimuKaidi
    @AbdulikarimuKaidi Рік тому +2

    Tuendelee na shilingii kaka❤❤

  • @user-vw7kw2vn7h
    @user-vw7kw2vn7h Рік тому +2

    Eh mm leooo wa kwanzaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤, nani aseme kitu

  • @magrethlubimbi4055
    @magrethlubimbi4055 Рік тому

    Naipenda sana shilingi nawapongeza sana maana inamaudhui makubwa sana ukweli nimeipenda.,,mm Kama mshabik wenu naumia sana mnapoleta kidgkidg.mjitahid basi

  • @JustinLuhanda
    @JustinLuhanda 3 місяці тому +1

    Apa wameniliza

  • @najmajoneke-sk7ld
    @najmajoneke-sk7ld Рік тому

    Devid devid Umejua kuniliza leo Una Kipaji sana Kakaangu Hongera sana Mwamba

  • @JosephkatanaJosephkatana-es3xw
    @JosephkatanaJosephkatana-es3xw 5 місяців тому

    Mbona hammalizii hii series ya shilling jamen nko kenya

  • @fredyshomari
    @fredyshomari Місяць тому

    Shida mnatuchanganya kwanini mnatoa moja badaa,ya siku nyingi

  • @user-kt5jp7ym8h
    @user-kt5jp7ym8h 3 місяці тому

    Kadiri filamu inapoende ndio inazidi kua mbovu, mumeanza vizuri Ila kwasasa ni upuuzi mtupu malizeni upumbavu wenu

  • @kufulanikufulanibacar-uj4tf

    Jamani mpakarini shilingi

  • @SophieTsui-p9g
    @SophieTsui-p9g Рік тому +2

    Shilingi inamfanya tajiri kuwa maskini na maskini kuwa tajiri, (SHILINGI)

  • @niyonkuruismail5288
    @niyonkuruismail5288 Рік тому

    roma huna adui,yaani umetisha furaha tel kwenye tamthilia hii ongera baba.kingine huu adui wa mapacha msiharibu movie akafa yeyote katika hii tamthiliaaa

  • @BabaRittatz
    @BabaRittatz Рік тому

    Nawaza sijui kibena ataletwa hospital na boss wake kama alivomuahidi kaka ake kwamba atampitisha kazin kwake vp kama atawaona dev na maiko au ndoo ataewasaidia kuondokana na hyo mitihani vp edna anakuja mjin vp kama atawaona dev na maiko itakuwaje vp shangaz nae atakuja mjin duu nawaaaaza nawaaaaaza nawaaza tuuu

  • @UweisAlly
    @UweisAlly Рік тому

    Shilingi Leo mbn inasuasua

  • @lydiahnyamokami5058
    @lydiahnyamokami5058 Рік тому +1

    Mngu aline hiyo familia Alice David be strong kwanza Julia afukuswe hos ❤

  • @daudi.luhende04
    @daudi.luhende04 Рік тому

    Shling anaipeleka slow sana kama inaelekea mwshoni si utume tu kama kawaid tuimalze tuendlee na zngne sas unavoipeleka slow ivo aaah

  • @twahajumma3549
    @twahajumma3549 Рік тому

    Kaka ❤vp mambo vp tena leo shilling tunaisubiri kwa hamu uhongo huo ❤

  • @FrancisSameri-ny8lf
    @FrancisSameri-ny8lf Рік тому

    Kilicho endelea nikipi. natamani tuendelee

  • @mauwabanda2746
    @mauwabanda2746 Рік тому

    Jamn shiringi mbona kimya tena kha dj loma rete mambo bhana

  • @ashaabedi7343
    @ashaabedi7343 Рік тому +7

    Namchukiya sana junior katili kama mama ake😢😢

  • @DizelaChalale-zy2rg
    @DizelaChalale-zy2rg Рік тому

    Shilingi kwann mnatufanyia hvo leo mwendelezo hamleti kwann lkn

  • @user-mh1wv9mu1p
    @user-mh1wv9mu1p 3 місяці тому

    Ipo vizuri sana

  • @lenakassian-pr3dy
    @lenakassian-pr3dy Рік тому +4

    Maake kwanza nncheke😂😂😂😂😂😂 aya waomba like mmeenda wapi......? Dj sikutaji

  • @saifullahalimas3002
    @saifullahalimas3002 Рік тому +4

    Like nyingi kwa Roma brand 👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Рік тому +1

    Kuigiza Alice hajui kabisa mfundishen anaangaika tu

  • @NasmaSemwaza-gw3ex
    @NasmaSemwaza-gw3ex Рік тому

    Dj unatuangusha mbn unatutumia moj moj alfu inaishia kweny streess unatufanya tunkosa aman tupe muendlezo tuwe n amani🥲

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 Рік тому +4

    Junior kumbe ni katili kama mamayake 😂😂😂😂

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي Рік тому

      Naomba hiyo hospital iwe na camera 📸📸 imnase Junior hayo maneno yake ili askar wapate ushahid

    • @tajilimtoto5009
      @tajilimtoto5009 Рік тому +1

      Mtoto wanyau awezi kuwa kenge

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي Рік тому

      @@tajilimtoto5009 umeona eee yaani mama yake alimteka David lakini aliwaambia sitaki adhurike lakin Junior hatari kaumia kwanini hakupigwa David

  • @FlancinaJohnson
    @FlancinaJohnson Рік тому

    Duuuuuuh hii nihatal jmn namuonea huruma Dev wetyu

  • @WILFREDKIRONSO
    @WILFREDKIRONSO Рік тому +5

    Lovely ❤❤❤

    • @azizially557
      @azizially557 Рік тому

      Huyu mjinga anaetaka kupewa kazi ya kumua devid ni hatari sijui nani atawalinda

  • @BlessedRiziki
    @BlessedRiziki 11 місяців тому

    Tunaomba hyo final episode jamani msisahau hivo, congratulations sajo bt pia mumetuacha kwa dilema saana
    From kenya , Tz your the best it's really amazing

  • @fikirinimahamudu6488
    @fikirinimahamudu6488 Рік тому +1

    Yap hapo sawa ila najua ikiisha nitatamani ifuatayo nyie rusheni tu watazamaii tupo

    • @HamisiKite-gm9vl
      @HamisiKite-gm9vl Рік тому

      I appreciate it dj continue to send this .shilingi

  • @rehemamathew5790
    @rehemamathew5790 Рік тому

    Ngj tuone km itamaliziwa😅😅😅maana waliishiaga epsode izi izi

  • @ClauraMutheu
    @ClauraMutheu 3 місяці тому

    Hivi bona shillingi yapelekwa polepole au imekwisha

  • @sbtechnology9769
    @sbtechnology9769 3 місяці тому

    Kiukweri mumenikosha sana kwa hi flm

  • @HadijaSelemani-f8i
    @HadijaSelemani-f8i 4 місяці тому

    Maa Sha Allha.

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Рік тому +1

    Nimefurahi kuona mama na mtto wote wanakabiliana na kifo/kifungo kirefu wamwache Alex na wtto wake wajifarague km watamchukua na shangazi wa kjjni waishi nae au wamjengee yake kjjni/mjini astarehe.

  • @tatualmasi4399
    @tatualmasi4399 Рік тому +2

    Yani katika maisha unaweza ukafikiri aduwi yako ni mtu WA mbali kumbe aduwi yako ni mtu wakaribu yako tena ndugu WA karibu. Aise Dunia hiyi.

  • @mwijaangao3316
    @mwijaangao3316 Рік тому

    Muendelezo tunaomba big boss

  • @OmaryIssa-yc9lu
    @OmaryIssa-yc9lu Рік тому

    DJ hongera sana

  • @Clareindusa-qp5gc
    @Clareindusa-qp5gc Рік тому

    Leo shili gi imenitoa machozi david kukabiliwa na matatizo mengi but mungu atakuacha kamwe and you junior as mother as son kumbe ww ni katili ivo

  • @halemamoon1782
    @halemamoon1782 Рік тому

    Kumbe sio tu waarabu wenye madevu ndo wana roho ata wa Africa pia

  • @nailaty
    @nailaty Рік тому +1

    Mungu walinde devid na maico wawe salama🤲

  • @AbdulKigoda
    @AbdulKigoda Рік тому

    Yan mi mmoja wapo

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 5 місяців тому

    Nimelia sana na devi

  • @user-oq8vk8hf1m
    @user-oq8vk8hf1m Рік тому

    Qwn shilingi ndo iliisha hvoo

  • @SaideIssasumailSumail
    @SaideIssasumailSumail 10 місяців тому

    Alisi anastairi kupewa tunzo ya mama Bora

  • @amanchuphichuphi4725
    @amanchuphichuphi4725 Рік тому +2

    Naipenda Sana shillingi

  • @allahkareem9111
    @allahkareem9111 Рік тому +1

    Junior unafanya ukatili kisa mali😢😢😢 km mali si chukuwa tu waache watu waish kwa amani junior utalia baadae ww na huyo mwanga mwenzio😢😢😢

  • @JuliusChamriho
    @JuliusChamriho Місяць тому

    Mbna hamna mwendelezo

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Рік тому +1

    Wema kichaa ningekua mimi sajo ningemrapua makof ya maana akili imkae sawa sawa

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 Рік тому

    Junior ww ni mbaya sana

  • @najmakhamis1898
    @najmakhamis1898 Рік тому

    Dj tuendelezee shilingi watu tusha boeka kusema kweli 😅

  • @adrianmalangu5422
    @adrianmalangu5422 Рік тому +2

    Dj ungekuwa unatupa ata episode 3 unapumzika baada ya masaa kadhaa unatupia tena

  • @BiisheBugao
    @BiisheBugao Рік тому +1

    Hii series atakma n acting lkn munakera kiupande mwengine...sasa ayo mauaji yametokea wapi JAMANI mnaniboree sanaa...movie n nzuri lkn mnaniudhii... SIJAPENDAAaa kabisaa...si muachee mauwaji movie iishe vizurii...

  • @user-cq7hm4tw1e
    @user-cq7hm4tw1e 11 місяців тому

    Mgogo class

  • @veronicasaid6723
    @veronicasaid6723 Рік тому +1

    Napenda hata baba Yao wangelimupata

    • @uytfjhii2138
      @uytfjhii2138 Рік тому

      Hivi karibuni atapatikana na nitajiri pia

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol Рік тому

    Nyoka ww pamoja na mwano feki.pubavu zenu ww Ben nakuchuki San joi

  • @denisdelarue2751
    @denisdelarue2751 Рік тому +1

    HIO mikosi yote inapo tokea namulaumu Davy ndio cha haya yoote yeyee amesoma ako na akili alishindwa vipi kurudi nyumbani kumuelezea mama kua amepata pacha wake ndio akaamua kumuita kichakani mtu miaka 25 amekua anafaa kutumia akili hii na iwe funzo kwa wengine

  • @JonasFranciscoAfonso
    @JonasFranciscoAfonso 3 місяці тому

    Nimelia yni duuuh