"BENDERA SERIES"Episode No 1 Starling Tinwhite Skola Dagobert Abdul Zinduna

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 290

  • @humphreynduye6239
    @humphreynduye6239 Рік тому +107

    wao ,,,sasa tunahamia bendera ,,,,tuliotoka kw fagio like jamn hta mbili2

  • @revocatus5627
    @revocatus5627 Рік тому +29

    Wakwanza leo kwenye bandera naomben likes bas mashabek wote wa tinn na timu yake yote

  • @najmasheban2381
    @najmasheban2381 Рік тому +12

    Leo wamwisho ila kazi nzuri sana wapi like za #BENDERA_na_team_ya_white_filim

  • @GracieTyno
    @GracieTyno Рік тому +11

    Scola anaweza sana,abdul na queen ni pipa na mfuniko hahaha!!.i love y'll.

  • @majaliwa3979
    @majaliwa3979 Рік тому +93

    Mimi wakwanza kwenye hii naombeni like zangu

  • @isaacamani145
    @isaacamani145 Рік тому +36

    Love from coast Kenya 🇰🇪

  • @mwanaomary3034
    @mwanaomary3034 Рік тому +13

    Duuh umbea kazi yakujitolea Haina mshahara😂😂😂 Mwanzo tuu ni 🔥🔥🔥

  • @salmasalum9946
    @salmasalum9946 Рік тому +3

    Nataman na mm ningekuwa na kipaji cha uigizaji ningeomba kujiunga na white film jmn 😍😍😍😍😍😍nawapenda sana

  • @faikenyangal254
    @faikenyangal254 Рік тому +3

    Nawapend bureee jmn hamchelewi kutoa movie mpya ila kiduchu n nagwaa wasikosekan jmn one lov from Kenya 🇰🇪💖

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 Рік тому +15

    Oyoooooooooo
    Mambo c hayo bhn 😂
    Inatoka FAGIO inakuja BENDERA 🤣🤣

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 Рік тому +31

    Amkeni jamani kabla ya wale wa nguvu za kiume awajacomment 😂😂😂😂
    One love from Mozambique 🇲🇿🇲🇿

  • @Fununu933
    @Fununu933 Рік тому +14

    Bendera oyeeeeee tujuane jamani Team Bendera kwa like 😄😄🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 Рік тому +6

    Zinduna"" dada mzuri sana.
    Bendera ✔✔🇹🇿🇹🇿.

  • @emmanuelibrahim4556
    @emmanuelibrahim4556 Рік тому +5

    Wanafagio tuhamie huku ,mzigo mwingine umetua✅

  • @chrissy766
    @chrissy766 Рік тому +7

    weka likes zenu kama series hii umeipenda first to view 29 seconds

  • @zoozzoz9879
    @zoozzoz9879 Рік тому +3

    Huku bendera,kwa mkojani Mbambamba aaah mko kutuburudisha

  • @raphaeltanzania
    @raphaeltanzania Рік тому +2

    Nakubali sana kazi nzuri kutoka kwenu white film

  • @japharjuma3540
    @japharjuma3540 Рік тому +9

    DUH WATU WAPO MAKINI HONGERENI KAMA MMENIONA NA MM NIMEWAHI NIPENI LIKE

  • @tamemahmad9902
    @tamemahmad9902 Рік тому +10

    Team strong hamujamaliza kupika asha. Kitu tayar huku 🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @sheilaneema
    @sheilaneema Рік тому +7

    Following from 🇰🇪🇰🇪 much love guys

  • @hadjrahkhalfan3584
    @hadjrahkhalfan3584 Рік тому +3

    Tumemaliz kufagiaa sas tuna benderaaa leteni like zenu hukuu😅 wew baba chiduo na mkeo noomaaaa saana hhhhhhh

  • @twahaanyoni9120
    @twahaanyoni9120 Рік тому +4

    Wa kwnza leo like kwangu tumesha mlz fagio tupo na bender

  • @Uakika_tv_online
    @Uakika_tv_online Рік тому +4

    Nakubali moves nzur hd inavutia kila aina endeleen kupiga kz sis tutaelea kusapot kula siku ila kikubwa tuombeane to 🙏🙏🙏

  • @paulwilliam6053
    @paulwilliam6053 Рік тому +3

    Semeni na hapo sijachelewa sana wa pili Mimi naombeni like zangu jamani

  • @maryamhussein3132
    @maryamhussein3132 Рік тому +3

    😆😆😆mi nawakubali Sana Ila Leo Abdul umeua😁

  • @Igweezysirleem
    @Igweezysirleem Рік тому +2

    Wa kwanza ku' comment wapi likes zangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @harrisonhamisi9971
    @harrisonhamisi9971 Рік тому +4

    Nzuri sana bendera isonge kwani iko NINI🔥🇰🇪

  • @harunimaiga8633
    @harunimaiga8633 Рік тому +1

    Tunaanza upyaaaa,nasemaje nasemaje,,white film kaz nzuri

  • @jmedia8967
    @jmedia8967 Рік тому +3

    dha wakwanza leo , utapita bila kulike hapa😄😄😄😄

  • @mahsenabudizamzamzamzam5257
    @mahsenabudizamzamzamzam5257 Рік тому +5

    Mm wa mwisho kila moja wa kwanza 🇰🇪😅😅

  • @mariamhasunga3585
    @mariamhasunga3585 Рік тому +9

    Wa ishirin jaman like zangu bac😥

  • @dnx_Gr
    @dnx_Gr Рік тому +9

    Kumekucha sasa🔥🔥

  • @mohamedmwambeni4695
    @mohamedmwambeni4695 Рік тому +5

    love tin white na series zako

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 Рік тому +2

    Aliyekuwa anammis scola like zake jaman💪💪💪💪💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @geraldndosi2083
    @geraldndosi2083 Рік тому +4

    Baada ya fagio tunachanja mbuga na bendera 🏁🏴🏳️sasa
    Finya like kama tutakuwa pamoja mwanzo mwenga

  • @denisimateru4709
    @denisimateru4709 Рік тому +10

    Thini white
    Big up brother
    💪✔️☝️🔥💯

  • @ammyammy8926
    @ammyammy8926 Рік тому +4

    Nakujua ww tukienda nyumban..Jua kaliii🤣🤣🤣🤣❤🙌

  • @yusterchesco8818
    @yusterchesco8818 Рік тому +3

    Hongera kwangu Leo nimebahatika kuwa wa 324👏👏

  • @blackice4568
    @blackice4568 Рік тому +6

    Love this series 🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🔝

  • @rajabjuma1450
    @rajabjuma1450 Рік тому +1

    Waooh me wakwanza kulike natata wengne sasa tumehamia Bendera kutoka Fagio

  • @alphamwasakyen7696
    @alphamwasakyen7696 Рік тому +7

    #WHITEFILS
    #BENDERA
    Kazi nzuri tutakua pamoja naomba like

  • @rehemarobart7920
    @rehemarobart7920 Рік тому +2

    Teen white nakukubali sana 😄😄😄😄❤️❤️❤️

  • @chieframadhani4976
    @chieframadhani4976 Рік тому

    Nakubali wazee kwa move namkumbuka kibonge mayele namwomba jina lile liendelee

  • @justinemussa2495
    @justinemussa2495 Рік тому +3

    Mapema Sana nimeipata

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 Рік тому +2

    Kazi juu ya kazi thanks you team white 😊

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili Рік тому +1

    Unyama ni mwingi sana

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 Рік тому +2

    Mama Chido na baba Chido 😂😂😂😂😂😂 twende kazi sasa "benderaaa"

  • @gayanestory4357
    @gayanestory4357 Рік тому +3

    Father Chiduu na Mother Chiduu ,,, aaah mmeuuwaaaa💯❤️

  • @teilamchomvu5452
    @teilamchomvu5452 Рік тому +5

    Queen unanipa raha❤️💯

  • @ramaali7511
    @ramaali7511 Рік тому +2

    Kazi nzur tinwhite

  • @biniwackmussa2104
    @biniwackmussa2104 Рік тому +4

    Watu hamtok online jmn🤣🤣but mewah

  • @mohamedmwambeni4695
    @mohamedmwambeni4695 Рік тому +2

    mungu akupe ujasr man tin

  • @josephatwesonga1614
    @josephatwesonga1614 Рік тому +22

    Likes za bendera wakuu🇰🇪🇰🇪

  • @saadatmsuya293
    @saadatmsuya293 Рік тому +1

    Kidawa awepo aisee... maana ndio tulikuw tunapenda uwepo wake

  • @elibarakalaurenti7663
    @elibarakalaurenti7663 Рік тому +1

    Nawakubali sanaa abduli umetishaa

  • @brevooscar1679
    @brevooscar1679 Рік тому

    mm na mkubali sana kibanga na team nnzima ya white filam kazi nnzur mnajua nini mnafanya kila mtu kwenye bendera amevaa usika wake vizur

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 Рік тому +21

    Tini never disappointed 🤴🤴

  • @saidmohd2931
    @saidmohd2931 Рік тому +7

    Wakwanza gonga like kama unamkubal white na team yake

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 Рік тому +3

    Kaka tin sisi mashabiki zako tuko pamoja katika tamthilia zako zote tunasema pamoja sana

  • @mohamedmwambeni4695
    @mohamedmwambeni4695 Рік тому +2

    mungu akupe ujasr zaid

  • @hamissahamissa105
    @hamissahamissa105 Рік тому +4

    Bendela kama bendela🔥🔥🔥🔥

  • @jamarytv
    @jamarytv Рік тому

    Good job kazi juu ya kazi mnaupiga mwing kiukwer

  • @aminakesi5945
    @aminakesi5945 Рік тому +2

    Bendera on fire sasa penda sanaaa team yangu

  • @abuuvanlampard2564
    @abuuvanlampard2564 Рік тому +2

    Twajua pia hii n nzuri

  • @charlesinteriordecor5330
    @charlesinteriordecor5330 Рік тому +13

    Tuned in kama kawa🇰🇪

  • @kwetutv6771
    @kwetutv6771 Рік тому +5

    Wakwanza leo jaman like zng

  • @gayanestory4357
    @gayanestory4357 Рік тому +1

    Mmetufagilia mpaka kwenye Bendera nakubal❤️💯

  • @irankundasamson2289
    @irankundasamson2289 Рік тому +2

    Kabix tupo mashabiki fro Burundi

  • @eddieblaq5650
    @eddieblaq5650 Рік тому +2

    I love it songs for bendera 😘😘

  • @Rodgers393
    @Rodgers393 Рік тому +14

    😂😂 Tin film never dispoint

  • @totmohammedtotmohammed2982
    @totmohammedtotmohammed2982 Рік тому

    Kila mtu ana kimbilia kuwa wa kwanza 😂😂😂bola mm niwe wa mwisho kabisaaa jmn naomben like zangu😒

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 Рік тому

    Mashallah tabarakallah nimependa haki muko sawa nyote kweli

  • @maasaimkisii9089
    @maasaimkisii9089 Рік тому +3

    *Wakenya Tushaipokea* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @flyboy20
    @flyboy20 Рік тому +4

    Tunaipenda

  • @emmanuelmashauri1430
    @emmanuelmashauri1430 Рік тому

    Bendera kapew 30 na penzi ju 😂😂😂😂😂 michepuko km huyu noma sanaaa anarudisha fadhila

  • @yurry_meh8911
    @yurry_meh8911 Рік тому +1

    Dahhh nyie wa kwanza nyiee

  • @Helen-vl8lb
    @Helen-vl8lb Рік тому

    Nime chelewa lkn nime fika na kumbali kazi yenu nawapenda saana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 Рік тому +2

    Nimechelewa lkn nimewahi tumeanza new month na new series msisahau kuni wish birth day on 16th insha Allah

  • @shedracknnko1445
    @shedracknnko1445 Рік тому +2

    MmeruOg number Moja Leo

  • @rehemakatundu7027
    @rehemakatundu7027 Рік тому +2

    Mambo napendaga haya 🔥🔥👌😍

  • @lulusubeha6978
    @lulusubeha6978 Рік тому +1

    🤣😂😂😂Tin huwajahiwa kosea mzee baba

  • @storagetz634
    @storagetz634 Рік тому

    Sema ngoma yabendera melod inafanana na fagio imben wimbo mwingine

  • @daviesamila3891
    @daviesamila3891 Рік тому +3

    sijachelewa saana

  • @teacherkizumbe
    @teacherkizumbe Рік тому +3

    Wa kwanza like za kutosha

  • @najhanajha6169
    @najhanajha6169 Рік тому

    Baba chiduuuu na Mama Chiduuuu❤️❤️wambea wazuri

  • @fuguremalone
    @fuguremalone Рік тому

    Siyawezi mtupeni 😂😂😂ilove so much this guy

  • @mvuyekurelina3070
    @mvuyekurelina3070 Рік тому

    Panatoka kitu panaingiya kitu nakubali sana from Burundi 🇧🇮

  • @jeanbukuru3641
    @jeanbukuru3641 Рік тому +3

    Niko wa 38 Leo🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 Рік тому

    Nmeupenda mchepuko wa bendera kweny sheeda na raah anakuwa vyema

  • @salomendunguru5021
    @salomendunguru5021 Рік тому

    Series nyngne Kali kutoka kwa tin naombani like zenu

  • @sacycasychannel6995
    @sacycasychannel6995 Рік тому

    #Tin Film... Nina oni Kidogo Japo Sijui Kama Litakufikia....Audio Composing Imekua na mfanano Sana Kwa movie nyingi... Angalieni Hata Namna ya Kufanya kwa kubadilisha watunzi ama waimbaji unao watumia

  • @SimionJacobo
    @SimionJacobo Рік тому

    Kwa maendeleo ya movie zetu yanaenda vzr mfano movie of tin white

  • @salumuaruna
    @salumuaruna Рік тому

    Kk ww noma nduguyangu nakupenda sana

  • @Jaymelody813
    @Jaymelody813 Рік тому +7

    Wakwanza nipeni like zangu bandera number 1

  • @dicksonmapunda2684
    @dicksonmapunda2684 Рік тому +1

    Da ndo maana nakupenda tini unaniletea vikali

  • @Conshamusic
    @Conshamusic Рік тому +9

    LEO WAKWANZA KABISA APA LIKE ZANGU NIZIONE❤️❤️

  • @hasanirajabu4768
    @hasanirajabu4768 Рік тому +1

    Namm kabisa mmenisahau 🙈🙈🙈⚘

  • @nimrodnashon8142
    @nimrodnashon8142 Рік тому +1

    Twenzetyuu na bendela

  • @VEVOTV-d1z
    @VEVOTV-d1z Рік тому +1

    Nakubali sana brother tin

  • @tegemeongalama6737
    @tegemeongalama6737 Рік тому

    Mimi hapa wa 125 naombeni like zangu