OMOSH ONE HOUR CONDEMNS SRC! WAKENYA WANAUMIA NA WABUNGE WANAONGEZWA PESA, 2027 MUTAENDA NYUMBANI!
Вставка
- Опубліковано 2 лип 2024
- To bring out the ideal picture of the challenges facing citizens at large
#kenyanpolitics #nuruokangake #citizendigital #kenya #difmedia #ruto #bungelamwananchi #raila #railaodinga #kenyanyoutuber
Alafu Wana SEMA ety Kenya hakuna pesa na ndio iyoo wanaendelea kuiba wizi tupuu. Kunguni ruto must goooo
Abdu Nusu vs Akhmed Tarwesh 😅
Bunge bila omoshi n usiku wa manane sio bunge
omosh we n kchwa balaa....unafaa uwe rais wa kenya na nuru okanga awe wazr mkuu....hyo nchi wakenya wote mtakula bata mbaya
Usiku wa manane is ever tipsy,Jamaa wa kanusu
Adc. 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🙏🙏🙏🙏🙏
Omosh please bring Usiku near.
😂😂😂😂
@@OchiengGodfrey-do7rz Ochieng hy? I’m a fun of both Omosh and Usiku especially when they are talking about jakom in your language though i don’t understand.
wee omosh bila huyo kanusu person ni bure tupu
True omosh wabuge wote munaenda home tuko rada,2m ruto aliwapa imewasaidia nn ?sahi wanaishi kwa lodgings,hakuna Kuna home,ruto has buried you members of parliament
Omosh wacha usiku wamanane akae karibu n ww ndio show inababangaa😂
Sasa huyo jamaa nae shida nigani Omosh anaongea vitu za maana uyo mlevi anasumbua
Kama Omosh anaongea Usiku wa Manane pia ni lazima aongee😂
Asc 👍👍
i get so scared whenever Omosh One Hour begins to make sense.
Why
We need usiku wa manane near you Omosh
I love this clip 😅
Kenya Hatuhami Hao watahama Kenya
Omosh please allow Usiku he makes your manda sweet.
Instead hustling citizen for building fund, claim back the illegally acquired billion shilling apartments by MPs and senators and give it to citizens
Omosh bila usiku ni mbeke
Mkebe
Omosh one hour you are suppose to be member of parliament
Wambie Omosh waache kutubeba mafala. Wakenya wanaumia bana
Charisma nayo ulibarikiwa
Omosh waambie hatutaki deputy governors kazi yao ni gani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 omosh jamaa wanatafuna kenya wanamaliza hawana habari za Gen zs maajabu ya ulimwengu
😅😅😅
Kufikia hapo hata mm hii serikali imenichosha nilikua nawasapoti ila kuanzia sai Gen Z fanyeni mambo yenu