Ali Kiba aongelea Team za Instagram zinazomponda Diamond kwenye Tuzo za MTV Mama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Kwenye Leo Tena ya Clouds FM

КОМЕНТАРІ • 7

  • @uncleatvonlinenew29
    @uncleatvonlinenew29 6 років тому +2

    kiba ulicho kiongea kweli

  • @AliAli-sn9oc
    @AliAli-sn9oc 9 років тому +2

    Naitwa Ali Pro. kutokea Burundi
    Napenda saana muziki wa Tanzania
    Ila hakuna kitu ambacho kina kera siku zote....kuckia kwamba Ali kiba na Diamond wana ugonvi.. sio kweli ninacho weza kusema.. izo team team. Ndo chanzo cha ugonvi mpaka wasanii wanajishtukia... please please
    Kama ita wezekana.. siku moja Alikiba na Diamond watoa nyimbo pamoja ili kuvunja vunja izo team zinazo peleka ugonvi kati ya Alikiba na Diamond

    • @aaaaa9123
      @aaaaa9123 7 років тому +1

      msameane nyinyiwasani wazuri msikieyawatu auya washabikizenu

  • @kingkingdarchdarch6408
    @kingkingdarchdarch6408 2 роки тому +1

    Kwely

  • @johnyonas1429
    @johnyonas1429 4 роки тому +1

    Xaf br

  • @modelegracia8208
    @modelegracia8208 9 років тому +1

    bizzare!Dunia uwanja wa fujo!! wasamehe tuu!yaani hapa ni chakacha la uzushi! Let me share this! Kwa kiakiri tuu timamamu utamushi huo sidhani kama ni kweli!useme eti "unasikia kichefuchefu""!!usikie kichefuchefu halafu wewe huyo huyo! wa kichefuchefu uende kumpenda dem Jokato!aliyevurugwa na Diamond !before it doesn't make sense!!au ndio matusi yenyewe wanageuzia washabiki!! Mie siamini yote hayo kama ni kweli!!kwanini usiende mbali! ilikuepuka machafuko zaidi!Ni kitu kibaya sana!

  • @sylviaizaack9794
    @sylviaizaack9794 9 років тому

    😤😤 aaaaaaah ukwel unaujua aiiwezekan gafla gaflaa tyuu tem zikaanza kuleta support upqnde mmoja lazma lazma kutakua na kituu...all in all kila mtu atembelee nyota yake msipende kupitia migongoo ya wat..kwan shiiingap😠😠😠