NILIPEWA JINI MWANAMKE AWE MPENZI WANGU ILI NIPATE UTAJIRI AKATAKA KUNIUA/ AMEBAKI NA MALI ZANGU N..
Вставка
- Опубліковано 29 лис 2024
- NILIPEWA JINI MWANAMKE AWE MPENZI WANGU ILI NIPATE UTAJIRI AKATAKA KUNIUA/ AMEBAKI NA MALI ZANGU N..
.
.
.
.
.
.
.
.
#NilipewaJini #Utajiri #MapenzinaJini
ila hata wewe una roho ngumu kaka, unakubali kuwa na mpenzi jini kisa tu mali? shkamoo
😜😜😜😜😜🤸♂️🤸♂️🤸♀️🤸♀️pesa nishetan Bn
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😁😁😁
Mtangazaji uko vzur unastahli kuwa mpelelezi wa serikali eb jalbu kufwatilia maneno yangu please
Hakuna kitu kizuri kama. Kumtegemea mungu katika maisha yako
Mtangazaji unahoji vizuri sana
Asante sana mkuu na hongera kwa kuichagua na kuifuatilia Tiki Tv
Like Kwa mtangazaji wetu
Hongera kwa kuichagua na kuifuatilia Tiki Tv +Aisha Silaji wasiliana nasi +255 654 980 556 Kelvin Shayo Tiki Tv.
Tiki TV mko vizuri sana
Mtangazaj upo poa sana. Umemchimba vizur...😝
Dunia imeisha jamn
Mpendwa maisha haina shortcut,,,kula jasho lako,,,kidogo kidogo hujaza kibaba,,,
Mtangazaji always smt and happness
hii stori mbona sijaierewa mbona imeanzia.kati au huyu.msimuliaji mbona sijamuerewa
maisha ya mteremko yana mitihan sn mungu aibariki kz ya mikono yangu Amin
Jamaa kuma nyoko sana
Yani huyo jini mwenyew aliona huna akili haki🤣🤣🤣
Mbona story tamu lakin uyo mwenye kuhojiwa mwenyew ajielew ajui ata kujielezea inaboa
Huyu jamaa miyayusho.... Hajui kitu twenden kwenye chanel ya DAVISTA MATA kuna stori adhimu kabisah
Ajui kunjieleza uyu we unasubiri mpaka uilizwe unamkausha mate kelvin wetu
Wasanii hamkosei kuimba chizi karogwa tena
Yani mlitaka utajiri wewe ukachongewa mwamkee loo shikamoo pesa marahabaa utajiri😶🤐🤐🤐
Naitaji mim
Mbona Kama mjinga vile hajui kuongea huo uongo tu
Anaboesha kaambae boys hivi
HAPANA KITU HAPO ANATAFUTA UMARUFU STORI FEKI.
Ni feki kweli yani hawa watu wanao toa story za majini ni waongo balaa
kweli dunia ina Mambo.
Bwegeee
jamaa huwez kujieleza
Mkaka ni kama namjua huyu.
Istolia feki akuna jini apo afanane binadamu
Yan uyo atak kuelezea vizur tu
Ndio
Ili jamaa linajieleza kama amelazimishwa
Mwenzenu simuelewielewi huyu jamaa naaya majibu yake🤦♂️🤣
Yaani kama zombie 😂😂😂😂
Anayehojiwa chizi
Hata hajui kujieleza
Hii story niliisikia kumbe ni wewe, pole kaka maisha hayana shortcut ni bora kupambana tu maana kila jambo lina faida na hasara yake, sasa wangekuuwa jmn kisa tamaa za mali, tumuogope Mungu
Ushauri wako mzr Ila hauendani na picha apo profile
@@neemacharles5502 mwambie Huyo Kunguni
Mpenzi hiyo profile haipendezi samahani lakini kama nimekukwaza
@@salmadhiab2693 unamuitaje mwanamke mwenzio mpenz
@@bonnysure8706 kawaida dear nikitu chakawaida uliza utaambiwa kwako umeona ajabu siolazima awe mwanaume hata mwanamke linatumika kama kwako nikosa sorry dear
Yan kwa uyu kaka alio ongea hata cjamuelewa sabu yan Kervin anaongea yote utafikil yy ndio mwenye mkasa ww ndio unamkasa unatakiwa uelezee kwanzia mwanzo adi mwisho ili watu wapate kujuifunza mala jin alipanda pik pik mala alikua anafanya uchunguz Jini toka lin anachunguza au alikua jin police mkasa wako umeongea pumba tu
Nimecheka wallai eti jini police 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Huyo hakuwa jini alikuwa jambazi tu walivyokuona huna hela akakuacha
😁😁😁😁😁
Mimi na taka mari t
Fungukaaa bro usingoje kuulizwaaaa🤦♂️
Yaani uyu kaniboa ,,,ndo maana ata jini alikukataa ....domo zege yaani hujui ata kuhadithia
Imekuwa unahojiwa tu maswali lionel mxxiiiiuuu
Sjui nimimi ambae simuelew elew hyu kaka au ndio hjui kujielezea utaznia anaeleza kitu ambacho akijui vle🤦
@@salmadhiab2693 huyo anayemuhoji ahoji sana
@@salimsaid7200 umeonaeee alimradi hawavumi lakini wamo jamani balaa
Acha t
kwa sasa watu wengi wanatunga story
Ila huyo mshikaji ka vle ana story za kufilika kama vle ana2nga story papo kwa papo duuuu
Mwache jamaa aadisie the talatibu unampiga mwaswali
🤣
uyu bwana hawaleke mwongo ata maneno yake siyo yakweli
😂🤣😂🤣😂😂😂
Feki story