MADAM CHAULA AMWAGA NONDO KWA VIJANA WA KKKT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Mahojiano mafupi katika sikukuu ya vijana wa KKKT Morogoro ambapo mara baada ya ibada kulikua na mchezo wa mpira wa miguu kati ya Usharika wa Mlima Kola na Usharika wa Mji Mpya vijana walishiriki kwa wingi na haya ndio mahojiano mafupi na katibu wa vijana Usharika wa Mlima Kola ambao ndio walishinda mechi hiyo.

КОМЕНТАРІ •