NENO LA SIKU | Mathayo 12 | Maombi Ya Kushinda Matatizo Yanayojirudia | Isaac Javan

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Leo tunasoma kitabu cha Mathayo sura ya kumi na mbili, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda matatizo yanayojirudia. Pia tutajifunza kwa nini matatizo yanajirudia na ni kitu gani tunatakiwa kufanya.
    Matatizo yanayojirudia yamesababisha watu wengi kukata tamaa ya kuomba, na wengine wamekata tamaa ya kumuamini Mungu kama anaweza kuwavusha. Lakini siku ya leo ushindi unaenda kupatikana.
    Mungu akubariki sana, nakuombea ushindi mkuu. YESU akutetee na kukufanyia njia na ushindi kupitia maombi haya. Damu ya YESU inene maneno mazuri kwa ajili yako. Amen

КОМЕНТАРІ • 42

  • @sarahsongole485
    @sarahsongole485 7 місяців тому +1

    Amen 🙏🙌 Amen

  • @JackpayJackpay
    @JackpayJackpay 2 місяці тому

    Amina

  • @rhodamwakatundu5226
    @rhodamwakatundu5226 8 місяців тому +1

    Asante Yesu Kristo.

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 8 місяців тому +1

    Asante Yesu Amen Amen Amen

  • @doryomary732
    @doryomary732 4 місяці тому

    Bwana Yesu apewe sifa

  • @marthasinkamba5750
    @marthasinkamba5750 7 місяців тому

    Ameen

  • @cecilortega9883
    @cecilortega9883 Місяць тому

    AMEN and Amen thank God bless you

  • @Upendo6045
    @Upendo6045 4 місяці тому

    Amen mtumishi wamungu

  • @brendanawanga
    @brendanawanga 3 місяці тому

    Amen Amen 🙏

  • @serinaserina9639
    @serinaserina9639 8 місяців тому

    Ameen baba barkiwa

  • @BlandinaMsemwa
    @BlandinaMsemwa 4 місяці тому

    Amen

  • @rosemarycharles7375
    @rosemarycharles7375 8 місяців тому

    Amina

  • @rechomwaisaka5173
    @rechomwaisaka5173 7 місяців тому

    ASante sana kwa maombi haya mungu akubariki sana mtumishi wa mungu🤝🤝👏

  • @marthasinkamba5750
    @marthasinkamba5750 7 місяців тому

    Ameen Mtumishi wa Mungu

  • @NeemaaliceK2546
    @NeemaaliceK2546 7 місяців тому

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, nazindi kubarikiwa na kufunguliwa Kila siku, Asante sana man of God, Shalom

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 3 місяці тому

    Amen ubarikiwe Sana

  • @CarolyneNerima
    @CarolyneNerima 7 місяців тому

    Amen barikiwa sana mtumishi

  • @victoriaaman6628
    @victoriaaman6628 8 місяців тому

    Amen 🙏

  • @francoisealimasi3999
    @francoisealimasi3999 8 місяців тому

    Asante Sanaa papa

  • @Theoristerbulamu
    @Theoristerbulamu 6 місяців тому +1

    Bwana yesu asifiwe, leo nilisali na wewe saa kuminoja, lkn miaka ya nyuma niliota nimeng'twa n mbwa mtoto asubuhi niliteguka goti, leo baada ya maombi nililala nikaota nimeumwa na mbwa mkubwa lkn nilimpiga nakumtoa meno yote inamaana gani naomba unifafanulie naomba

  • @DeborahMugisha1
    @DeborahMugisha1 6 місяців тому

    Asante kwa maombi Yako yamenijenga

  • @LillianNgao-ob1pl
    @LillianNgao-ob1pl 7 місяців тому

    Amen hallelujah 🙏🙏

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd 8 місяців тому

    Amen Mungu akubarki sana kwa huduma yako apostle

  • @creativepublishers7746
    @creativepublishers7746 8 місяців тому

    Baba Mungu akubariki sana nimepata majibu ya maswali yangu kupitia neno la leo

  • @asminetaba253
    @asminetaba253 8 місяців тому

    Amen a very powerful prayer 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa mungu ❤

  • @sarahadel8527
    @sarahadel8527 8 місяців тому

    Mungu akutunze.

  • @Christine-t7r
    @Christine-t7r 7 місяців тому

    I like prayers

  • @gamingcasbet1
    @gamingcasbet1 6 місяців тому

    Asante ubarikiwe sana Mchungaji

  • @francoisealimasi3999
    @francoisealimasi3999 7 місяців тому

    Asante Sanaa mchungaji.

  • @Teapage-u5j
    @Teapage-u5j 7 місяців тому

    Amene.amene.asante❤

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 5 місяців тому

    Bwana Yesu Asifiwe nabarikiwa sana na maombi haya kwani najikuta Mungu ananivua kama samaki kutoka Bahraini Mungu baba nisaidie kwa jina la Yesu Majaribu yasinishinde wala Dhambi zisinishinde Asante Yesu sifa kwako Yesu
    Mtumishi barikiwa kwa maombi haya Mungu akutunze na kukubariki

  • @eveandrew7096
    @eveandrew7096 8 місяців тому

    Yesu tusaidie tuishi maisha safi ili tuwe salama...

  • @rechomwaisaka5173
    @rechomwaisaka5173 7 місяців тому

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu aenderee kukutumia kwa ajiri ya wtt wake wanateseka na vifungo ya shetani Amina,🙏🙏🙏🙏

  • @neemalety5600
    @neemalety5600 8 місяців тому +1

    Haki mtumishi maombi yako ni mazuri very powerful bt problem is u don't reply sms

    • @HusnaSharifu
      @HusnaSharifu 3 місяці тому

      Anareply nadhan Kwa sasa Yuko bize na vipindi lakin huwa nareply

  • @neemalety5600
    @neemalety5600 8 місяців тому

    Sms ujibu 🤔

  • @Africanah100
    @Africanah100 7 місяців тому

    Amen

  • @clarasima5447
    @clarasima5447 8 місяців тому

    Amen 🙏

  • @GabinKamwanggabin
    @GabinKamwanggabin 6 місяців тому

    Amen amen

  • @amissilulinda2166
    @amissilulinda2166 8 місяців тому

    Amen Amen

  • @francoise17
    @francoise17 8 місяців тому

    Amen