MJENGO WA MAMA HAPPY MBIONI KUMALIZIKA |MUONEKANO WAKE WA SASA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лют 2022

КОМЕНТАРІ • 153

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  2 роки тому +5

    chat.whatsapp.com/FCA6SAgkoMrEGkjCjJupI8 JIUNGE KWENYE GROUP LETU

  • @tiaraoscarjuma4522
    @tiaraoscarjuma4522 2 роки тому +11

    Safi sana, mafundi woow nimewakubali kitu kimenyooka hadi raha, Mungu awape zaidi waliochanga na Zahir ubarikiwe kwa yote🙏🏽

  • @halimajaphet8926
    @halimajaphet8926 2 роки тому +16

    Maaashallah mwenyezi mungu awalipe sana kwakazi unayo ifanya
    Namuombea mungu mama happy apone afaidi hiyo nyumba nizuri sana

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 2 роки тому +9

    Wahoo jamani mama Happy pona dada uenjoy nyumba yako.

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 роки тому +7

    Masha Allah nyumba nzuri sana kazi nzuri brother zahir hongera zako na waliochangia mungu awazidishie zaid na zaid

  • @nadiahassan1359
    @nadiahassan1359 2 роки тому +15

    Mashallah Hongera timu nzima ya maximum Tv na kila aliyetoa sadaka yake. Mama Happy Inshallah M.Mungu akupe uzima unyanyuke furaha yako irudi tena hakika hii ni zaidi ya upendo 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙌🙌

  • @sadiamassage9589
    @sadiamassage9589 2 роки тому +18

    Mashaallam haraka sana dah inamaana ukiwa na pesa yakutusha wiki mbili tu nyumba imeisha duh wako sawa mafundi

  • @rahamrahma6259
    @rahamrahma6259 2 роки тому +8

    Mashaallah hongera sana kaka kwa usimamazi mzuri

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 2 роки тому +8

    Mashaallah kweli mafund wapo vizur yani ukuta upo km umepingwa plasta hongera sn kaka zahir kwajitihada zako mashaallah

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 роки тому +2

    Maa shaa Allah nyumba sana nzr.,hlf madirisha makubwa hata sio lazima chumba kiwe na madirisha wawili dirisha moja linatosha.

  • @adijarashidi1426
    @adijarashidi1426 2 роки тому +3

    Kaka zahir namuomba Allah akulipe kila lakheri Na atujaaliye mwisho mwema sote in sha Allah

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 2 роки тому +5

    mashaAllah mashaAllah mungu awabariki nyote mliochangia

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому +6

    Mashaallah mashaallah kaka zahr hongera sanaa allah akuhifadh

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому +1

      Amiin yarabal alamin

  • @aishajeanine3552
    @aishajeanine3552 2 роки тому +1

    Alhamudulillah jmn Kazi nzuri sana Mwenyezi Mungu akujalie umri kk zahir uzidi kusaidiya wanyonge.

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 роки тому +3

    Safi pongezi kwenu wadau kwa harakati zenu ila ushauli wangu siku nyingine mkishamaliza kujenga msingi tu mjaze kabisa kifusi kwenye fondeshen ili kuepuka gharama kubwa ya kuingiza kifusi ndani adi kijae watu watataka pesa nyingi hapo

  • @isunga1964
    @isunga1964 2 роки тому +1

    Woow hongera sana ila hapo kwa jiko wangefanya choo jamni kuna usiku kupika wapike hata kwa kolido kutokea kwa nyuma

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +3

    Hakupoi huku jmn 🗣🗣 njoeni wana maximum

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 2 роки тому +1

    Mashallah mjengo umenyooka hd raha zahir mungu akuweke mdg wangu inshallah na ma happy mungu amfanyie wepes aje aone nyumba yake inshallah 😢

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 роки тому +1

    Mashaaallah Mafundi wazuri wa kujenga Pia Allah Amzidishie Zahir Azidi kusaidia Jamii

  • @arlife9489
    @arlife9489 2 роки тому +1

    Hongera kazi nzuri

  • @johaakida743
    @johaakida743 2 роки тому +1

    Mashalaah ongera maxmama tv

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому +1

    Dhahir unatupa moto pale unapokusanaya pesa kidogo lakini unatowa kitu Cha uhakika Kuna vituo vinachukuwa pesa nyingi na watu wanaishia kuombewa Kodi za nyumba koala wakati Sasa hapo sijui pamekaaje Mungu akupe khery na akuondoshee maradhi na akuondoshee Hasad za kilimwengu na akupe Pepo kesho kiyama kwa sababu unagiswa sana na watu fukara .

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 роки тому

    Jaman kaka zahir...kazi unayofanya ni kubwa sana...Najiuluza tuu...nan anakulipa wewe kwa kaz hyo kubwa unayofanya jmn.Mungu akulinde daima 🙏

  • @user-pg3pu4jk9f
    @user-pg3pu4jk9f 2 роки тому +3

    Mashaa Allah, ipo poa kiyama,

  • @munamohd963
    @munamohd963 2 роки тому +1

    Mashaalwah. Alwah akupeni nguvu wadogo zangu.kaka dhahir natamani ungalikuwa mkwe wangu jamani.au hutaki wazanzibari,Alwah akuhifadhi mtoro wa mwenyewe hongereni nyote na kina fabi

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 2 роки тому

    Inaumiza mno ukiambiwa tunaempigania amefarik subhannallah Allah amreem na kaka zahir na rimu yako mungu awatunzeni sana hakika mumepigana sana kuhakikisha mama Happy anakuwa sawa lkn kwa amri ya Allah bc imeshindikana tumuombeeni apumzike kwa amani

  • @masillambadotto1757
    @masillambadotto1757 2 роки тому +2

    Pole kwa kuwa na afya zaifu unapumua kwa nguvu sana sijui unamatatizo gan tufanye mazoezi ndugu ondoa manyama uzembe

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 2 роки тому +1

    Dah nimependa kk zahr. M. Mungu hakuweke hakupe afya njema uzidi kuwapambania watu wenye matatizo 🙏🙏❤️❤️

  • @QwQw-tr7gy
    @QwQw-tr7gy 2 роки тому +1

    Nyumba imefka kwenye kingereza Sasa kwenye kiswahil tumetoka

  • @hawaabdallah4782
    @hawaabdallah4782 2 роки тому +1

    Masha allah

  • @habtyaminasadala1943
    @habtyaminasadala1943 2 роки тому

    Mashaallah fundi yupo smart sn hd nimependa💓💓

  • @hadijamwekilinga1969
    @hadijamwekilinga1969 2 роки тому +12

    Mashaallah Allah awalipe mliofanikisha

  • @najmaaa6548
    @najmaaa6548 2 роки тому +4

    Ma shaa Allah 🙏🙏

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Mashaalah mm pesa sina nimefika kozi 5 tu nipo oman pemba kujenga ni hali ngum sana

  • @fatmazahor357
    @fatmazahor357 2 роки тому +2

    Mashaallah Tabarraka Allah

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 роки тому +1

    Mungu akuweke zaahir

  • @zunguzungu6068
    @zunguzungu6068 2 роки тому +2

    We huseni nkana unasema mafundi wako vizur wakati magepumakubwa wamelazisha kutokuweka vipande tofari iko mbalimbali hv hapo ukuta kukata kret nigusa tu subili utaiona

  • @salmasan7673
    @salmasan7673 2 роки тому +5

    Mashaallah mungu habariki

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 2 роки тому +1

    Mashallah kaka zahiri fabiy nakikundi chenu kuizima munqu atawalipa ujira wenu ama kweli munqu hatupimja wake

  • @maryammagisu628
    @maryammagisu628 2 роки тому +2

    Mashallah Mashallah mjengo Uko poa asikwambie mtu

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 роки тому +4

    Maashallah maashallah maashallah 🙏🙏🙏

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 2 роки тому +3

    Mashaa Allah

  • @mosiuledi4598
    @mosiuledi4598 2 роки тому +3

    Mashaallah

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 роки тому

    Alipangalo Mola binaadam hawezi kulipangua. Maskini Mama Happy hakuandikiwa kuishi kwenye nyumba hii. Mola amlaze pema kwenye nyumba yake ya milele. R.I.P. mama Happy.

  • @aminaraisa8893
    @aminaraisa8893 2 роки тому +1

    Mashaallh ongera Sana kaka zahri

  • @zeinabmabeka1830
    @zeinabmabeka1830 2 роки тому

    Kaka zahir unaenda mbio maskini lakini uwambiye usafi bora coz hiyo nyumba mashaallah nzuri

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому

    Fundi Mashallah. Hongera kwa kanzi nzuri

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому +1

    Mashallah Mashallah Mashallah Mungu akuhifadhi Baba angu Dhahir

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 2 роки тому +1

    Mungu ni mwema amguse uyu mama apate kupona

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 роки тому +1

    Mamahappy mungu akujaalie uionenyumbayako naupatenguvu uinukekwafurahaa

  • @aishaathman7340
    @aishaathman7340 2 роки тому +1

    Hapa ndio utaona jamaa zake mama happy wajitokeza

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 роки тому

    Kak zahir unahma sana pole punguza mwili

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 2 роки тому

    Mashallah mafundi wazurii nyumba imenyooka hongera zahiri na timu yako ya maximum

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 роки тому

    Mashaallah, mungu awabariki inshaallah, Amin. Mungu akulinde Zahir.

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 роки тому +1

    MashaAllah hongera mama happy

  • @khadijeegundumu4651
    @khadijeegundumu4651 2 роки тому +2

    Mashallah 🌹

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 2 роки тому +2

    Mashaalah

  • @twocountrieslady6307
    @twocountrieslady6307 2 роки тому +1

    Maasha,Allah
    Allah barik

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 2 роки тому +1

    Mashallah kazi iendelee

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому +1

    Masha Allah

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 2 роки тому +1

    mashaallah nzuri

  • @nellytsuma7519
    @nellytsuma7519 2 роки тому

    Wau 🥰

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 2 роки тому +1

    Mashallllah

  • @Official83640
    @Official83640 2 роки тому +1

    Maashallah

  • @aishaathman7340
    @aishaathman7340 2 роки тому +1

    Eeh mola muinue mama happy kama ilivyoinuka hii nyumba

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 роки тому +2

    Duuh! Vifaa vya ujenzi vina panda bei siku hadi siku, kipindi naendesha ujenzi wangu nondo 1ilikua elfu 18 sasaivi elfu 25nondo 1 huko tunako elekea tutajenga kweli?.

  • @farhatsalum1437
    @farhatsalum1437 2 роки тому +1

    Mashallah

  • @husnahabityhabity9517
    @husnahabityhabity9517 2 роки тому

    Kaka zahir na Fabian wanajituma lkn wallah.Mungu awasmamia kila hatua

  • @mwajomaessa7513
    @mwajomaessa7513 2 роки тому +1

    Masha Allah 🙏🙏

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +1

    Maashallah tabarakallah

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 2 роки тому +1

    mashallah

  • @maryamalhabsi4364
    @maryamalhabsi4364 2 роки тому

    Maa shaa Allah, 🤲🤲

  • @joliea2956
    @joliea2956 2 роки тому +1

    Hongera kwa fundi

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому +1

    Mashaallah jmn

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому

    MashaAllah

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 2 роки тому

    maa shaa Allah

  • @tato8979
    @tato8979 2 роки тому

    Hongera sana

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 2 роки тому +1

    Mashaallah karibu inaisha wiki 2 tu 🤔😍😍

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому

    Awesome

  • @user-yp5mm2pg5s
    @user-yp5mm2pg5s 2 роки тому

    Mashaallah ila kuna shughul ya kujaza kifusi

  • @maikomahanji9411
    @maikomahanji9411 2 роки тому +2

    Kaka kwani hakuna mbao za kukodisha samahani

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 роки тому +1

    Mashallah washafika top ruff

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 2 роки тому

    Masha Allah mola atakulipa kaka Zahir

  • @kadigatanzaniya4792
    @kadigatanzaniya4792 2 роки тому +3

    Mashallah❤❤❤❤

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 2 роки тому +1

    Hongera fundi unajuwa sana zahiri weka number ya fundi tafadhari

  • @princessvyona3412
    @princessvyona3412 2 роки тому

    Masha’Allah but hiyo choo c iko karibu sana au iko sawa?hiyo nyumba iko sawa,i wish mama Heppy to recover faster so that afurahie nyumba yake

  • @linakuha2059
    @linakuha2059 2 роки тому

    Hongera kaka

  • @lizzyshawn1892
    @lizzyshawn1892 2 роки тому +1

    Kaka zahir nimeipenda iyoo ramani

  • @munahjira8236
    @munahjira8236 2 роки тому

    Naomba hio ramani kaka zahir

  • @salha6596
    @salha6596 2 роки тому

    Namba ya fundi Kaka zahiri

  • @Saifmohd-th1tr
    @Saifmohd-th1tr 2 роки тому +2

    Zaher makaratasi ya nyumba yako wapi mbona uonyeshi watu kwa nini watu wataka kuyaona

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 2 роки тому +1

    Wee Zahir wee utaenda peponi

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 роки тому

    Huyo mama anahitaji tiba zaidi ya yote hao binti zake hawajitambui

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому +1

    Mhh msafirisha Makubwa hy

  • @user-gk6et7yg3x
    @user-gk6et7yg3x Місяць тому

    Mtangazaji punguza mwili na uzito una hema sana

  • @hamidahassan1282
    @hamidahassan1282 2 роки тому +2

    Tuko pamoja

  • @aishambondo8923
    @aishambondo8923 2 роки тому

    Naitakaa jamani

  • @gloryr9497
    @gloryr9497 2 роки тому

    Mungu amponye mama happy aje afaidi jengo lake

  • @Saifmohd-th1tr
    @Saifmohd-th1tr 2 роки тому +2

    Nyumba gani iyo haina hata chuma kimoja bado wasema itakaa miyaka Mia wachekesha Sana

  • @bonita329
    @bonita329 2 роки тому

    Zahir umesema mambo ya jenga na zahir. namba ipi naweza kuwasiliana na wewe please mie na shida halafu nipo nje.